Kusubiri mwezi mzima ndo nini😂Kwann
Kusubiri mwezi mzima ndo nini![]()
Kwa hiyo hili swali lina uhusiano gani na maswala ya kumsaidia mteja ATM card yake iliyonasa?





Yaani nimeona notification sijui TPB Aptitude Test moyo umepiga paaah nikikumbuka zile spana. Acha kabisa.
Acha uongo wewe mchimba chumvi




Tena ukute yupo kwenye maporomoko ya huko kigomaYaani nimeona notification sijui TPB Aptitude Test moyo umepiga paaah nikikumbuka zile spana. Acha kabisa.



Pole,We unaonajeMmmh io avatar n ww![]()
Ile siku baada ya ile test nilinyoosha Mbezi nikapanda basi la mkoa wangu njiani nikamuambia mwenyeji nguo, mswaki na vitu vingine nitavifuata Mungu akipenda.Pole,
Usiwe na presha subiri pasaka iishe mtapewa majibu
😂🙌Tulipoteza muda
Hahaa mimi ndiyo hata sitegemei kuitwa si kwa miswali migumu vile😀Yaani nimeona notification sijui TPB Aptitude Test moyo umepiga paaah nikikumbuka zile spana. Acha kabisa.
Yaani hapa macho kwa Madame President afungue koki ya ajira.Hahaa mimi ndiyo hata sitegemei kuitwa si kwa miswali migumu vile😀
Yaani ni ikawe hivyo aisee hali si nzuri upande huu wa ajira🤔Yaani hapa macho kwa Madame President afungue koki ya ajira.