Introverts tunaishi maisha 'unique' sana

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,429
3,382
Hakika hakuna watu tuna-enjoy life kama sisi introverts

Look at me: Muda wote nafikiria kesho yangu, Sina time na mademu Am hard working man
Always napitia mulemule ninapopapanga (Alhamdulillah)

I set a goals for years and it happen, I enjoy life when I am alone. Due to my focusing mind imenifanya muda mwingi niwe peke yangu, nimekosa marafik sikujua sababu ni nin kwa huko kitambo, ila jamiiforums threads imenifanya nijue. Always I think not only my world life but also the life after my death hivyo imenifanya niwe mtiifu sana kwa Muumba wetu

Najitahidi sana niswali swala tano, Now am 23yrs (so sad) umri unasonga kwelikweli. 2024 nitaoa mke wangu wa kwanza (am Muslim nnaweza nkafikisha hadi wanne, itategemea tu) This year I plan about making 10 millions Tanzania shilings

Even you are not introvert but still u have a brain to think and act, Let's fear our Lord the world life is just a passing moment.
Nb/ I like jamiiforums because I prefer more observation than interaction

14-Very-Real-Confessions-of-An-Introvert-Leader.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am your fellow introvert, unapanga kuingiza only 10m per year, usituangushe introverts wenzako. ongeza dau hilo jombaa. introvert tuna heshima yetu mzee, bidii na pesa. kuongea hatujui inaongeaga pesa,,,

Usinie madogo maishani mwako,nia makubwa na fanya kimyakimya kwa siri, usionyeshe watu siri za mafanikio yako, wastukie tu umeshapaa. sisi hatujui kujibembeleza au kutafuta mtu, huwa tunaweka mazingira watu watutafute wenyewe.
 
Introverts na shughuli za peke yetu peke yetu. Japo sikwepi kabisa interaction bado naprefer kufanya kazi mwenyewe au na timu za watu wachache.

Kuspend most days mostly alone ni furaha. Happy to be able to do so bila kuwa na 9 to 5 work.

Japo nimekuja kugundua kuna kaelement za extraversion kwa mbali ila bado happy to be a proud introvert
 
I am your fellow introvert, unapanga kuingiza only 10m per year, usituangushe introverts wenzako. ongeza dau hilo jombaa. introvert tuna heshima yetu mzee, bidii na pesa. kuongea hatujui inaongeaga pesa,,,usinie madogo maishani mwako,nia makubwa na fanya kimyakimya kwa siri, usionyeshe watu siri za mafanikio yako, wastukie tu umeshapaa. sisi hatujui kujibembeleza au kutafuta mtu, huwa tunaweka mazingira watu watutafute wenyewe.
Shenzzy
 
Mi ni introvert ila nina madem 4 mmoja tu ndo nilimtongoza wengine wote wamenitongoza wenyewe nikaona tu nikubali nisije kukataa nikaonekana mchele coca

Shida ninayopata ni kuwa siwezi kuongea kwenye sim muda mrefu sijui kubembeleza yaani sipo romantic na wasiponitafuta na mimi siwatafuti wameshazoea hata sms kila siku wanaanza wao na hela hawaniombi

ila nina huruma sana sipendi kusikiliza shida zao maana huruma niliyonayo itabidi niwasaidie wakati hela yangu nimewekea malengo mengine
 
Back
Top Bottom