Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Sikufanikiwa mkuu, nilipata email tu kwamba they regret to inform me that i was not selected for the further processes sizipendi Email za aina hii. Vipi wewe upo kazini sahivi?
Nipo muda tokea mwaka jana...ila nimeitwa BoT nawaza Apt zao zitakauje...
 
Sikufanikiwa mkuu, nilipata email tu kwamba they regret to inform me that i was not selected for the further processes 😒 sizipendi Email za aina hii. Vipi wewe upo kazini sahivi?
Pole sana kuna jamaa aliwahi andikiwa hivyo na kampuni flani hv mara baada ya kufanya interview........
Walianza na hayo maneno " We Regret to inform you that".......na bla bla kibao hapo kati.......
kumbe mwishoni mwa email walimpa kazi na tarehe ya kufika kazini......

Jamaa hakusoma mpaka mwisho kumbe walikuwa wanapima torelance yake kusoma between the lines

Siku wanakuja kumtumia email kwamba offer yake ime expire kwa kuwa hakufika kazini ndio akajua kwamba kumbe angesoma vizuri email alikuwa na kazi tayari

Mpaka leo jamaa analia kwa kupiga miluzi yani

Manake mshahara wake kianzio ulikuwa ni dola 3500 usd

Tuwe wavumilivu jamani manake shetani anaweza kupita mpake kwenye barua ya ajira usiielewe
 
kama sio stori za Boda boda basi Uyu kama ni HR aliye andika hii email bas ni kiazi sio kila kitu unapima pima maisha gani ya kuviziana kwenye kona? Hovyo sana
 
Ww kiazi kweli hujui hata kampuni inajihusisha na nini unaongea ushuzi mtupu......
watu wenye akili fupi kama huyu hupenda kukariri.....
 
Hiyo kazi mwombaji anatakiwa awe na sifa gani? Kazi zake za kila siku katika hiyo nafasi ni nini?

Mara nyingi, aptitude test inaandaliwa ili kupima uwezo wa mwombaji kulingana na sifa za kazi husika. Hapo hawapimi uwezo wako kwenye taaluma uliyosomea.
 
Pole sana kuna jamaa aliwahi andikiwa hivyo na kampuni flani hv mara baada ya kufanya interview........
Walianza na hayo maneno " We Regret to inform you that".......na bla bla kibao hapo kati.......
kumbe mwishoni mwa email walimpa kazi na tarehe ya kufika kazini......

Jamaa hakusoma mpaka mwisho kumbe walikuwa wanapima torelance yake kusoma between the lines

Siku wanakuja kumtumia email kwamba offer yake ime expire kwa kuwa hakufika kazini ndio akajua kwamba kumbe angesoma vizuri email alikuwa na kazi tayari

Mpaka leo jamaa analia kwa kupiga miluzi yani

Manake mshahara wake kianzio ulikuwa ni dola 3500 usd

Tuwe wavumilivu jamani manake shetani anaweza kupita mpake kwenye barua ya ajira usiielewe
Ooh ila siyo fair huo upimaji wa torelance ya mtu, wanatakiwa kuwa clear bana, mimi nikiona regret to naachana nayo
 
Sikufanikiwa mkuu, nilipata email tu kwamba they regret to inform me that i was not selected for the further processes sizipendi Email za aina hii. Vipi wewe upo kazini sahivi?
Pole. Take a heed. Safari ya ajira na maisha huwa ndefu sana, aijuaye destiny ni Jah. Jack Ma was rejected at Havard University, was rejected at Apple, and handfuls of employments.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom