Madame unafanya financial services mimi HKL nilitarajia nini? Anyway angalau nikawa nimekuja jiji la DarYaani ni ikawe hivyo aisee hali si nzuri upande huu wa ajira🤔
Madame unafanya financial services mimi HKL nilitarajia nini? Anyway angalau nikawa nimekuja jiji la DarYaani ni ikawe hivyo aisee hali si nzuri upande huu wa ajira🤔
Succeeded?Yaani ni ikawe hivyo aisee hali si nzuri upande huu wa ajira🤔
Nop nimekatwa mkuu, yaani wameniamsha na email ya kuregret😄Succeeded?
Mi nimekuta sms ikiregret ikanielekeza nicheki na email kuna regrets zingine.Nop nimekatwa mkuu, yaani wameniamsha na email ya kuregret😄
Inaitwa 2 in one hiyo😀😀 mi imeanza email wakaona haitoshi wanitumie na sms juu🙌Mi nimekuta sms ikiregret ikanielekeza nicheki na email kuna regrets zingine.
Mkuu utapata tu maana tuliahidiwa atakayekosa kwenda next stage atapata email na atakayeenda next stage atapata email.mbona mi sijapata sms na email yoyote
msaada jamanii au nimekoswaa
Huenda wameanza na sisi tuliokatwa mkuu, huenda umepitaa subirimbona mi sijapata sms na email yoyote
msaada jamanii au nimekoswaa
Mliofanikiwa to next stage mrejesho please! I really appreciate your efforts aisee si kwa pepa lile![]()
Tumeshatumiwa leo mapema ambao hatuendelei na next stage, sijui wengine kama bado🤔Hivi wameshatumiwa majibu tayar hao walioendelea? Au wao bado.
Tumeshatumiwa leo mapema ambao hatuendelei na next stage, sijui wengine kama bado![]()


Nahitaj moyo wako chiefMi mwenyew siendelei. Tunataka wanaoendelea watupe lonja tuone kama tutajitoa ufahamu twende oral bila kuitwa. Wanafanya lini na saa ngapi![]()
Nahitaj moyo wako chief
Asante kwa kunitia moyoHuenda wameanza na sisi tuliokatwa mkuu, huenda umepitaa subiri