Intelligence heredity: Je, uwezo wa akili hurithiwa?

Intelligence heredity: Je, uwezo wa akili hurithiwa?

nimekuliza swali moja tu...nani alikuambia tunapima Intelligence kwa standard perfomance ya darasani...?? tatizo nimgundua kitu hujaelewa thr difference between the two..

Utofauti kati ya watoto wa shule nzuiri ni watoto wa shule za kawaida ni knowlege to aquire the addition ...

ukitaka twende sawa kubali kuwa intelligence na knowlege kuwa ni vitu viwili ambayo ni tofauti kabsaa..na kimoja hapo ndo kinapima kingine hapo ..

ukiulizwa leo kuwa IQ za kina Isaac Newton na kina Tesla sijui kina Da vinci zilipatikanaje utasema zilipatikana kwa kuchukua standard score za darasani....?? utachekwa sana na wataaalamu wa IQ standard test na hakuna kitu kama hicho duniani..narudia tena binafsi sijawahi kuona mfumo huo..

usichanganye tafadhari,ukiukizwa kuwa mageniuz wa dunia waliopita walipimwaje darasani halafu uje useme kuwa walipimwa kwa kiwango cha ufaulu darasani?? wakati tunaona kuna kina Michael Faraday walikomea njiani kabisa lakini IQ zao zinatajwa kuwa juu sana ,utasemaje kuhusu hilo pia..??

hapa ni lazima ujue kuwa Score ya darasani sio kipimo cha IQ test..

Hahaaaa mkuu naona umelishikia Bango Hilo la knowledge...? Nilikua namaanisha standard tests haziko kwenye IQ scores yes but huoni ni strange kusema huyu mtu ana akili halafu ukimfundisha baada ya Miezi sita unampa mtihani anafeli?!..On another hand je akifaulu hizo standard tests huoni kuwa ni demonstaration kuwa ana akili/high IQ’s score na pia it shows ameacquire knowledge?!!...sasa utasemaje hivi vitu haviendi pamoja.....???

Hao watu uliowataja naona unaikomalia hii ishu ya knowledge,,,kaaa kwenye mstari tafadhali..... mtu mwenye high IQ scores na mtu mwenye low scores wote wana equal chance za kufaulu vizuri tuu darasani..the difference is yule bright atasoma effortless ila yule sio bright ataweka msuli Ila in the end wote watafaulu ....ndio maana ukiwa unasoma ukafeli unaambiwa’’ kaza buti’’ meaning shule sio kwa intelligent people only
 
sasa mkuu unapinga kuwa hili swala halipo....?

hivi umekalili njia ngapi za reproduction..??
kuna Asexual reproduction( Ambayo inahitaji cell husika moja tu) lakini pia kuna Sexual reproduction ambayo inahusisha two forms of cell kugenerate new cell au organism mwingine..refer hata biology ya o level ambayo kila mtu anafahamu au wew hukupiata hata hiyo. ? 🙂 🙂

Sasa kwenye human cloning kuna njia moja tunaita somatic cell transfer cloning ambapo hatuhitaji cell zinazohusika na reprodution ambazo ni kama sperm au ovum,..hapa tunahitaji somatic cell tu( cell inahusika na kitu au utengenezaji wa mwili tu na haihusiki na uzazi) kupitia hii cell ndipo mtu anapatikana..

Ndo mana ukisoma vizuri mwanzoni nilizungumza kuwa hawa jamaaa wanahitaji cell ya eneo lolote katika mwili wa binadamu na sio mbegu tu...hebu kagusie kwanza hata type za reproduction ambazo ni hata mtoto wa form 4 anafundishwa halafu ukimaliza ndo ule shule nzima ya how cloning inavyotokea..

Halafu unasahau kuwa mesenchyma differentiation ni gene guided process sasa kama jamaaa wanaifahamu gene inayoamuru hiyo differentiation watashindwaje sasa kumonitor process nzima..???

halafu ukiona process imeandikwa unknow au sijui its mechanism is unknown ujue inatumika kutoa product za kufa mtu ,naomba nikupe tu ukweli huo...

Hata haya magonjwa ambayo unakuta wanakwambia they have unknown origin jua kuwa hawataki kuweka wazi wenye ulimwengu huu...

