duuuh....aise hii mada inakuwa ngumu kueleweka kwa baadhi ya watu kwa sababu ya kukosa key words za kuweka ili kila mtu ambae hajajua how Intelligence geneology inavyorithishwa...
Labda nikueleze tu kwa ufupi kwamba kila kitu unachokiona mwilini mwako kipo under gene( Jeni) controlled..
Hakuna process yoyote mwilini inajiongoza pasipo kuwa na gene kama controlling factor( Command)
The enveronment and all surroundings have nothing to do with your body only genes, though the surroundings hutengeneza mazingira ili gene zako ziwe active..gene zikifell tayari you are no longer having a chance to survive..
Tangu cell zako zinapotengenezwa tayari inatengenezwa DNA strand ambayo ipo complete na hata kama cell mpya zitaendelea kutengenezwa na lazima mother strand ya DNA copy iwepo na ndo itakayosimamia cell zingine kutengenezwa..
Kila kitu kinarithishwa kupitia data base ya gene zako kwenye DNA..
Genes zinazohifadhi Intelligence huwa zimebeba Ujumbe husika ila huwa zinasubiri muda wa kuwa activated ili kuruhusu flow of information kwenda kwenye cognition centre ya brain ...
kila gene imebeba kitu maalumu ambacho muda ukifika kuna gene kuu ndani ya mwili ambayo kazi yake kubwa ni kuziamsha gene zingine zitoe information kwenye cognition centre ya ubongo kumruhusu mhusika aoneshe kile kilichofichwa katika physical form .
Kila tabia ya mama au baba au bibi au shangazi imebebwa na specific gene kwenye DNA arrangement ...mtoto akifika umri wa kuongea tayari gene iliyobeba formation au mpangilio wa sauti inayofanana na mzazi wake inakuwa activated na mtoto anakuwa na sauti kama ya baba yake au mama yake.
kama baba alianza kuwa mwizi wa vitu kwenye jamii alipokuwa na miaka 20 basi tabia hiyo itatengenezewa gene ya kuhifadhi na itapita mpaka kwa mtoto na mtoto akifikia umri ule ule wa miaka 20 tayari gene iliyokuwa imebebwa kwa ajili ya kumpa hamasa ya wizi inabe activated na mtoto anaanza kuonesha tabia zile zile..
Same applies kwa Gene zinazobeba au kuhifadhi Intelligence ya vizazi vya familia yao..kuna muda ukifika tayari genes specific wa kutoa information kwenye recognition centre ya mtu huyo inafunguka na mtoto anakuwa aware na chochote ..
Unaambiwa hivi,we posses each and everything kwenye DNA yetu ila muds ukifika vinakuwa activated ubongo wako unaohusika na utambuzi unaanza kutambua but we have the Blueprint kwenye mwili wetu...
Nothing new ww learn ,the enveronment provides a way for your cognition centre kuruhusu utambuzi wa kusoma tabia za ndani..
Ndo mana tunasema kuwa kadri umrinunavyodhidi kwenda tabia zote za mtoto kutoka kwa wazazi wake au ancestors wa nyuma zinafunguka kwa uwazi mkubwa..ni muda mwafaka kufika ili part ya ubongo kuanza kusoma codes zilizobeba ujumbe kwenye genes hizo..
Ndo mama kama unataka kuamini hilo angalia mtoto mdogo anapozaliwa ,yani anaweza asifanane na mtu yeyote kwenye familia lakini kadri anavyokuwa tayari sura harisi ya wazazi wake inaanza kuonekana na mwisho wa siku anajulikana kabisa ..Genes never lie for sure ,we poses the blueprint inside our DNA ..
Kama Haitoshi,naomba uchunguze kwa makini hata watoto wanapozaliwq na wazazi wao kisha kuchukuliwa na kwenda kuelelewa mazingira mengine ila wakirudi sura zao huwa hazibadiliki lazima atafanana na baba yao au mama yake hata kama ataishi ulaya miaka 30 ila siku akirudi copy right ni wa kwao..
Kama mazingira yangekuwa yanachange hali halisi kwanini sura hazibadiliki..??
kwa hiyo hata kwenyr Intelligence ninhivo hivo,kama geneology trend ya ancestors ilikuwa na IQ ndogo basi ukoo mzima utakuwa zero ..kama ukitaka kuamini chungukia hata ukoo wenu kama kuna nature ya Akili ipo tu na haitabadilika lazima kutakuwa na element za akili despite watu wanakukia mazingira tofauti na kinachowatofautisha ni mazingira wanapokulia na kuwafanya ku acquire different knowledge ila ukipima IQ ya ukoo mzima lazima utapata Range ya pamoja despite wwpo waliosoma au hawakusoma kwa sababu IQ hatuipati kwa Kuangalia elimu zao ,elimu ni Acquired ability na sio Inborn..
ndo mana moto wa shule au vyuo huwezi ukakuta wanaweka " EDUCATION FOR BETTER INTELLIGENCE ila watakuandikia EDUCATION FOR BETTER KNOWLEGE,means it is acquired one,the total blueprint you have inside you and not otherwise..
Sasa labda nifungue akili za wengi mchango wa Diet( Lishe bora ) kwenye Intelligence..
Ili gene iliyobeba ujumbe au tabia flani kwa mtoto au mtu iweze kufunguka vizuri inahitaji mazingira mnayoyasema..
kww mfano kuna specific amino acid ambazo kazi yake ni kuruhusu transduction au utafsiri au activation ya haraka ya genes zilizobeba specific character( Traits)..haimanishi kuwa mtoto akikosa lishe bora Intelligence yake itapotea,hapana hapana ila mufa wa gene kuwa activated utachelewa ila muda ukifika naturally ile main gene inayocontrol natural activation ya gene zingine inaamuru activation na Intelligence flow information inakuwepo..
Kama mtoto utaanza kumpa lishe bora mapema ,manake uwezo wa blueprint kuruhusu activation ya gene zilizobeba ujumbe kufunguka kwa haraka na kupeleka utambuzi usomwe kwenye recognition centre kwa haraka zaidi ,manake mtoto au mhusika atakuwa na uwezo wa kuinteprete ujumbe wa haraka zaidi...
Ndo mana kama mzazi wako au ancestor wako alipata cancer ya matiti ,tayari cell zote mwilini mwake zinabeba sifa ya cancer na kuitunza na kuruhusu ibebwe na gene husika na mtoto ambaye atakuwa na ile gene muds ukifika wa kuwa activated tayari inaanza kuruhusu cance kuanza kukua na ndo mana tunasema kila kitu kinarithishwa ,sasa inakuwaje leo hii useme mazingira yana nafasi kubwa ya kuruhusu mabadiliko ya mwili wako..?? Damn
Mazingira yana nafasi ya kuactivate gene zako ili informations zisomwe haraka au kuchelewa kwenye cognition centre ya ubongo wako tu na sio vinginevyo...
So genetic influence inaplay part kubwa sana kuinhence Intelligence flow ya mtu kwa muda sahihi unapofika...kama mtu kabeba Gene za Uelewa mkubwa muda ukifika gene hiyo itakuwa activated na kuruhusu information zake kuwa interpreted kwa haraka zaidi eneo husika( Cognition center within the brain)..