Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,456
Wako likizo ya Pasaka hawa watoto.
sawa ndugu mhadhiri
Wako likizo ya Pasaka hawa watoto.
Nakusikiliza jiraniii.Dakika moja tu jirani
23 unakuwa na mchecheto hivyo tuko 30's wengine 40's wanaishi very comfortablyNow am 23yrs (so sad) umri unasonga kwelikweli
Kabisaa, introverts tunatumia zaid logicKwahiyo wakuu ndio tumekubaliana introverts ndio tumeishika hii dunia hehe.
Kuishi ni Kristo mkuu,kufa ni faida or don't you know that there's life after death...?Ni trait mbaya sana hiyo, mnakufaga mapema mnatuachia wake zenu.
Kaa na watu akili ifunguke
Wote hawapo hivyo ila tunapaswa tuwe hivyoHii issue ni mimi tu kuhusu PESA au na nyie?
Habari za wakti huu wana JF moja kwa moja Nimejichunguza muda mrefu sana yaani. Nikiwa sina pesa huwa nawaza mambo ya kijinga sana, huwa nawaza mbususu, matumizi ya hovyo, kumsahau Mungu, matusi. Nikipata pesa kidogo tu huwa nakuwa makini sana, siwazi wanawake. Nikienda dukani huwa nakuwa mpole...www.jamiiforums.com
Hii issue ni mimi tu kuhusu PESA au na nyie?
Sent using Jamii Forums mobile app
We are upcoming Millionaires
Hivi na wale wakimya wanaopenda kukaa na watu(friends) wanaitwaje vile?I am your fellow introvert, unapanga kuingiza only 10m per year, usituangushe introverts wenzako. ongeza dau hilo jombaa. introvert tuna heshima yetu mzee, bidii na pesa. kuongea hatujui inaongeaga pesa,,,
Usinie madogo maishani mwako,nia makubwa na fanya kimyakimya kwa siri, usionyeshe watu siri za mafanikio yako, wastukie tu umeshapaa. sisi hatujui kujibembeleza au kutafuta mtu, huwa tunaweka mazingira watu watutafute wenyewe.
Nasikia ata putin nae ni introvert
Are you a man?Here's the thing.
Chochote utakachokiweka JF basi sio mali yako tena na mtu yoyote anaweza kujibu na ndio maana ya Forum.
So hakuna anayepaswa wala asiyepaswa, kuanzia sasa elewa hilo kwamba hii sio Social Media bali ni Forum.
Wait you think I give a damn kuhusu wewe kuamini au kutoamini kwamba mimi ni Introvet au lah?
Sikia dogo mimi sijali unachoamini wala usichoamini, unachoamini, usichoamini au unachofikiria that's your damn business.
I don't give a damn about what you think or what you believe.
Wewe una matatizo ya akili sio bure, mimi na wewe nani amemtukana mwenzie?
Yes mimi sio Introvert na hakuna sehemu nimesema mimi ni Introvert, so usijifiche wewe niface mimi kama mimi acha uoga wa kike kujificha nyuma ya ukuta.
Na niamini ungekuwa karibu yangu ungekuwa hospital ukiugulia mpasuko kwenye fuvu.
Watu kama nyie mna zero emotional intelligence wala empathy, yaani mnaendeshwa kwa hisia na instincts kama wanyama.
Hamfikirii wala kujali mnachokifanya wala kuongea, mnafanya tu mambo kama instinctive animals.
Tabia zako ni hizi hapa.
na mimi nina uzoefu na watu kama nyinyi sababu nimekutana nao na mpo kila sehemu na ndio maana nimekuchangamsha kidogo unaanza kulialia.
Na hicho ndicho ninachokifanya kila ninapokutana na watu kama nyinyi ili mjifunze heshima na jinsi ya kuishi na watu sababu jamii yote imeharibika kwa watu kama wewe.
Hapo umesema naweza "kuamini" wewe ni Introvert.
Neno" kuamini" maana yake unajihisi na kuona unachokiamini kina umuhimu kuliko chochote kile, which is bullshit.
Ngoja nikwambie ukweli Unachokiamini ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Your Belief don't matter to anyone.
Unachofikiria, unachoamini, unachotaka, unachosema yote ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine.
Imebidi nikwambie kama ulikuwa hujui.
Mpaka hapo huo ni ushahidi tosha kwamba wewe ndio mbinafsi na anayejiona bora kuliko wengine, that's why umekuja kuandika zile pumba na kuhukumu kiasi kwamba wewe ni mungu mtu.
Nyie ni aina ya watu ambao mlikuwa waonevu au mlelewa vibaya hivyo ukiona mtu anamind business zake mnaumia sababu mnataka awe chini yenu kitu ambacho hakiwezekani.
Ndio maana umefurahi na kusema neno (naweza kuamini) baada ya huyo jamaa hapo kuwa mpole, na hicho ndicho unachokitaka, mtu awe chini yako.
Na ndio sababu ukiona mtu amekuja juu na kurespond with the same effort kama mimi unaanza kulialia na kupanic, why? sababu ego yako inaumia kwamba kwa mara ya kwanza nimekuwa mdogo.
Na hicho ndio mimi ninachokitaka, usikie maumivu ambayo wengine wanayasikia lakini wamekaa kimya.
Umekuwa exposed that's why unasingizia nimemtikisa kidogo akatikisika, hapana, hiyo ndio tabia yako nimekusoma inaonesha kila sehemu unacomment negative. so acha visingizio vya kitoto.
Au unataka kuniambia kila unapoenda unatapika negative ili kujaribu watu kama watarespond the same au lah, why ufanye hivyo wewe ni kichaa?
Yaani wewe unategemea kumwambia mtu maneno machafu pengine tabia ambazo hana means unamsingizia then unategemea awe cool, akae kimya kama boya, are you Fu(king nuts?
Kwanini ufanye kitu kama hicho?
Utafanya hivyo ikiwa wewe ni Mjinga, Mshenzi, Mpuuzi asiyejitambua wala kuwa na heshima na adabu kwa wengine.
Au unaona sawa kuwaambia watu maneno machafu then wewe unajiona mkamilifu? lakini ukiambiwa wewe maneno hayohayo unaanza kulialia?
Yote haya ni ili ujifunze kwamba unatakiwa uheshimu watu na sio kuongea pumba kila unavyojisikia sababu umeamua tu, na bila shaka wewe utakuwa kati ya miaka 18 mpaka 23 sababu wengi ndio wanakuwa na tabia mbovu kama hizi.
Don't be an uncivilized idiot na jifunze heshima.
Trust me I can do this all day na naweza kuandika milele as long as utaendelea kujibu which is true.
Vipi jamaa anawagonga sana mvumilieni, mimi naenjoy sana kusoma anachoandika.Are you a man?
Swali langu lina husiana nini na ku enjoy kwako?Vipi jamaa anawagonga sana mvumilieni, mimi naenjoy sana kusoma anachoandika.
maneno maneno maneno...... Ingia kweny kutimizaHakika hakuna watu tuna-enjoy life kama sisi introverts
Look at me: Muda wote nafikiria kesho yangu, Sina time na mademu Am hard working man
Always napitia mulemule ninapopapanga (Alhamdulillah)
I set a goals for years and it happen, I enjoy life when I am alone. Due to my focusing mind imenifanya muda mwingi niwe peke yangu, nimekosa marafik sikujua sababu ni nin kwa huko kitambo, ila jamiiforums threads imenifanya nijue. Always I think not only my world life but also the life after my death hivyo imenifanya niwe mtiifu sana kwa Muumba wetu
Najitahidi sana niswali swala tano, Now am 23yrs (so sad) umri unasonga kwelikweli. 2024 nitaoa mke wangu wa kwanza (am Muslim nnaweza nkafikisha hadi wanne, itategemea tu) This year I plan about making 10 millions Tanzania shilings
Even you are not introvert but still u have a brain to think and act, Let's fear our Lord the world life is just a passing moment.
Nb/ I like jamiiforums because I prefer more observation than interaction
View attachment 2141380
Sent using Jamii Forums mobile app