Unataka waweke wazi ili iweje...? nchi za ulaya zitaendeshaje uchumi wake wakati product unazotumia zinatokana na hizo unknown scientifical results...!!
Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe

Ingawa umeiba i.d yangu

Wengine wanadhan ba swalehe ni wewe

Ingawa mm nmebobea maswala ya physics
 
Kuscore different kwenye IQ scale Kwangju ni Prove tosha Kuwa mazingira yanachangia sababu without environment tusingekuwa na small variability kwenye IQ scale,TUNGEKUA NA ONLY TWO differences;those who score high na those who scores low...kuna kitu nataka kuongea ila nashindwa...hope mmeelewa lol
habar za mchana rebeka

Hivi naweza kuwa rafiki yako
 
Mmnhhhh mkuu nimekuvulia kofia lol intelligence inakuwa modified through instructions! That is to say through environment!,....website uliyoitoa pale juu imezungumzia Kuwa the more stimulating the environment the more unawajenga intelligent children....Huko shule za Kata kufaulu ni mmoja mmoja ukifuatilia sana ni juhudi binafsi za mtoto mwenyewe na sio Shule!...km unaona ni uongo chukua watoto 50 wa Feza waende kufanya standard test za shule za kata,halafu uchukue tena watoto 50 wa shule za kata upeleke wakafanye tena standard tests za shule ya Feza..halafu ufanye performance comparison between these two cohorts......

Lastly ingawa hakuna knowledge test but I believe IQ na knowledge vinaenda pamoja... huwezi kuwa na Akili Kama huna ability to acquire knowledge...that sounds strange to me lol
Hivi dada

Naweza kuwa rafiki yako

unifundishage fundishage na mm

Npatemo cha kuchangia
 
Life code na Rebecca nimefatilia mjadala wenu kwa muda mrefu na nimejifunza lkn kuna jambo nimegundua

Life code amebase ktk kuelezea intelligence lkn Rebbeca amebase kuelezea knowledge lkn kiuhalisia hivyo ni vitu viwili tofauti

Intelligence inaarithiwa kiasi kikubwa na Genetic kuliko environment na knowledge inaarithiwa na kiasi kikubwa na environment kuliko intelligence

Ht ukiangalia duniani inaaminika kwa sasa hv watu wenye IQ kubwa ni Japan korea au Google utaona

Knowledge inaathiriwa na environment kwa kiasi kikubwa mfano the early Greek walionekana km watu wenye uelewa mkubwa

The early greek ndiio wamefanya civilization ya ulaya kwa heshima Yao bara la ulaya likaitwa Europe mungu wa kigiriki Europa na sayansi karibu yote inatumia greek words kwa kuwaenzi mchango wao

Zamani wagiriki walionekana km watu wenye akili sana lkn ukiangalia walikuwa na knowledge kubwa kutokana na mazingira leo hii wamerudi nyuma
 
Hahaaaa mkuu naona umelishikia Bango Hilo la knowledge...? Nilikua namaanisha standard tests haziko kwenye IQ scores yes but huoni ni strange kusema huyu mtu ana akili halafu ukimfundisha baada ya Miezi sita unampa mtihani anafeli?!..On another hand je akifaulu hizo standard tests huoni kuwa ni demonstaration kuwa ana akili/high IQ’s score na pia it shows ameacquire knowledge?!!...sasa utasemaje hivi vitu haviendi pamoja.....???

Hao watu uliowataja naona unaikomalia hii ishu ya knowledge,,,kaaa kwenye mstari tafadhali..... mtu mwenye high IQ scores na mtu mwenye low scores wote wana equal chance za kufaulu vizuri tuu darasani..the difference is yule bright atasoma effortless ila yule sio bright ataweka msuli Ila in the end wote watafaulu ....ndio maana ukiwa unasoma ukafeli unaambiwa’’ kaza buti’’ meaning shule sio kwa intelligent people only
Shida inakuja pale ambapo tunabishana kuhusu Intelligence ila bila kujua parameters zinazotumika kuasses hiyo kitu..

Thus why score average yake inaitwa Intelligence Quotient( IQ) na haikuitwa Knowledge Quotient,meaning kwamba tunapima Inborn ability ya jinsi gani mtu anaweza solve matatizo na mafumbo katika maisha yanayomzunguka..

Kama tungetumia kigezo cha kufaulu darasani basi leo hii tungesema watoto wanaosoma shule zaa pesa ndefu wangekuwa na IQ kubwa kuliko wengine lakini jibu lake ni vice versa...

IQ inapimwa kwa watu wote bila kuangalia elimu zao...

ndo maana hata leo ukiulizwa ni nchi gani duniani inayoongoza kwa watu wake kuwa na IQ kubwa sio Nchi kama Wingereza au Marekani kama watu wanavyodhani ila ni nchi zenye watu wengine kabisa wala siyo Israel au Ugerumani kama watu wanavyofikilia...

Nchi kama singapore zimeshafikia maamuzi ya kutoa mfumo wa kuwafanyisha watu mitihani mashuleni huko ,manake watu wahafanyi tena mitihani wanapokuwa wanasoma ,sasa hapo utaniambia IQ wanapima kwa standard score za darasani...??

lakini kwani ni ndo nchi inayoongoza kwa watu wake kuwa na IQ KUBWA ZAIDI ..

wew umebase na elimu ya darasani kama kitu pekeee cha kunote IQ ya mtu...sio hivyo...

ndo mana unakuta familia ambayo watoto wake wamesoma wamefika mpaka vyuo vikuu lakini wazazi wao hawakwenda shule hata darasa la kwanza hawakuliona lakini tunasema wazazi hao wana IQ kubwa kwa sababu wanachakata bongo zao kuhakikisha watoto wao wanapata maisha mazuri ikiwemo elimu pamoja na mahitaji mengine .

Sasa nashangaaa sana idadi ya watu wamejikita na kusoma shulr nzuri na kupata score ya marks nzuri ndo unasema watoto wana IQ kubwa...!??

Ukitaka kutofautisha the two terms kasome namna ya kupata au parameters zipi zinatumika kuasses IQ score ya mtu ...

mtaani kuna watu hawakwenda shule ila maisha wanayapeleka kwa akili kubwa sana kuwazidi hata waliosoma na hao ndo tunawaita kuwa ni big headed kama sio kuna wa uwezo mkubwa wa kuchakata maisha na ukiwapima IQ wanascore na kuwa kwenye highest IQ spectrum range kuzidi hao unaowatetea...

sasa kama Singaore imeshafuta kuwapa watoto mitihani mashuleni huko kwanini inashikilia record ya dunia kwa kuwa na watu wenye IQ kubwa na kwao swala la elimu sio kigezo tena...

kwa hiyo katika IQ score hatuna two variables katika kuscore wheather good or poor au better and stupid, ila kuna intermidiate parameters zinahusishwa na test inatakiwa kubase na real life trending circumstances...
Screenshot_20181110-124209~2.jpg
 
Life code na Rebecca nimefatilia mjadala wenu kwa muda mrefu na nimejifunza lkn kuna jambo nimegundua

Life code amebase ktk kuelezea intelligence lkn Rebbeca amebase kuelezea knowledge lkn kiuhalisia hivyo ni vitu viwili tofauti

Intelligence inaarithiwa kiasi kikubwa na Genetic kuliko environment na knowledge inaarithiwa na kiasi kikubwa na environment kuliko intelligence

Ht ukiangalia duniani inaaminika kwa sasa hv watu wenye IQ kubwa ni Japan korea au Google utaona

Knowledge inaathiriwa na environment kwa kiasi kikubwa mfano the early Greek walionekana km watu wenye uelewa mkubwa

The early greek ndiio wamefanya civilization ya ulaya kwa heshima Yao bara la ulaya likaitwa Europe mungu wa kigiriki Europa na sayansi karibu yote inatumia greek words kwa kuwaenzi mchango wao

Zamani wagiriki walionekana km watu wenye akili sana lkn ukiangalia walikuwa na knowledge kubwa kutokana na mazingira leo hii wamerudi nyuma
hongera mkuu,nishajaribu kuelewesha zaidi kuwa Intelligence inabeaffected na Genetic zaidi lakini knowlege is more affected by enveronmental factors...

lakini naona sijui inakuwa ngumu kutofautisha hizo terms mbili...

nimeweka mfano wa nchi ya singapore ambayo imeshafuta mambo ya mitihani mashuleni huko lakini ndo nchi ambayo inashikilia record kwa kuwa na IQ kubwa zaidi kwa watu wake ..

yani watu hawasomi kwa kushindana kama huku.
sasa IQ wanaipata kwa kuchukua marks zipi ikiwa Hakuna mitihani wanayofanya wanafunzi...??
 
Watu wanachanganya Kati ya intelligence na knowledge

Knowledge ni kitu ambacho unaweza kukipata muda wowote na si intelligence

Einstein anasema imagination is more important than knowledge anajua knowledge ina limit yake

Sasa watu wakiona mtu ana knowledge kubwa wanajua pia ana intelligence kubwa

Lakini genetic zinaathiri sana intelligence
 
well said...Intelligence is more genetically..but knowledge is somehow short lasting
Watu wanachanganya Kati ya intelligence na knowledge

Knowledge ni kitu ambacho unaweza kukipata muda wowote na si intelligence

Einstein anasema imagination is more important than knowledge anajua knowledge ina limit yake

Sasa watu wakiona mtu ana knowledge kubwa wanajua pia ana intelligence kubwa

Lakini genetic zinaathiri sana intelligence

But intelligence inabaki kama genetically inherited.
 
Shida inakuja pale ambapo tunabishana kuhusu Intelligence ila bila kujua parameters zinazotumika kuasses hiyo kitu..

Thus why score average yake inaitwa Intelligence Quotient( IQ) na haikuitwa Knowledge Quotient,meaning kwamba tunapima Inborn ability ya jinsi gani mtu anaweza solve matatizo na mafumbo katika maisha yanayomzunguka..

Kama tungetumia kigezo cha kufaulu darasani basi leo hii tungesema watoto wanaosoma shule zaa pesa ndefu wangekuwa na IQ kubwa kuliko wengine lakini jibu lake ni vice versa...

IQ inapimwa kwa watu wote bila kuangalia elimu zao...

ndo maana hata leo ukiulizwa ni nchi gani duniani inayoongoza kwa watu wake kuwa na IQ kubwa sio Nchi kama Wingereza au Marekani kama watu wanavyodhani ila ni nchi zenye watu wengine kabisa wala siyo Israel au Ugerumani kama watu wanavyofikilia...

