Introverts Vs Relationship

Mkuu introverts kwenye kuandika hawajawahi kufeli so hata kuchangia hapo wako very comfortable ila usiombe ukutanee nae yaani mpolee na maneno yanakataa
Na sisi tusio wazuri kwenye text wala calls je
 
They think too much kabla ya kuongea au kufanya chochote, like je nitaonekanaje, atanifikiriaje, itakuwa okay au la, mpaka aamue anakuwa out of time
 
Kweli
 
Hatuna tofauti sana japo mimi huwa starehe yangu kubwa ni football hivyo Kama natoka basi naenda kuangalia mpira ukumbini au uwanjani hapa mtaani,sina closely friend ambaye mda wote nitakuwa naye japo siyo kila mtu anaweza kuwa rafiki yangu,napenda kusaidia,nina huruma,nikikosa hela siwezi kukaa kwa amani, graduation niliyowahi kufanya ni ya form four tu,form six sijafanya.Kuna wakati nilikua na bahati sana kupendwa na wanawake wazuri lakini mwisho wa relationship huwa sio mzuri,ktk relationship zangu sijawahi mwambia mwanamke tuachane huwa sitaki aumie ila huwa naanza kumpotezea taratibu,kutongoza mwanamke huwa mtihani sana na nikitaka kumtongoza demu huwa naandaa plan nyingi sana kwamba iwapo akikataa nitakuwa ktk hali gani na akikubali nitajipangaje kuhusu mahitaji yake madogo madogo,nina vitu vingi sana kichwani ktk sector za siasa,uchumi,michezo, entertainment,elimu lakini huwa sipendi kubishana na mtu au kuvijadili kwa sababu sipendi kelele,watu huwa wananichukulia mimi kauzu sana hivyo ni ngumu kujenga mazoea,ni ngumu sana kumuomba mtu vitu vidogo vidogo yani bora nikae tu ila mimi ni mtoaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu yani hapa unanisema mimi kabisaa!Hii hali inanitesa sana kwakweli!Kujichanganya na watu napo naona shida na hata nikijichanganya najikuta nakaa kimya siwezi kuzungumza!Hivi dawa ya kupona tatizo ni ipi?
Tumezaliwa hivyo mkuu wewe ni introvert ila ukijaribu uwe extrovert utakuwa kichekesho kwa watu huo sio ugonjwa jikubali.Labda kama upo ktk groups na huwez kuzungumza angalia kipaumbele chako yani unapendelea nini labda siasa,michezo nk anzisha mada ukiwa una uhakika nayo hapo wote watakusikiliza wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran mkuu ngoja niufanyie kazi ushauri wako
 
Hii ni Kama Mimi kabisaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm nimemkatalia ishu ya kutongoza haina uhusiano sana,personally kila siku natokea mwanamkeila muendelezo wake ndo huwa mgumu kwa maana focus yetu kubwa inakuwa kusoma tabia za mtu
Uko sahihi na ikitokea mwanamke akaxungusha basi ndio anapotezewa kihivyo. Pili huwa tunakuwa straight forward, hatutumii janja janja kuomba k
 
Mimi nipo kundi ganj sasa?

Ni muongeaji mzuri tu nikiamua kuomgea tena nina story hasa na mtu akinianza kuniongelesha atahisi rafiki kapata ila nikitoka hapo simtilii maanani tena yaani hata anaweza nitxt nisijibu kwa wakati akapiga cm nisipokee nakua sijisikii kuongea nae au kuchat nae!

Napenda kukaa ndani tena peke yangu naweza kukaa ndani hata siku tatu nisionekane nje! Nimesoma shule zote day school ila ht majirani walikua wanadhani niko boarding na sijawah kuchoka kukaa ndani.

Sina marafiki na i hate friends nawachekea juu juu tu ila sijawahi kuwaamini na wala sijawahi tendewa nao ubaya! Sipendi kuongozana na mtu km ushost yaan ht nilivyokua chuo ni nitoke room kwangu niingie class nitoe hi niweke earphone niingie netflix niamgslie movie km lecture hajaingia kimyaaa ila ukiniongelesha narespond kwa bashasha mok unaweza shangaa

Napenda kutoka out peke yangu nijinunulie kinywaji changu nisikilize mziki ila asije mtu kunipa company ananiharibia tu starehe ht km ananijua anisalimie tu apite aniache alone.

Am a girl ila nikimpenda mtu namwambia straight forward kua i like u sinaga aibu yaani na nikiwa na mahusiano my boyfrnd anakuaga anatake over almost ratiba yote ya maisha yng yaani ni mimi na yy sijui inakuagaje ht awe vp utashangaa tumestick together and life is all abt us inshort na yy automatic anapoteza marafiki anakua na mimi tu na sijawahi command hilo kwa mwanaume nilienae.

Am very confident hasa kwenye kujieleza pale itapotakiwa nifanye hivyo siogopi mtu wala watu eg. kwenye presentation ilikua lzm nipate extra points

Naweza nikacheka na ww nisijue ht jina lako nimesoma na baadhi ya watu miaka3 mitatu kozi moja darasa moja ila siwajui majina na wengine siwajui hata sura zao!

Nikipenda napenda haswaa na nakuaga km nina ka convicing power fulani hv..sifokeagi mwanaume wala kumuamrisha ila automatic anakua vile ninavyotaka awe and ina turn out kua healthy relationship ever.

Nina huruma mnoo..ni mwepesi kutoa msaada ila mgumu kukopesha hela yaani bora nikupe kidogo sababu siwezi kudai...naonekana km kauzu ila hakuna mtu ninaeumia emotionalyy km mimi.

Nina wivu wa mapenzi sijawahi ona yaani i want my man to be only mine nikinusa harufu ya usaliti nahisi km moyo unachemka kwa hasira I can even kill wallah personally nikipenda nimependa

Nina visasi yaani ukiniudhi kitu kikaniingia sawasawa lazima nitakulipizia tuuu hata baada ya miaka.

Naambiwaga ninaringa na nina dharau while najiona sina tabia hiyo sababu kutoka moyoni naheshimu kila mtu kwa class yake na sipendangi kumjudge mtu inshort niseme hua na mind my own business na mwanaume ambae niko nae tu.

Hata uniseme au unisengenye nakuona hv usitegemee nikareact na nikiamuaga kitu nimeamua sitaki mtu anibadilishe mawazo yangu nahisigi nilichoamua kiko sahihi maana natumiaga mda mref sana kufikia maamuzi.

Nipo kundi gani? Extrovert? Introvert? None of the above au wapi exactly?
 
Aisee...
I like your character.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…