financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,360
Maswali karibia yote ni hesabu kuanzia magazijuto hadi mafumbo mkuu😀 nenda tuMaswali ya mathe yapo mangapi? Nijue kama nije au nisije
Maswali karibia yote ni hesabu kuanzia magazijuto hadi mafumbo mkuu😀 nenda tuMaswali ya mathe yapo mangapi? Nijue kama nije au nisije
Dah HKL tunapigwa spana liveMaswali karibia yote ni hesabu kuanzia magazijuto hadi mafumbo mkuu😀 nenda tu
Sio poah. Sijui hiki kizazi tutakuja waambia vip watoto zetu wapende shule wakati wazazi tunataabika kama hivi.Mkuu tulikua wengi mno afu kulikua na interview ya asubuhi ambao tumepishana nao wanatoka sisi tukaingia saa 5-6 tumemaliza wakawa wanaingia wengine saa 8-9 . Yes huyo hapo ni mimibado kesho pia
![]()
Haha dahDah HKL tunapigwa spana live
Bora hizo hesabu za magazijuto. Nilifanya pia aptitude ya crdb graduate trainee program nafasi ya actuarist. Hiko kizungu nilichokuta humo ni balaaa.Maswali karibia yote ni hesabu kuanzia magazijuto hadi mafumbo mkuunenda tu
Kwakweli tupambane tu! Atleast watoto wetu waje kusimamia vimiradi vyetu maana🙄 Kwahiyo kweli umeahirisha ?Sio poah. Sijui hiki kizazi tutakuja waambia vip watoto zetu wapende shule wakati wazazi tunataabika kama hivi.
Mm nilikuwa naingia saa 8-9 nikahairisha
Hii si sequence n series (geometric progression)Haha swali kwa wa kwsho 2+22+23 ....+29



Ndio mkuu, hii niliona nisikilizie tu.Kwakweli tupambane tu! Atleast watoto wetu waje kusimamia vimiradi vyetu maanaKwahiyo kweli umeahirisha ?
Ungechoma zaidi ya 100k kwenye nauliBoraa sikwenda!ningechoma nauli kutoka mwanza Hadi dar plus malazi na chakulaa almost Kama 17k alfuu unaambulia checheee...Bora niongezee hi hela kwenye mtaji wangu wa matunda
Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
Ok haya mkuu!kila rakheriNdio mkuu, hii niliona nisikilizie tu.
Hapana nasubiri utumishi monitoring and evaluation (rea)
Ndio mkuu, hii niliona nisikilizie tu.
Hapana nasubiri utumishi monitoring and evaluation (rea)
Afu waambie yapo google yote😄Most maswali ni ya kuchaguaa and asimilia kubwa ni math knowledge questions all in all al the best kwa wanaonalizia kesho wingi sio hoja just trust ur self
Kwa hiyo hili swali lina uhusiano gani na maswala ya kumsaidia mteja ATM card yake iliyonasa?Haha swali kwa wa kwsho 2+22+23 ....+29
Ni shida
Inaruhusiwa kuingia na simu?Afu waambie yapo google yote😄