Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Inabidi Watangaze Tena Temporary Jobs Kwa Wasahihishaji Maana Sio Kwa Nyomi Lile.

[emoji16][emoji16][emoji16] lazima walijipanga lakni kusahihisha maana idadi si walishakua nayo. Lakn ile ni kazi nzito haswa kwa lile nyomi.
 
Dah... hawajui watu wametoka Kigoma huko na Nyasa wanasubiri majibu yao ili wajue kama wanaendelea au wasepe[emoji1787][emoji1787]

Hahah mzee watatukumbukaje wao wanakula maisha
 
Back
Top Bottom