Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,415
- Thread starter
-
- #241
aisee kwetu huku northen hemisphere... hali si njema kabisa!
jua kuliona ni once upon a time...
Excel yuko wapi dada yng miss neddy ?? Sikuoni kumuita au kumtangaza?
Akiwajibu please munijulishe manake anajikausha tuuuu!mimi nishamuuliza sana hilo swala naona ananikimbi tu kila akiniona
cc : Excel
sijawahi kuwa #teambazazi katu abadan,asilani tafadhali naomba uniombee raadhi kwanza ndo tuendelee
usijali rafiki tuko kwenye bungeni maandalizi ya uundaji
na uandaji wa KATIBA ya TEAMRAFIKI
ikiwa tayari tutakujuza ondoa shaka
kwani tushampata mwenyekiti wa muda Tized
Akiwajibu please munijulishe manake anajikausha tuuuu!
asante sana Mndengereko..bandiko limekuja katika muda muafaka
maparoko wangu Kaizer na Eiyer karibuni sana
good bye mc.. see you later...
iam not in the mood i think ..
Akiwajibu please munijulishe manake anajikausha tuuuu!
Hahhahahaa. Best huu mwaka ulianza kwa "WANTED" kadhaa. Sasa kila siku zinazidi najiuliza nitaumaliza salama kweli? lol
i'm out of mood i think.. mwallu, cheers sis... i was taught to critically question every time..
if you were bored... i will buy a drink for you guys! just for fun
nipo #teamrafikiUbazazi siuwezi, ndio nataka fomu ya #teamrafiki hivyo!
Kwani wewe upo team gani?
We bazazi ukipewa uanachama wa #teamrafiki nakata rufaa!