Lakini mkuu lifecoded na wengine mniwie ladhi, nimeona watu wakichangia kuhusishwa watawala na akili nyingi au sijui IQ kubwa. Mi napinga sana dhana hii. Sio leo hata watawala wa zamani. Kama akili ni biological factor inauhusiano gani be haya mautawala/watawala au politics?!
Hata hii dhana aliyogusia lifecoded kuhusu cloning nakubali ipo lakini ku mclone mtu na kipata double yake sikubaliani na hili, kwa uelewa wangu mdogo, hata ma embryologist hawa jui process ya defferentiation during human or any life ina entail nini, wanafahamu gene paring in theory lakini process hawawezi kui control, sasa wanawezaje ku control making adouble of any body?! Embryo ni muungano wa sperm be ovum, ukute mama au baba wa huyo genius intended waliishafariki hawa kuhavest mayai yao leo wanayo product the said genius, how can they clone without sperm and ovum of origin?! Double ni copy ya the intended person tunayaona kwenye movie lakini sikubali hii kuwa possible scientifically.
Transplant za viungo zinawezekana kama facial na organ mbali mbali lakini sio complete human being from embryo to a full grown man. Sioni how this can possibly be, memory deletion is possible but how can they plant memory of a different person in another, does this mean brain in space kama computer unaweza kuogeza vitu?! Anyway maswali mengi naanza kujichanganya.