Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

Kuna possibility huenda nyie ndo mmepita to other stages mkuu. Maana wengine tumewahishiwa Email asubuhi za kuregret
Naona dogo katoboa nimesikia ilikuwa chuma na watu wengi mno. Anyway wadogo zangu msikate tamaa kwenye maisha kila mtu na riziki yake na alichopangiwa na mungu. Kikubwa kila usahili hakikisha unafanya kama hakuna kazi nyingine zaidi ya hiyo na kumtanguliza MUNGU.
20210331_233920.jpg
 
Naona dogo katoboa nimesikia ilikuwa chuma na watu wengi mno. Anyway wadogo zangu msikate tamaa kwenye maisha kila mtu na riziki yake na alichopangiwa na mungu. Kikubwa kila usahili hakikisha unafanya kama hakuna kazi nyingine zaidi ya hiyo na kumtanguliza MUNGU.View attachment 1739895
Wow hongera zake sana na ahsante kwa kututia moyo mkuu, Mungu ni mwema siku tutafanikiwa. Kila rakheri kwa hatua hiyo kwake🙏
 
Yani mpaka sasa 20:56 jumatano hakuna text wala email😂 nshajijua nilipo...kukosa tu
You mean hujapata feedback yoyote? Vuta subira huenda bado wanaendelea mkuu tena huenda umepita for oral. Walianza na sisi tuliokatwa kwanza😀
 
You mean hujapata feedback yoyote? Vuta subira huenda bado wanaendelea mkuu tena huenda umepita for oral. Walianza na sisi tuliokatwa kwanza

Hiyo oral yenyew inaonekana inafanyika siku nyingi kama wiki mbili maana wapo wa tar kumi na kitu na wa ishirini na kitu
 
Back
Top Bottom