verses fountain
Senior Member
- Sep 30, 2018
- 155
- 195
Same to me huwa wanasema nipo serious sana na ni kweli sinaga stori sana na watu nsiowafahamu na swagga zangu ni salamu mwisho.marafiki wachache pia hata mtaani huwa sifagilii kuonekana sana sio kwamba najitenga ila ndvo nilivyo naweza kaa mtaa mwezi mzima mpaka siku naondoka ndo nakutana na masela wa mtaa wakidhani ndo nimerud mtaa kumbe ndo naondokaKutifuana kivipi wakati hatutaki shida? si unapotezea ukiona huwezi vumilia? Binafsi naona wanaume ambao sio intro wanapata tabu sana kwa kuwa driven na wanawake na kulia lia kila mda na ndo hao wanajinyonga lakini sio sisi intros,yaani mwanamke anikosee afu nimbembeleze? haijawah tokea..hata tabia za kubembelezana na kudeka deka hatupendi kabisa
Sehemu nayoishi mm huwa wananiogopa maana mm ni salamu miendo/ndani sina stor sijui na wanawake au washkaji wa hovyo hovyo hapana,tuko selective na marafiki mara nyingi wanakuwa very few
Aina hii ya maisha imeniepusha na ugomvi na mabalaa mengi wanayopata watu wanaopenda kuchangamana,kugombana kwao ni nje nje nk nk
Mimi nkiunga kifurushi nkimaliza kuongea na watu wa hom i.e mama au mzee na ssta na bro na wanangu wachache bhas dkka huwa hazna kazi zinaishia hewani tu sina wa kumpigiaHahah!
Mimi simu yangu kwa sasa nimeweka silent mode.
Sitegemei kupigiwa..wanaonipigia wote nipo nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui ni kiasi gani kauli hio ilivyoniumizaSi ajabu alikuwa anakutania tu.
Unajua wanawake sometimes huwa tunapenda kutishia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna. Ni hayo hayo tu kwakweli. Inawezekana unawajua sana wanaume lakini umekosa kuwajua wanawake kwa undani zaidiKuna changamoto nyingine nje na hizo?
Mambo ya outing tu kwa mtazamo wangu naona Ni madogo sana kiasi cha kuweza kuvunja ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee [emoji134]Hakuna. Ni hayo hayo tu kwakweli. Inawezekana unawajua sana wanaume lakini umekosa kuwajua wanawake kwa undani zaidi
Pole mkuuHujui ni kiasi gani kauli hio ilivyoniumiza
Mi ndo naweza kufika tu wakati nikawa tu annoyed na kuonana au kufanya kitu na mtu yule yule kila mara. So hali hii ikikuangukia kama tulikuwa watu wa stori nakupiga ban kwa muda. Kama ilikuwa ni Ku chat kwa msg au kupiga simu naanza kukupotezea utapiga simu naiangalia tu na msg nazipotezea naweza kukutahadhalisha kwa kukwambia usipige wala kutuma sms simu imeharibika kioo, button zimeharibika nk. Kuna wale wakuja kugonga mlangoni mi niko zangu ndani, naweza tu kujisikia sitaki kuonana na yeyote siku hiyo au kwa kipindi flani so utagonga sana mlango mi ntaangalia kupitia dirishani who's knocking nikiona sio ndugu au mtu wa karibu sana naendelea na mambo yangu ndani hadi utakapojiongeza ukaamua kusepa. Pia kuna wale wageni wakuja stori zinakuwa nyingi kama niko na mwingine home ntakuacha nae mjendelee mi naenda room au nje na kama umenikuta mwenyewe kuna mawili aidha niongeze sauti ya TV au redio au nishike simu niendelee na mambo yangu huku we unajiongelesha.. life langu muda mwingine linanishangazaga mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ilikuwa shida tupu
Unaweza kaa usichat na mtu kutokana na kutingwa na kazi ..wewe unaona sawa tu,kumbe mwenzio hiyo ni kesi tayari.
Nikajikuta kila siku Nina kesi mpya za kujibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ilikuwa shida tupu
Unaweza kaa usichat na mtu kutokana na kutingwa na kazi ..wewe unaona sawa tu,kumbe mwenzio hiyo ni kesi tayari.
Nikajikuta kila siku Nina kesi mpya za kujibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeMi ndo naweza kufika tu wakati nikawa tu annoyed na kuonana au kufanya kitu na mtu yule yule kila mara. So hali hii ikikuangukia kama tulikuwa watu wa stori nakupiga ban kwa muda. Kama ilikuwa ni Ku chat kwa msg au kupiga simu naanza kukupotezea utapiga simu naiangalia tu na msg nazipotezea naweza kukutahadhalisha kwa kukwambia usipige wala kutuma sms simu imeharibika kioo, button zimeharibika nk. Kuna wale wakuja kugonga mlangoni mi niko zangu ndani, naweza tu kujisikia sitaki kuonana na yeyote siku hiyo au kwa kipindi flani so utagonga sana mlango mi ntaangalia kupitia dirishani who's knocking nikiona sio ndugu au mtu wa karibu sana naendelea na mambo yangu ndani hadi utakapojiongeza ukaamua kusepa. Pia kuna wale wageni wakuja stori zinakuwa nyingi kama niko na mwingine home ntakuacha nae mjendelee mi naenda room au nje na kama umenikuta mwenyewe kuna mawili aidha niongeze sauti ya TV au redio au nishike simu niendelee na mambo yangu huku we unajiongelesha.. life langu muda mwingine linanishangazaga mwenyewe
Kwahiyo uliingiaje mkuu"Introvert ni mtu ambaye anahitaji muda wa kuwa pekee ili kurecharge mara kwa mara ili kuendelea na shughuli za duniani"Check this out on LinkedIn Learning: Managing Your Career as an Introvert
Hiyo nimeipata wakati nasoma kozi ya introvert.....anaweza akawa na rafiki lakini sometime anamuignore ili arecharge nguvu urafiki wao.
Nliteseka sana wakati wakuingia ukumbini kwenye harusi yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Same here habari za kuchoreshana sipendi na sintofanya. Ni watu kadhaa wa msingi basi, kama nae muoa hata ridhika na hii then aandae sherehe ya peke yake ntaigharamikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi bado mkuu
Ila huwa natamani harusi yangu iwe bila sherehe..wawepo ndugu wa karibu tu,tukitoka church ni nyumbani..tule,tunywe kila mtu aondoke.
Mambo ya kuanikana ukumbini kila mtu anakutazama Kama TV hayafai.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Same here habari za kuchoreshana sipendi na sintofanya. Ni watu kadhaa wa msingi basi, kama nae muoa hata ridhika na hii then aandae sherehe ya peke yake ntaigharamikia
Sasa hvo ndo nilivyo mimi!!!!! Dah umenigusa kumoyo, hv ww ni mwanamke au mwanaume??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi bado mkuu
Ila huwa natamani harusi yangu iwe bila sherehe..wawepo ndugu wa karibu tu,tukitoka church ni nyumbani..tule,tunywe kila mtu aondoke.
Mambo ya kuanikana ukumbini kila mtu anakutazama Kama TV hayafai.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hvo ndo nilivyo mimi!!!!! Dah umenigusa kumoyo, hv ww ni mwanamke au mwanaume??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hii Kama inawakuta wengi vile...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
Mimi akija mgeni nyumbani Kama si wa muhimu Sana basi sitoki kumsalimia..nitakaa chumbani Hadi atakapoondoka.
Kuhusu kufungua mlango hiyo tabia nilikuwa nayo shule,nikiwa pekeyangu rum akaja kugonga mtu ambaye najua kabisa huyu Hana Cha maana Cha kuongea zaidi ya stories za hapa na pale Basi nilikuwa sifungui.
Nikikaa nikitulia huwa sitaki kubugudhiwa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app