Nchi kama singapore zimeshafikia maamuzi ya kutoa mfumo wa kuwafanyisha watu mitihani mashuleni huko ,manake watu wahafanyi tena mitihani wanapokuwa wanasoma ,sasa hapo utaniambia IQ wanapima kwa standard score za darasani...??

lakini kwani ni ndo nchi inayoongoza kwa watu wake kuwa na IQ KUBWA ZAIDI ..

wew umebase na elimu ya darasani kama kitu pekeee cha kunote IQ ya mtu...sio hivyo...

ndo mana unakuta familia ambayo watoto wake wamesoma wamefika mpaka vyuo vikuu lakini wazazi wao hawakwenda shule hata darasa la kwanza hawakuliona lakini tunasema wazazi hao wana IQ kubwa kwa sababu wanachakata bongo zao kuhakikisha watoto wao wanapata maisha mazuri ikiwemo elimu pamoja na mahitaji mengine .

Sasa nashangaaa sana idadi ya watu wamejikita na kusoma shulr nzuri na kupata score ya marks nzuri ndo unasema watoto wana IQ kubwa...!??

Ukitaka kutofautisha the two terms kasome namna ya kupata au parameters zipi zinatumika kuasses IQ score ya mtu ...

mtaani kuna watu hawakwenda shule ila maisha wanayapeleka kwa akili kubwa sana kuwazidi hata waliosoma na hao ndo tunawaita kuwa ni big headed kama sio kuna wa uwezo mkubwa wa kuchakata maisha na ukiwapima IQ wanascore na kuwa kwenye highest IQ spectrum range kuzidi hao unaowatetea...

sasa kama Singaore imeshafuta kuwapa watoto mitihani mashuleni huko kwanini inashikilia record ya dunia kwa kuwa na watu wenye IQ kubwa na kwao swala la elimu sio kigezo tena...

kwa hiyo katika IQ score hatuna two variables katika kuscore wheather good or poor au better and stupid, ila kuna intermidiate parameters zinahusishwa na test inatakiwa kubase na real life trending circumstances...
View attachment 928624

Mnhhh naona umekua obsessed na hili swala la knowledge acquisition kwa vile nimesema vinaendana na IQ ...rudi kwenye mjadala please...lol

Nimesema pale juu knowledge tests sio IQ tests,Ila in my opinion and I’m right standard tests ina predictable value lol .. YES, standard tests can PREDICT..one ‘s intelligence abilities,there’s CORRELATION RELATIONSHIP between IQ and STANDARD tests though this relationship is not CAUSALITY...

Intelligence pia ni ability ya kudeal na cognitive demanding/complexity task such as standard test...intelligent person means ana ability kubwa ya kureason,na problem solving sasa akifeli mtihani wa kawaida darasani utasemaje ni intelligent?? How can he demonstrate intelligence wakati reasoning yake haionekani?

Singapore lol pamoja na kuwa na high IQ wameinvent nini?lols mie naonaga Mchele wao tu 😂😂😂😂😂😊😊😊😊...(joke)....,,anyway wametoa standards tests Ila LEARNING iko pale pale,uwepo wa basic education inaonyesha wanaheshimu the role of knowledge! Ila sijui hio system Yao imeanza lini na Kama hio policy ingekua successiful I think dunia nzima ingeadopt mfumo wao..but so far ni Finland na Singapore ndio zina mfumo huo...Sijui km kuna nyingine....??

Mwisho mambo hayako soo rigid km unavyodhani, kuna shule zinafeli wanaangalia wapi walipokosea,wanna employ new strategies na kweli wana pass kwenye matokeo mengine ... Kama matoto yangekuwa majinga genetically ,yangekua hayafundishiki Mkuu
 
Mnhhh naona umekua obsessed na hili swala la knowledge acquisition kwa vile nimesema vinaendana na IQ ...rudi kwenye mjadala please...lol

Nimesema pale juu knowledge tests sio IQ tests,Ila in my opinion and I’m right standard tests ina predictable value lol .. YES, standard tests can PREDICT..one ‘s intelligence abilities,there’s CORRELATION RELATIONSHIP between IQ and STANDARD tests though this relationship is not CAUSALITY...

Intelligence pia ni ability ya kudeal na cognitive demanding/complexity task such as standard test...intelligent person means ana ability kubwa ya kureason,na problem solving sasa akifeli mtihani wa kawaida darasani utasemaje ni intelligent?? How can he demonstrate intelligence wakati reasoning yake haionekani?

Singapore lol pamoja na kuwa na high IQ wameinvent nini?lols mie naonaga Mchele wao tu ...(joke)....,,anyway wametoa standards tests Ila LEARNING iko pale pale,uwepo wa basic education inaonyesha wanaheshimu the role of knowledge! Ila sijui hio system Yao imeanza lini na Kama hio policy ingekua successiful I think dunia nzima ingeadopt mfumo wao..but so far ni Finland na Singapore ndio zina mfumo huo...Sijui km kuna nyingine....??

au sio...

Singapore wameinvest nini...??

Unahisi hiyo simu unayotumia inatengenezwa wapi..?? Singapore ndo nchi pekeee duniani iliyoinvest kwenye electronic accessories ,motherbord za electronic component nyingi kama sio zote zinatengenezwa Singapore...

alafu unasema kuwa mtoto akiwa hana reasoning anakuwa sijui hana Intelligence?? thats true kwa sababu reasoning ndo inadetermine Logic ambapo ndo inaenda kumpa mtu jawabu la kitu anachowaza kama sio kupata jibu sahihi ..
mimi nitaendelea kukubishia kuhusu standard test za IQ kuhusisha matokea ya darasani...hicho kitu mkuu hakipo...we test IQ kwa social life parameters sio Average score ya darasani...

Naomba nikupe task ukajaribu kusoma namna wanavyopata IQ za watu wanapokuwa wanafanya trial studies basing on IQ test ...wanauliza maswali ya kijamii hasa namna mtu anavyoweza kuhandle maisha yake kwa ujumla na sio kumpa mtoto mtihani wa darasani...japo kuna naman ua kuscore IQ value basing on paremeter hasa katika kipengere cha memory kwa sababu kipo ndani ya standard test...

Unapofika kwenye kipengere cha memory mtoto huulizwa mambo ambayo yanafanyika mara kwa mara katika familia yao au facility alipo,mfano kama mtoto anakaa nyumbani ha hasomi shule watamuliza mara ya mwisho alikula nyama lini,au ni lini mama yake alipika chakula kizuri au ataulizwa ataje chronological order ya ancestors katika ukoo wao huku mzazi wake akiwa reference ya atakachotaja mtoto iki kuona kama kapata au laaah...ni mambo mengi sana anayoulizwa mtoto huku yakiwa na uzito ule ule wa IQ score value,n.k na kwa mtoto ambaye anasoma ataulizwa parameters za kishule kulingana na kitu anachofundishwa mara kwa mara kama kucount how many jumatatu are there in a month au anaweza ulizwa ataje ratiba ya shule ana idadi ya vipind au anaweza ulizwa ataje majina ya maraisi wote walioshika nchi mpaka alipo inshort kwenye kipengere cha memory labda hapa ndo wanaweza kumuliza mambo ya darasani kama kutoa idadi ya wavulana na wasichana darasni aua kutaji mambo kadhaaa lakini hakuna nafasi ya score ya darasani kama kipengere chenye score valu kubwa kwenye IQ ...yani maswali ni kulingana na Umri lakini pia ataulizwa maswali ambayo yanaihusu jamiii na maswali yanayoihusu jamiii yana score value kubwa sana kuliko maswali yanayohusu mambo mengine...mtu ataulizwa how to handle life kama atafell masomo yake au kama wazazi watafariki atachukua jukumu gani kuhandle situation and so fouth......lakini score ya yale maswali inatakiwa iwe sawa kwa mtoto ambae anasoma na ambaye hasomi manake maswali yanatakiwa yawe na uzito ule ule...ila sio kuwa wanabase na mambo ya darasani tu...mwisho wa siku IQ deviation error wanaitoa ili kupata standard IQ ya wahusika kisha kupata kiwango sahihi ...

Genetic inabaki inainfluence kubwa sna katika kurithisha Intelligence huku mazingira yakiwa na mchango nyuma ya Genetic...

Binafsi ningependa kubaki katika msimamo wangu kutokana na analysis inayoonekana hasa kufuatia standard measures za IQ .

Nchi ya singapore kila mtu yupo busy ba creativity ndo mana inafikia mahali unashindwa kujua nani hajasoma na nani kasoma..maisha yapo level sawa kwa kila mtu na watu wanajikuta wanakuwa na influence ya kufanya kazi basing na shughuli ambazo wazazi wao wamejikuta wakiwa wanazifanya prior getting their children..
 
Mnhhh naona umekua obsessed na hili swala la knowledge acquisition kwa vile nimesema vinaendana na IQ ...rudi kwenye mjadala please...lol

Nimesema pale juu knowledge tests sio IQ tests,Ila in my opinion and I’m right standard tests ina predictable value lol .. YES, standard tests can PREDICT..one ‘s intelligence abilities,there’s CORRELATION RELATIONSHIP between IQ and STANDARD tests though this relationship is not CAUSALITY...

Intelligence pia ni ability ya kudeal na cognitive demanding/complexity task such as standard test...intelligent person means ana ability kubwa ya kureason,na problem solving sasa akifeli mtihani wa kawaida darasani utasemaje ni intelligent?? How can he demonstrate intelligence wakati reasoning yake haionekani?

Singapore lol pamoja na kuwa na high IQ wameinvent nini?lols mie naonaga Mchele wao tu ...(joke)....,,anyway wametoa standards tests Ila LEARNING iko pale pale,uwepo wa basic education inaonyesha wanaheshimu the role of knowledge! Ila sijui hio system Yao imeanza lini na Kama hio policy ingekua successiful I think dunia nzima ingeadopt mfumo wao..but so far ni Finland na Singapore ndio zina mfumo huo...Sijui km kuna nyingine....??

Mwisho mambo hayako soo rigid km unavyodhani, kuna shule zinafeli wanaangalia wapi walipokosea,wanna employ new strategies na kweli wana pass kwenye matokeo mengine ... Kama matoto yangekuwa majinga genetically ,yangekua hayafundishiki Mkuu
Kipengele cha kufaulu darasani kipo kwenye mengineyo kabsaa kwenye IQ questionare format naomba ulejeee questionare kama utaweza kuipata ...

IQ inatestiwa kwa parameter nyingi snaa...mtoto anaweza asiwe analipenda somo husika na kumfanya asiwe more concetrated on it na kumfanya afell zaidi lakini kuna somo analopendelea zaidi na ndo mana katika IQ score kuna kipengere cha unapendelea nini katika maisha yako...ili mtoto atakaposema anapendelea kitu flani basi maswali kadhaaa huelekezwa kule lakini pia lazima questionare format ideviate sehemu nyingine ambapo mtoto haajataja ili kuondoa error kwenye score value..

Lakini sehemu ambayo ina odd value kubwa ni cognitive areas na ndo zina score value kubwa ..

kwa kifupi kuna vipengere vimegawanywa kwenye IQ score ikiwemo kipengere cha cognitive ability,intellectual ambapo mtoto huizwa kitu anachokipenda na kama anaweza kukimudi pamoja na kuepuka changamoto zake.....

Wataasses memory capacity pamoja na cerebral capacity in relation to Brain hyperactivity wakati akijibu maswali...

Kwanza wanapendekeza kuwa mtu akiwa anafanyiwa IQ test ni lazima awe kwenye mashine ya EEG ( electroencephalogram) ambayo huweza kupima ni eneo gani la ubongo lipo busy mtoto anapokuwa anafikilia na linatoa frequence capacity range ya hyperactity...kama eneo ambalo limeonekana kuwa busy lests say Prefrontal cortex au Frontal brain au Limbic areas zimeonekana kuwa busy basi mtoto ana cognitive capacity kubwa sana wa EEG itatoa value cerebral capacity yake...

mtoto kama Intelligence yake ipo low na Delta waves au gamma waves kwenye brain cells huwa zinatoa frequency deviation ndogo sana tofauti na yule mwenye Intelligence kubwa...

Yani siku hizi maswali mengi ya kumuliza mtu yamepungua kutokana na kugundua Waves ambazo zinadetermine uwezo wa ubongo unapokuwa busy na cognition hasa kipindi cha concetration ya mind ya mwanadamu..

Kwa hiyo mashine yenyewe itatoa aina flani za wave form motion kulingana na speed ya processor ya ubongo ilivyo...

wew kama brain yako inatema Alpha waves ukiwa unaongea basi IQ yako lazima iwe na Score flani hata kabla ya kukuhoji wanakuwa washajua huyu ni mbumbumbu au laaah

So kadri muda unavyozidi kwenda mind interpretation ya mwanadamu inakuwa simple kuisoma na kupredict the autcome ya hizo causility zake.....
 
Habari za weekend wana JF, kuna swali nimekua nikijiuliza muda mrefu sana na kuna mada iliwekwa humu JF ambapo wachangiaji wengi kina Wick na Malcom Lumumba waliijadili hii issue ila kwa kugusia tu maana haikuwa kiini cha mada.

Ukweli mchungu: Pasipo anguko la Malaika (Sons of Gods/Watchers/Anunnakis/Aliens), Mwanadamu angeendelea kubaki kilaza. - JamiiForums

Humo ndani kuliibuka debate kama akili za binadamu ni hereditary/genetic au ni mazingira. Baada ya kusoma tafiti /makala kadhaa nikaona nilete mada humu ili tuweze kujadili suala hili kwa upana zaidi na niweze kupata conclusive answer kwa mjadala ule. Na source yangu kubwa ni study hii ya huyu neurosurgeon niliyeambatanisha pdf yake hapo chini.
View attachment 919915

UTANGULIZI
Akili kwa kifupi tu tunaweza kusema ni uwezo wa kufikiri au kuchanganua masuala mbalimbali yanayotuzunguka na kwa mingi wanasayansi wamejaribu kupima hiyo "akili" kati ya mtu na mtu ili kuweza kufahamu sababu halisi za kuwepo utofauti huo yaani mtu kuwa na akili ''ndogo'' au ''kubwa'' kuliko mwenzake.

Mnamo mwaka 1905 serikali ya ufaransa ilitaka kuanzisha mfumo wa "elimu kwa wote" hivyo ikataka kugundua watoto wenye ''akili ndogo'' ili wapewe elimu maalum kuwawezesha kusoma kwa spidi yao kuliko kuwabakisha nyumbani tu au kuitwa "wehu". Mtihani huu uliitwa stanford-simon test ambapo ulikuwa unapima vitu vikuu vitano ambako na sisi ningependa tutumie tunapoendelea na mjadala huu sababu hizi factors ndio zimeweka msingi wa IQ tests na mbinu karibu zote duniani za kupima akili ya mtu.

1.Maarifa (knowledge) ambapo hapa wanapima kama mtoto ana uwezo wa kuelewa mambo yanayomzunguka mfano mtoto aliulizwa kushiba au kuchoka ndio nini?

2. uchanganuzi wa hesabu (Quantitative reasoning) ; Hapa mtoto anaulizwa masuala ya hesabu ili kupima uwezo wa akili yake mfano kujumlisha,kutoa,kugawanya n.k

3. Working memory yaani Kumbukumbu ya muda mfupi ambapo hapa wanapima kama mtoto ana uwezo wa kutunza mambo aliyofundishwa au kuyashuhudia muda mfupi tu uliopita mfano kama unawaonyesha picha basi unawauliza picha ya kwanza kuwaonyesha ilikuwa ya nani.

4. Visual-spatial processing yaani utambuzi wa vitu kwa kuangalia mfano uhusiano baina ya picha na zaidi inayotumika ni puzzle ambapo mtoto alitakiwa kupanga vipande tofauti ili vitengeneze picha moja.
View attachment 919908
5.Ya mwisho ni uwezo wa kuchanganua (fluid reasoning) yaani uwezo wa kufikiri na kupata suluhisho kwa jambo ambalo halitegemei kitu ulichowahi fundishwa au kukutana nacho huko nyuma mfano kuunganisha dots za suala fulani fulani ili upate picha kamili mfano hapa chini ambapo mtoto ataulizwa umbo gani ndio sahihi kuwekwa kwenye alama ya kiulizo??
View attachment 919909
NADHARIA
Baada ya kujua baadhi ya vitu tunavyopima kwenye uwezo wa akili ya mtu.... Basi tuangalie nadharia mbalimbali zilizoletwa juu ya mjadala huu.

1. Akili hurithishwa /Heritability.
Kwenye nadharia hii baadhi ya wanasaikolojia wamejaribu kufanya tafiti mbalimbali kuonyesha kuwa akili ya mtu hurtishishwa kutoka kwa mzazi hivyo uwezo wa akili za wazazi ndio utaamua uwezo wa wanaye kwa kiasi kikubwa. Kwa mujibu wa tafiti nilioambatanisha hapo chini inaonyesha mapacha wakufanana wana wana akili (IQ) zinazofanana kuliko mapacha wasiofanana ikimaanisha jenetiki zina nafasi ya kucheza kwenye kuamua akili ya mtoto. Vilevile utafiti mwingine ukaonyesha ndugu waliokuzwa kwenye nyumba moja wana akili zinazofanana kuliko watoto wasio na undugu waliokuzwa eneo moja ikimaanisha genetics za kifamilia ndio huamua akili ya mtoto na sio makuzi/malezi n.k

Nadhari nyingine inayotumika humu ni wilson effect ambayo inasema mtu anapozidi kukua basi uwezo wa akili yake unakuwa umechangiwa na akili za kurithi kuliko sababu zingine zozote na alihitimisha kwa utafiti unaoonyesha 60% mpaka 80% ya akili ya mtu mzima huwa imerithiwa kutoka kwa kizazi chake na zilizobaki ndio sababu zingine kama elimu,makuzi,mazingira,uzoefu,afya n.k

2. Mazingira/makuzi
Nadharia ya pili inadai mtoto huzaliwa na uwezo wa akili wa kawaida ila mazingira au makuzi atayakayopata ndio yataamua akili yake hapa duniani. Tafiti mbalimbali zimefanyika mfano weinberg (1989) unaonyesha mapacha wanaofanana waliokuzwa mazingira tofauti kabisa uwezo wa akili zao haukufanana ikimaanisha uwezo wa akili huamuliwa na mazingira ambayo mtoto anakulia na sio kurithi akili za mzazi. Mfano mtoto ambaye baba na mama yake wana akili ila amekulia mazingira ya umaskini hivyo kula yake ni ya shida na hapati lishe bora hasa udogoni inaathiri size ya ubongo wake hasa ubongo wa mbele (frontal lobes) hivyo itasababisha uwezo wake wa akili kupungua sana. Ama mtoto mwenye uwezo mdogo wa akili akikulia mazingira ambayo wazazi wanamjengea uwezo wa kufikiri kama kumpa maarifa kadha wa kadha toka akiwa mdogo,kusoma vitabu,mitihani ya kimaisha ya kumfanya afikiri basi mtoto huyu akili yake (IQ) itapanuka muda unavyozidi kusogea.

View attachment 919916

Tabula rasa
Hii ni nadharia iliyoanzishwa na John locke (1690) inayodai mtoto akizaliwa huwa ni MWEUPE kichwani ila uwezo wake wa akili utaamuliwa na mazingira,uzoefu,maarifa atakayopata kwenye makuzi,mazingira au uzoefu anavyozidi kukua. Hivyo kwa kiujumla nadharia hii inasema haijalishi mtoto kazaliwa na akili gani ila makuzi yake ndio yataamuwa kama atakuwa na akili ''kubwa'' au ''ndogo''.

NB: tunapoongelea akili hatumaanishi za darasani na hatumaanishi jinsi mtu anavyozitumia bali tunamaanisha UWEZO wa juu zaidi ambao anaweza kutumia kufikiri hata kama bado hajaamua kuutumia ipasavyo. Kiufupi tunaangalia brain CAPACITY sio PERFORMANCE. Maana kuna wengine wana akili kubwa ila hawajawekewa mazingira ya kuzitumia kwa ukamilifu wake so tunapojadili tuwe nalo hili kichwani.

Naomba kuwasilisha
Cc
Mchawi Mkuu Malcom Lumumba Elungata Da'Vinci Mshana Jr Eiyer Kudo900 Vi rendra N J subi Bujibuji Kipanga boy Kiranga Che mittoga Ip man 3 mitale na midimu Mzee wa Torano Blaki Womani Grahnman za chembe jimmykb197 911sep11 afsa Francis3 mtu chake NJOLO Msolo Shubiri Pori Pendael24 Mr Miller Elli Khalifavinnie Kennedy Son of Gamba Kanungila Karim Mgambilwa ni mntu Mr FCB Mr Q geesten66 Jerry Ekky Mnabuduhe Chrisvern Dabby Jr kibuyu180 IGWE SALA NA KAZI
Wick Dukeson lifecoded Daimler monde arabe mtu watu
Unarithika
 
mkuu zitto zote hapo ni sababu kama ulivyosema ila ni sawa na wanyama na mimea inavyotegemeana katika mazingira.
kwa mfano: baba na mama wote zero,kuna uwezekano gani wa kuzaa genius? hapo ndipo unapoona sababu no1 ina mantiki, ila haiwezi kuleta matokeo chanya kama sababu no2 haijasaidia, halafu sababu no 3 ni sababu ya kisaikolojia ndio maana inatengenezwa na mazingira,uzoefu nk bila sababu no3 bado akili haijawa timilifu
Akili hurithiwa kwa 40% wakati 40% zingine utazipata kwenye malezi yako ,na endapo utaishi na wazazi wale wake waliokurithisha akili hizo utakua na akili kwa 80% (ndio maana wakasema mapacha waliolelewa tofauti akili hazifanani)
20% zilizobaki sasa ndio utazipata kwenye mazingira unayoishi,mapito yako binafsi kama sababu no3 inavyojieleza.(mnaweza zaliwa familia moja na wazazi wamoja ila mapito yenu,uzoefu,mazingira ndio yataamua nani azidi akili za mwingine)

Hapo sasa utatimiliza akili timamu😊
 
Hapo sasa utatimiliza akili timamu
Hapo kwenye kusema kama baba atakuwa zero na mama zero et na mtoto anakuwa zero nakukatalia kabsaa...

Tunasema mtoto anaweza akarithi intelligence iliyopo kwenye trend ya Ancestors ( vizazi vya mababu na mabibi zake) ..
haimanishi kuwa mtoto anarithi akili ya mama yake au baba yake ila anarithi muendelezo wa kila alichobeba mamake au babake...

Naomba urudie kusoma Inheritance geneology jinsi inavyopasiwa...

Ndo mana watoto wanaweza kuwa na Intelligence kubwa kuzidi wazazi wao lakini ukiitrace kwenye Geneology trend unakuta ni ya babu au bibi zake...
Ndo mana mwisho wa siku tunasema Genetic inabaki na mchango mkubwa sana kwenye kurithi kuliko mazingira...
 
tukiachana na huo mfano. narudia tena nmesema hizo 7bu 3 zinategemeana katika mazingira.
tuseme ndo mtoto karithi kwa babu akili alafu mama na baba ni zero brain, (waswahili wanasemaga samaki mkunje angali mbichi)
sasa baba na mama wangali zero halafu wamezaa mtoto ana akili za kurithi wanapoanza kumkunja uyo samaki/kumlea inamaana akili ndogo inalea akili kubwa ,huyo mtoto atakosa sababu no2 na namba 3 ni either aipate katikakutafuta maisha au aikose kabisa.
kwahiyo huwezi kufananisha akili kubwa iliyozaliwa na kulelewa na akili kubwa afananae na akili kubwa aliezaliwa na akili ndogo akalelewa na akili ndogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom