Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

kamwendo

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
606
1,000
Haaa haya acha tu tufanye ila tutakutana kwenye oral ambayo ndiyo mwisho wa Google 😀

Sasa mkuu kuwa kwenye ajira ndiyo huruhusiwi kuomba sehemu zingine? Wewe Umesharidhika na ulipo? Utastaafia hapo hapo?. Hiyo ndiyo dream job yako?, mshahara unakutosha ?changamoto unazozipata hapo for your career development zinakutosha hutaki kuongeza? There are a thousand reasons to look for other opportunities/Green pastures out there 😛
Nimekupenda bure kwa jibu lako.

Napenda watu wanaopenda changamoto mpya na vitu vipya.
 

cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
3,069
2,000
Hizi post kuna wakati wanafanyisha watu interview na hawachukui,au wanatangaza tangazo la kazi,na hawaiti watu,kuna jamaa yangu was a HR Manager huko Yap Merkez,jamaa alisema hizi kazi nazitangaza lakini ni gumashi sio kweli,hatuiti hata mmoja,na kweli hadi leo kimya!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee hiii ni kweli walitoa nafasi kama 1000 hivi
 

sechala

Member
Jan 28, 2017
16
45
Jamani mliofanya oral kuna aliyeitwa kazini? Mana naona kimya kwangu isije kuwa najipa matumaini kumbe tayari cku nyingi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom