Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,845
Mnatuita vizuri tuu..
Tunafika mnatukaribisha vizuri kabisa.
Ila baada ya kufika ndani lugha inabadilika as if jamaa ajui kabisa kiswahili...
Lugha inaenda deep zaidi mpaka unajiuliza mbona wafanyakazi humu ndani wanaongea kiswahili kabisa
Huyu jamaa katokea wapi mbona ka-change ghafla...
Mbona ana maswali ya ajabu hivi.
Kila anayetoka macho yamebadilika..
Tumeingia kwa furaha tumeingia kwa furaha ila unatoka very sad aiseee...
Je ushakutana na hii zahama hapa mjini dasalamu ukiwa umeitwa sehemu kuomba kazi..?
Ukimwi Unaua...