Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Sifikirii kama wanaweza kuita ORAL watu zaidi ya 300. Watakuwa ni wapumbavu sana hao TPB

Basi sidhani kama watakua chini ya 500 watakaoitwa. Kumbuka aptitude wamefanya zaidi ya elf 10. Na oral inafanyika kwa wiki 2, sasa watu 300 ndo mpaka wamalize wiki 2?
 
Watu eflu 10 mzee sio kama unavyotaja ww. Kwa maelezo ya waliofanya usahili wamedai kuwa usaili ulifanyika kwa siku 3 na kwa wastani kila siku ilichukua watu 800 kwa awamu moja. Hivyo haiwezekani wafike watu 10000 hata iwe vipi. Pia huwezi wafanyisha ORAL watu kwa wiki 2 wakati walikuwa na uwezo wa kuchukua watu wanaoona wanaweza kuwafanyia huo usahili. Uzushi mwingi sana na kuwavunja watu moyo. Weka hapa list ya hao walioitwa kama watafika hata 300. At least kuna mchangiaji hapo juu alitoa reason ya msingi kuwa kila awamu ilitoa watu 26 ambao wataenda kwenye oral na kwa idadi hiyo unayosema ww basi hata huo usahili usingefanyika pale makao makuu yao maana ni padogo mno na ni kero kila siku kuwaona watu wanafika kisa usahili.
Acha kuwavunja moyo vijana wenzeko. Kanuni kubwa za usahili hasa wa oral huwa za uwiano wa eiza 1 kwa 4 au 1 kwa 5 na mara chache sana ukute 1 kwa 10 au zaidi ya hapo.
 
Hizi post kuna wakati wanafanyisha watu interview na hawachukui,au wanatangaza tangazo la kazi,na hawaiti watu,kuna jamaa yangu was a HR Manager huko Yap Merkez,jamaa alisema hizi kazi nazitangaza lakini ni gumashi sio kweli,hatuiti hata mmoja,na kweli hadi leo kimya!

Sent using Jamii Forums mobile app
ungemchaopa na kofi maana ni mpuuzi huyo HR
 
Hadi sasa kuna tarehe nne,,
Kuna sisi wa tarehe 13, Nimeona wa tarehe 14, kuna watarehe 20 na tarehe 23.
Tukapambanie kombe,, Liziki mafungu mawili kupata au kukosaa..
Tutakaoanza tutawaletea habari kwa ufupii.
Muwe na sikukuu njemaa
 
Na kila siku kuna interval ya dk 15 kwa kila mtu yani mnakua mnapishana, afu kuna jamaa anabisha watu sio wengi
 
Watu eflu 10 mzee sio kama unavyotaja ww. Kwa maelezo ya waliofanya usahili wamedai kuwa usaili ulifanyika kwa siku 3 na kwa wastani kila siku ilichukua watu 800 kwa awamu moja. Hivyo haiwezekani wafike watu 10000 hata iwe vipi. Pia huwezi wafanyisha ORAL watu kwa wiki 2 wakati walikuwa na uwezo wa kuchukua watu wanaoona wanaweza kuwafanyia huo usahili. Uzushi mwingi sana na kuwavunja watu moyo. Weka hapa list ya hao walioitwa kama watafika hata 300. At least kuna mchangiaji hapo juu alitoa reason ya msingi kuwa kila awamu ilitoa watu 26 ambao wataenda kwenye oral na kwa idadi hiyo unayosema ww basi hata huo usahili usingefanyika pale makao makuu yao maana ni padogo mno na ni kero kila siku kuwaona watu wanafika kisa usahili.
Acha kuwavunja moyo vijana wenzeko. Kanuni kubwa za usahili hasa wa oral huwa za uwiano wa eiza 1 kwa 4 au 1 kwa 5 na mara chache sana ukute 1 kwa 10 au zaidi ya hapo.
Mlikuwa 9800 kwenye interview ya kwanza.Oral mtakuwa around 300.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom