Intelligence heredity: Je, uwezo wa akili hurithiwa?

Hahaha sasa sijui ni mimi au wewe nachsnganya/unachanganya.
Huko juu ulisema Gene inayohusika na intelligence haijulikani, na kama ingekuwa inajulikana kuna uwezekano in future wangeweza kubreed kizazi cha intelligent watupu, na hii ulisema haijawezekana, sasa wanawezaje kureconstruct kizazi kama intelligent gene haijulikani, yet!.
Je, unamaanisha hao kina Picaso na kina Newton walitengenezwa kama sample?! If not mbona unasema walizuiwa ku breed na ku interbreed?! Nani aliwazuia kuoa au kuzaa?! Inamaana kuna watu au kikundi/society ilikuwa inawa control wao na ilihakikusha hawaachi mbegu?! Mi ningedhani kizazi hicho ndicho kingeendelezwa badala ya kuwa limited?! Maana kilifanya maajabu na kupelekea kuwepo knowledge iliyopo leo.
Na inawezekanaje hizo GMO ziwe na uwezo kubadili genes za mtu aliyekwisha kuwa coded and wired to a core. Ulisema, ukiisha zaliwa na kuwa ulivyo huwezi kubadirika, maana kila mtu ana DNA zake unique. Maana intelligence genes hazijulikani sasa vipi uweze kubadili usichokijua, na unajuaje kimebadirika?! Maana kama wanafahamu intelligence gene, through IVF tungeona magenius kuliko kina Newton leo, au mimi ndio dish linayumba mkuu?!
kwani lengo lao ni kuwafanya magenous wanaoiongoza dunia kuwa popular au kwa manufaa yao...??

kwani kitu kipi kimeharibika baada ya hao uliwajua kufaa?? au tumerudi nyuma au mambo yanazidi kufanyika kwa siri..?? Is Newtonian era the same with Hawkingian era...??

nyosha maeelzo vizuri...

Lengo ni kuzalisha magenius wengi so what...??

what if we own few but we limit their popularity....??

inshu ni kujulikana au inshu ni kukamilsha mipango yao...??
 
Hahaha sasa sijui ni mimi au wewe nachsnganya/unachanganya.
Huko juu ulisema Gene inayohusika na intelligence haijulikani, na kama ingekuwa inajulikana kuna uwezekano in future wangeweza kubreed kizazi cha intelligent watupu, na hii ulisema haijawezekana, sasa wanawezaje kureconstruct kizazi kama intelligent gene haijulikani, yet!.
Je, unamaanisha hao kina Picaso na kina Newton walitengenezwa kama sample?! If not mbona unasema walizuiwa ku breed na ku interbreed?! Nani aliwazuia kuoa au kuzaa?! Inamaana kuna watu au kikundi/society ilikuwa inawa control wao na ilihakikusha hawaachi mbegu?! Mi ningedhani kizazi hicho ndicho kingeendelezwa badala ya kuwa limited?! Maana kilifanya maajabu na kupelekea kuwepo knowledge iliyopo leo.
Na inawezekanaje hizo GMO ziwe na uwezo kubadili genes za mtu aliyekwisha kuwa coded and wired to a core. Ulisema, ukiisha zaliwa na kuwa ulivyo huwezi kubadirika, maana kila mtu ana DNA zake unique. Maana intelligence genes hazijulikani sasa vipi uweze kubadili usichokijua, na unajuaje kimebadirika?! Maana kama wanafahamu intelligence gene, through IVF tungeona magenius kuliko kina Newton leo, au mimi ndio dish linayumba mkuu?!
kitu gani unachosangaaa pengine ukisikia kuwa kuna reconstructed human genomics....??
isn't possible au kwa sababu inafanyika kwa siri..?

Ukiambiwa kuwa hiyo morphology ya watu wa kina Newton na Picasa imeenda wapi ukilinganisha na sasa hivi.?? what made changes on that ..??
Is'nt genetic reconstruction kupitia GMO inaleta mabadiliko makubwa kwenye ubongo utakataaa...??
ukiambiwa leo utoa maelezo kwanini intelligence trend Imeshuka utaongelea factor zipi kama sio Genetic modification kupitia hiyo inversion ya genetic codes responsible na Intelligence inayocheza na Memory centres na maeneo mengine kwenye ubongo..utakataa...??
 
Wakuu kama tulivyomsoma lifecoded kwenye maandiko yake huko juu anasisitiza Intelligence is inherited, kuna kitu kimenijia sasa hivi, inakuwaje binadamu wa zama hizi wanaakili sana kuliko babu zetu, kwa kuangali zama hizi kuna invertions nyingi kuliko zama za mababu, sijui ni tafiti nyingi zinaleta haya au sisi tunaakili sana kuliko babu zetu? Tizama hawakuwa na makomputer, sisi tunayo n.k, ni tabu zetu ndio zimetufanya tufungulie code zingine au mazingira au ni intelligence ya kizazi hiki kubwa kuliko ya kina babu. Na kwanini hatukurithi ujinga wao au kwanini hatukuendelea kuishi vilevile kama wao lakini tunabadirika na kuongeza manjonjo meengi.

Binadamu wa sasa hivi sio kama wa intelligence kubwa ila wana knowledge kubwa kushinda watu wazamani

Nakumbuka knowledge inaarithiwa na mazingira,vyakula,magonjwa n.k

Fikiria zamani watu walikuwa wakipata fracture wanafanyaje?

Wewe mtu wa karne hii ukipata fracture unakimbilia upigwe x-ray halafu majibu ya x-ray ndio yatasema kama ufanyiwe ORIF au POP

Lakini watu wa zamani hawakuitaji x-ray mtu akipata fracture wao watafanya reduction ya kawaida tu na mtu atapona

Kitu gani kinapima intelligence ya mtu?

Kitu kinachopima intelligence ya mtu ni kiasi gani mtu anaweza kupambana na mazingira yake na akaweza kuyamudu bila ya vikwazo

Jiuluze aliyegundua hesabu kama calculas,complex number,probability je walikuwa wanao uelewa gani mpk wakagundua vitu vigumu na hivyo vitu vyote vimegunduliwa zamani

Tukichukuwa mbwa wawili mmoja mbwa A tukamfundisha jinsi ya kutegua mabomu kwa kunusa na mwengine mbwa B tusimfundishe kitu

Then tuwachukue hao mbwa tuwapeleke katika uwanja wa vita mbwa A akawa anateguwa mabomu kila anapopita lakini mbwa B akashindwa na akafa

Je yupi kati ya hao mbwa wawili hao mwenye intelligence kubwa?
 
mkuu safi sana...Artificial intelligence inawadanganya watu kuwa Intellige ce inaongezeka ha ha ...

umenifurahisha kwamba dislocation ya ankle joint watu wanapiga ORIF

Siku hizi X-RAY ni mandatory ha ha ha
 
Unazuiwaje kujibu kwenye jukwaa hili?! Mbona huku sio kule kwa wale GT?! Sidhani kama umezuiwa, kama ni kweli niulize Invisible

Nilizuiwa kwa muda mkuu,labda waliona naandika pumba,lol,nitabaki na msimamo wangu wa mazingira..lol ,Sijaona mkijibu vizuri kuhusu different race kuwa na different IQ,kwa nini kusiwe na the same score let’s say 130 across the globe?hivyo hivyo na low score duniani kote??kwa nini race hii I score high,race nyingine i score less...kwa mfano kwa nini wakati wenzetu sijui wanafumbua nini huko sie tunapigana vita vya maji maji tukiamini ni kinga
 
Binadamu wa sasa hivi sio kama wa intelligence kubwa ila wana knowledge kubwa kushinda watu wazamani

Nakumbuka knowledge inaarithiwa na mazingira,vyakula,magonjwa n.k

Fikiria zamani watu walikuwa wakipata fracture wanafanyaje?

Wewe mtu wa karne hii ukipata fracture unakimbilia upigwe x-ray halafu majibu ya x-ray ndio yatasema kama ufanyiwe ORIF au POP

Lakini watu wa zamani hawakuitaji x-ray mtu akipata fracture wao watafanya reduction ya kawaida tu na mtu atapona

Kitu gani kinapima intelligence ya mtu?

Kitu kinachopima intelligence ya mtu ni kiasi gani mtu anaweza kupambana na mazingira yake na akaweza kuyamudu bila ya vikwazo

Jiuluze aliyegundua hesabu kama calculas,complex number,probability je walikuwa wanao uelewa gani mpk wakagundua vitu vigumu na hivyo vitu vyote vimegunduliwa zamani

Tukichukuwa mbwa wawili mmoja mbwa A tukamfundisha jinsi ya kutegua mabomu kwa kunusa na mwengine mbwa B tusimfundishe kitu

Then tuwachukue hao mbwa tuwapeleke katika uwanja wa vita mbwa A akawa anateguwa mabomu kila anapopita lakini mbwa B akashindwa na akafa

Je yupi kati ya hao mbwa wawili hao mwenye intelligence kubwa?
Mkuu mnachanganya, mi huko juu nilielewa knowledge ina kuwa learned/acquired, na intelligence ndiyo hurithiwa?! Sasa we hapo juu umesema, knowledge ndiyo hurithiwa?! Ni sawa au ni typo?!
 
Nilizuiwa kwa muda mkuu,labda waliona naandika pumba,lol,nitabaki na msimamo wangu wa mazingira..lol ,Sijaona mkijibu vizuri kuhusu different race kuwa na different IQ,kwa nini kusiwe na the same score let’s say 130 across the globe?hivyo hivyo na low score duniani kote??kwa nini race hii I score high,race nyingine i score less...kwa mfano kwa nini wakati wenzetu sijui wanafumbua nini huko sie tunapigana vita vya maji maji tukiamini ni kinga
uwe ni avarage score ya pamoja kwa sababu ipi hiyo...??

kama wew mwenye hufanani na mtu yoyote duniani inakuwaje uwe na Intelligence sawa...??

Genetic configuration zako kweny genes zinazohusika na Intelligence zipo tofauti na mwingine...

Tukizifanyia deconfuguration unatoa mtoto mwenye Inverted IQ ...

ndo mana tunasema mabadiliko ya kigenetic yanaathiri zaidi intelligence hence intelligence being coded in DNA
 
uwe ni avarage score ya pamoja kwa sababu ipi hiyo...??

kama wew mwenye hufanani na mtu yoyote duniani inakuwaje uwe na Intelligence sawa...??

Genetic configuration zako kweny genes zinazohusika na Intelligence zipo tofauti na mwingine...

Tukizifanyia deconfuguration unatoa mtoto mwenye Inverted IQ ...

ndo effects mabadiliko ya kigenetic yanaathiri zaidi intelligence hence intelligence being coded in DNA

Basi hizo intelligence tests hazina maana kama kila Mtu ana genetic code yake which means kila Mtu atascore kivyake...sasa nini essence ya kuweka kipimo kitakachopima universally? Mkuu saa nyingine sijui Kama unajisoma?
 
average...
 
wew ndo nahisi hujaelewa kwa undani zaidi....
yani unauliza wanapataje Global range..kwani unapotafuta average unafanyaje...??

kama kuna mtu ana IQ ya 100 mwingine 100.5 mwingine 99 halafu mwingine 106 unaweza ukasema hatuwezi pata global average. ??
 
Mkuu mnachanganya, mi huko juu nilielewa knowledge ina kuwa learned/acquired, na intelligence ndiyo hurithiwa?! Sasa we hapo juu umesema, knowledge ndiyo hurithiwa?! Ni sawa au ni typo?!

Knowledge inaarithiwa maana inakuwa affected na mazingira na vyakula magonjwa

Usichanganye kuathiriwa na kurithiwa

Hapo juu nimesema inaarithiwa maana yake inakuwa affected
 
Studies shows lack of nutrients udogoni inaffect akili ukubwani,so sio knowledge peke yake na intelligence pia
wew ndo nahisi hujaelewa kwa undani zaidi....
yani unauliza wanapataje Global range..kwani unapotafuta average unafanyaje...??

kama kuna mtu ana IQ ya 100 mwingine 100.5 mwingine 99 halafu mwingine 106 unaweza ukasema hatuwezi pata global average. ??

Ndio unieleweshe sasa
 
kitu gani unachosangaaa pengine ukisikia kuwa kuna reconstructed human genomics....??
isn't possible au kwa sababu inafanyika kwa siri..?

Ukiambiwa kuwa hiyo morphology ya watu wa kina Newton na Picasa imeenda wapi ukilinganisha na sasa hivi.?? what made changes on that ..??
Is'nt genetic reconstruction kupitia GMO inaleta mabadiliko makubwa kwenye ubongo utakataaa...??
ukiambiwa leo utoa maelezo kwanini intelligence trend Imeshuka utaongelea factor zipi kama sio Genetic modification kupitia hiyo inversion ya genetic codes responsible na Intelligence inayocheza na Memory centres na maeneo mengine kwenye ubongo..utakataa...??
Kama GMO inasababisha genetic reconstructions na kuleta genetic modifications, mbona wazungu walioanza kula hizo GMO muda mrefu kabla yetu/Waafrika wao wanauwezo mkubwa intelligency na knowlege kuliko sisi?! Au nawakuza sana nikisema hivyo?! Au hizi GMO zipo za ku boost na as kudumaza memory center?!
Naamini umasikini wetu ulifanya tukachelewa kupata GMO tulilima vyakula vyetu kwa mbegu za asili, na tulikula vitu vya asili muda mrefu, kabla usasa haujatuingilia na sisi kuanza kula hizo GMO, kupitia misaada na sasa eti mbegu bora zinazohilimi ukame, magonjwa na kuzaa kwa muda mfupi kutika MANSATO. Lakini sijui kama sisi ni intelligent na tuko knowlegable zaidi kuliko wazungu waliokula hayo ma GMO muda mrefu?! Sasa Sijui yanaathiri au ya na boost?!
 
Knowledge inaarithiwa maana inakuwa affected na mazingira na vyakula magonjwa

Usichanganye kuathiriwa na kurithiwa

Hapo juu nimesema inaarithiwa maana yake inakuwa affected
Ahaa nadhani lisoma vibaya, niliisoma kurithiwa badala kuathiriwa.
 
Kama GMO inasababisha genetic reconstructions na kuleta genetic modifications, mbona wazungu walioanza kula hizo GMO muda mrefu kabla yetu/Waafrika wao wanauwezo mkubwa intelligency na knowlege kuliko sisi?! Au nawakuza zana nikisema hivyo?! Au hizi GMO zipo za ku boost na as kudumaza memory center?!
Naamini umasikini wetu ulifanya tukachelewa kupata GMO tulilima vyakula vyetu kwa mbegu za asili, na tulikula vitu cha asili muda mrefu, kabla usasa haujatuingilia na sisi kuanza kula hizo GMO, kupitia misaada na sasa eti mbegu bira zinazohilimi ukame, magonjwa na kuzaa kwa muda mfupi kutika MANSATO. Lakini sijui kama sisi ni intelligent na tuko knowlegable zaidi kuliko wazungu waliokula hayo ma GMO muda mrefu?! Sasa Sijui yanaathiri au ya na boost?!
hata supermarket vyakula vinazidiana Ingredients ..the more the cheeper the higher the toxicity na the more expensive the lower from its harmfulness...

yani sijui unaelewa pia hapo ..

kuhusu inshu ya wazungu ,wao kuna factor mbili zinazowafavour ikiwemo hilo la kuwahi kupewa elimu mapema( knowledge ) pamoja na kutokuwa subjected kwenye mazingira ambayo yatafanya genetic changes kubwa mno ...
 
wew ndo nahisi hujaelewa kwa undani zaidi....
yani unauliza wanapataje Global range..kwani unapotafuta average unafanyaje...??

kama kuna mtu ana IQ ya 100 mwingine 100.5 mwingine 99 halafu mwingine 106 unaweza ukasema hatuwezi pata global average. ??

Unaruka kimanga mkuu 😂,hio average kwa nini race moja iscore high ama above average na nyingine I score less??kwa nini race zote zisi score evenly?
 
hata supermarket vyakula vinazidiana Ingredients ..the more the cheeper the higher the toxicity na the more expensive the lower from its harmfulness...

yani sijui unaelewa pia hapo ..

kuhusu inshu ya wazungu ,wao kuna factor mbili zinazowafavour ikiwemo hilo la kuwahi kupewa elimu mapema( knowledge ) pamoja na kutokuwa subjected kwenye mazingira ambayo yatafanya genetic changes kubwa mno ...

Naona unakibali knowledge(mazingira) ...kwenye hii post,mjadala umefungwa rasmi...knowledge na intelligence vinaenda hand in hand 😂😂😂😂😂
 
Unaruka kimanga mkuu ,hio average kwa nini race moja iscore high ama above average na nyingine I score less??kwa nini race zote zisi score evenly?
mmmh....aise naona inabidi uingie darasani kabsaa kuhusu hizo mambo make naona unarudi nyuma...

Umeshasema Race tofauti halafu na genetic make up yake ipo tofauti halafu unasema inakuwaje iwe na score tofauti...?? unaelewa lakini unachouliza na unachotaka kujibiwa...??

yani factor yako ya enveronment haina mashiko na haileti maana yoyote kama kweli unajua kinachojadiliwa ...

unless other wise you need to be taught the difference between the two ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom