Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
good.. sasa ona huyu nae alivyojibu hapa!! sijui kapeleka wapi akili!!
hivi wewe uliwaza kwamba nimekutongoza kwa kukuuliza are you lonely??
ulielewa manake au ulikurupuka tu na kuropoka huu ujinga ulioandika??
do you know psychological problems you woman?
aisee dont provoke me again....!!!
:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
haya mi nitaanza kindengereko course labda mwezi wa sita nikijua kidogo nitakuja kukufunza walau cha kuombea chaiKweli kuna umuhimu wa kujifunza.
haya mi nitaanza kindengereko course labda mwezi wa sita nikijua kidogo nitakuja kukufunza walau cha kuombea chai
Mi cha kuombea maji nakijua mwenzio, nashukuru baba alikuwa ananiongelesha mara kwa mara. Ila utapoenda course nambie nikuagize mpunga wa Rufiji.
​haswaaaaa shosti!!msalimie shem Mndengereko!!wewe Excel mtu ambaye hajapombeka wala hana hamu
na pombe, na wala hana nia kwani hajawahi kupombeka
na isitoshe yeye hana kiu kwani hajawahi kabisa
mkuu utafiti Passion Lady ni member halali mkuu utafiti ashapata uanachama so ruksa kujua siri za #teamrafiki na pia anataka cheo cha mweka hazina wa kundi
Mndengereko umefanya kitu kizuri, huyu binti Passion Lady atashika funguo ile muhimu kuliko zote, naamini #team inaenda vizuri kua na usimamizi mzuri
aminia shem langu!!
utafiti kakusoma bila shaka!!
Mndengereko umefanya kitu kizuri, huyu binti Passion Lady atashika funguo ile muhimu kuliko zote, naamini #team inaenda vizuri kua na usimamizi mzuri
haswaaa utafiti hujakosea!!
naimani teamrafiki itakua the best team
coz ya uongozi ulio bora!!
haswaaa utafiti hujakosea!!
naimani teamrafiki itakua the best team
coz ya uongozi ulio bora!!
karibuni sana KakaKiiza Rogie mwekundu Nicas Mtei Vin Diesel Kipaji Halisi Asprin watu8...si lazima mhame chama...mnaweza tu kusitisha kulipia uanachama wa [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamBazazi]#TeamBazazi [/URL] .