Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,201
Itakuwa vyema nikija kumsaidia mama kukutoa au wasemaje..??😉[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siogopi mjusi mimi
Kuna muda mama huwa anakuja kunitoa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa vyema nikija kumsaidia mama kukutoa au wasemaje..??[emoji6]
Ila usijekukimbia maana na maswala ya kulia hapana! Maana ukikataa natoa kisago cha mbwa Koko😜😜
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila usijekukimbia maana na maswala ya kulia hapana! Maana ukikataa natoa kisago cha mbwa Koko[emoji12][emoji12]
Toba wee mi comedian..??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nahisi utaniletea tu comedy zako nicheke Hadi nizimie mie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni extremly introvert, nilioa extrovert ndoa ya miaka 8 haikudumu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toba wee mi comedian..??
[emoji2957][emoji2957]
Mi sio comedian mi ni jf expert member.
Mods pigeni ban huyu this isn't okay
Yani mpaka nachanganya na kiingilishi [emoji2957][emoji2957]nikikukamata![emoji123]
Haha! Niliambiwaga hivyohivyo ati unakipaji nikaenda kukipajisha kilichonikuta sikumbuki meno yangu mawili ya mbele yaliwezaje kudondoka kwa sekunde moja tu wakati nayaaminia lkn yalikutana na binadamu alienzisha ule usemi mwana kulitaka mwana kulipata![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinivunje mbavu zangu mimi.
Ujue una kipaji Sana Wewe[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Haha! Niliambiwaga hivyohivyo ati unakipaji nikaenda kukipajisha kilichonikuta sikumbuki meno yangu mawili ya mbele yaliwezaje kudondoka kwa sekunde moja tu wakati nayaaminia lkn yalikutana na binadamu alienzisha ule usemi mwana kulitaka mwana kulipata!
Hayo ya vipaji kaeni navyo nyie tu binafsi nimestaafu na mapengo yangu mawili yamebaki kama kumbukumbu au mafao ya kustaafu.
Dah! Mi nakujibu we unaona vituko!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Acha kunichekesha tafadhali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nacheka kama mjinga hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Mi nakujibu we unaona vituko!!
Hilo halikutosha sikukoma kuna siku nilikutana na binadamu huyo nafikiri ni professional wa kung'ata!
Alining'ata kwenye kisogo walahi nisinge piga kelele angeniuwa yule mpuuzi maana ngumi zangu alikuwa hasikii ila ile uma yake hapo ndo nikajua Yule aliesema ubinadamu kazi alikuwa anamaana kama hii inayonikuta hapa
Sawa mi aenda kojoa kisha alala korona taja nichika bure tunachati bila barachoa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha Basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mi aenda kojoa kisha alala korona taja nichika bure tunachati bila barachoa..
Lazima nijali maana hujavaa barakoa ila umevaa barakaoa😜😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimevaa barakaoa Wala usijali[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
MUNGU wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lazima nijali maana hujavaa barakoa ila umevaa barakaoa[emoji12][emoji23]
Pole.. ila kwa mbali koma😜MUNGU wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ona sasa Hadi nachapia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole.. ila kwa mbali koma[emoji12]
Sikunyengine unapodanganya kuwa mdanganyifu makini! Kavue hiyo barakaoa yako kavae barakoa..