Introverts tunaishi maisha 'unique' sana

I am your fellow introvert, unapanga kuingiza only 10m per year, usituangushe introverts wenzako. ongeza dau hilo jombaa. introvert tuna heshima yetu mzee, bidii na pesa. kuongea hatujui inaongeaga pesa,,,

Usinie madogo maishani mwako,nia makubwa na fanya kimyakimya kwa siri, usionyeshe watu siri za mafanikio yako, wastukie tu umeshapaa. sisi hatujui kujibembeleza au kutafuta mtu, huwa tunaweka mazingira watu watutafute wenyewe.
Na mm pia n m1 wenu friends ni introvert coz cna mazoea na wadd na najitahd kutmz malengo yangu amby bd cjayafkia
 
ila Introvert please, tujitahidi kupunguza uhuni/ngono, tulivyo wapole, tuunavyochakarika, na tunavyofanikiwa wanawake wengi wanatuelewa sana na kutufuatilia sana, na wanachukuliaga upole wetu kama hatuwezi kutongoza shida wanakuja kustukia wameshaliwa. ili kuendeleza jumuiya ya introvert, tuepuke umalaya, tumwogope Mungu ili tuishimaisha marefu. ni ushauri tu.
 
Dah utofauti wetu unafanya wanaliwa sana. Kwa sababu wanawake huwa wanapenda watu wa kiutofauti. Asa haoa duniani extrovert ni wengi kuliko sisi.
Case closed. Huo ushauri ni
 
ila Introvert please, tujitahidi kupunguza uhuni/ngono, tulivyo wapole, tuunavyochakarika, na tunavyofanikiwa wanawake wengi wanatuelewa sana na kutufuatilia sana, na wanachukuliaga upole wetu kama hatuwezi kutongoza shida wanakuja kustukia wameshaliwa. ili kuendeleza jumuiya ya introvert, tuepuke umalaya, tumwogope Mungu ili tuishimaisha marefu. ni ushauri tu.
Imepita hiyo, tuishi maisha marefu introverts

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha uongo sasa hivi kuna ofisi au taasisi mtu anaweza siku nzima siku zote asishirikiane na wafanyakazi wenzake (work mates) kwenye kazi kwamba kila mtu anafanya kazi kivyakevyake tu .
Acha uongo wako we bwana mdogo
JF ina watu wa ajabu sana
 
ila Introvert please, tujitahidi kupunguza uhuni/ngono, tulivyo wapole, tuunavyochakarika, na tunavyofanikiwa wanawake wengi wanatuelewa sana na kutufuatilia sana, na wanachukuliaga upole wetu kama hatuwezi kutongoza shida wanakuja kustukia wameshaliwa. ili kuendeleza jumuiya ya introvert, tuepuke umalaya, tumwogope Mungu ili tuishimaisha marefu. ni ushauri tu.
Sahihi kabisa ijapokua me cna hayo
 
inaonekana kuna watu wengi hawawajui introvert. hii ni inborn behaviour wala hatujipendei. ukitulazimisha kuishi maisha yako unakuwa unatuburuza na tunateseka. vile tulivyo ndio tunafurahia. tukisema tunakaa ndani tunajifungia usifikiri wote tuna akili za punyeto ambayo hata maextrovert wanapiga. ni kwamba, ratiba yangu yote imejaa. nikiamka asubuhi naenda kazini na consentrate na kazi hadi muda wa kazi uishe, nikitoka hapo sina ujinga mwingine ni kwenda home kufurahi na watoto wangu na mke, kupumzika na kuangalia tv au kama kuna kazi binafsi nafanya. au navaa zangu raba na track suit naenda kufanya mazoezi ya kukimbia au hata mpira. ila huwezi kunikuta ati nafurahia kwenye kwenye sherehe za arusi, vipaimara sijui sherehe za maofisini watu mnacheze mziki, hatuijui night club ipoje. kitu pekee nitafanya ni kwenda church tena sitaki kukaa mbele, nikae nyumba au katikati ya watu nisionekane sana.

kuna jamaa yangu mmoja ana tabia za introvert kama za kwangu, alikuja church, ukimpa mike mwambie aende pale mbele ajitambulishe au ajieleze jambo, utamwonea huruma. kuwa introvert ni kuumbwa ukiwa mtu wa aibu/kutokuwa na uwezo wa kuongea mbele za watu, kutokuwa na uwezo kuexperess sana mbele za watu, wewe ni kufanya mambo yako kimya kimya na kwa mkatomkato. tumeumbwa hivyo. ila kwasababu tunajijua tuna tatizo (kwasababu kiukweli hilo ni tatizo, nimefaight maishani nimeshindwa kuliondoa), huwa tunajaribu kufunika kwa kupiga kazi sana, kutafuta pesa sana ili pesa ituheshimishe. la sivyo, hatuna heshima kwasababu hata kujieleza mbele za watu hatujui yaani, ila kujieleza kwenye makaratasi na kwenye pesa hapo hutupati.
Umenimaliza Mimi wote.
Kwakweli ndivo nilivo ndiomana natafutana na pesa Kama kichaa.
 
Hakika hakuna watu tuna-enjoy life kama sisi introverts

Look at me: Muda wote nafikiria kesho yangu, Sina time na mademu Am hard working man
Always napitia mulemule ninapopapanga (Alhamdulillah)

I set a goals for years and it happen, I enjoy life when I am alone. Due to my focusing mind imenifanya muda mwingi niwe peke yangu, nimekosa marafik sikujua sababu ni nin kwa huko kitambo, ila jamiiforums threads imenifanya nijue. Always I think not only my world life but also the life after my death hivyo imenifanya niwe mtiifu sana kwa Muumba wetu

Najitahidi sana niswali swala tano, Now am 23yrs (so sad) umri unasonga kwelikweli. 2024 nitaoa mke wangu wa kwanza (am Muslim nnaweza nkafikisha hadi wanne, itategemea tu) This year I plan about making 10 millions Tanzania shilings

Even you are not introvert but still u have a brain to think and act, Let's fear our Lord the world life is just a passing moment.
Nb/ I like jamiiforums because I prefer more observation than interaction

View attachment 2141380

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu. Ukijitambua siku zote utafanya Mambo yako kwa uhakika na kujiamini Sana. Ila changamoto ni kuwa, jamii haiwaelewi watu wa Aina yako na inawaona Kama wanaringa au Wana majivuno flani hivi, but usipolitazama Hilo utafika mbali Sana hongera.
 
Introvent by born ir by environmental kuna mmoja alisema yeye no Intovent by professional
 
42 Reactions
Reply
Back
Top Bottom