Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Pepa zenyewe wanasahihisha basi..
Haiwezekani wote. Kuna vilaza mleMungu awatangulie wote mpate kazi
Share tangazo
Mbona umekata tamaa mapema mkuuIla ile paper niliona ngumu hata sitegemei sana kuitwamtakaoitwa Mungu awasaidie
![]()
Mkuu najua nilivoboronga kwenye hiyo paper😀 labda utokee muujiza😜Mbona umekata tamaa mapema mkuu
Majibu ya aptitude tutegemee baada ya msiba kuisha? Au ndio kuingia kazini kimyakimya