Astronomer The Great
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 978
- 576
Studies shows lack of nutrients udogoni inaffect akili ukubwani,so sio knowledge peke yake na intelligence pia
Ndio unieleweshe sasa
Rebbecca naomba unifafanulie nipate kuelewa vzr
Studies shows lack of nutrients udogoni inaffect akili ukubwani,so sio knowledge peke yake na intelligence pia
Ndio unieleweshe sasa
wew ndo unafunga mjadala...Naona unakibali knowledge(mazingira) ...kwenye hii post,mjadala umefungwa rasmi...knowledge na intelligence vinaenda hand in hand![]()
wazungu wanaelewa vingi kwa sababu ya knowledge pia...ndo aliyekwambia kuwa wazungu ndo wana Intelligence kubwa katika nchi zote ni nani...??Unaruka kimanga mkuu,hio average kwa nini race moja iscore high ama above average na nyingine I score less??kwa nini race zote zisi score evenly?
mmmh....aise naona inabidi uongie darasani kabsaa kuhusu hizo mambo make naona unarudi nyuma...
Umeshasema Race tofauti halafu na genetic make up yake ipo tofauti halafu unasema inakuwaje iwe na score tofauti...?? unaelewa lakini unachouliza na unachotaka kujibiwa...??
yani factor yako ya enveronment hsina mashiko na haileti maana yoyote kama kweli unajua kinachojadiliwa ...
unless other you need to be taught the difference between the two ...
Rebbecca naomba unifafanulie nipate kuelewa vzr
ohook unataka ujue kwanini wanascore tofauti ...?? basi kama unataka kuelewa katika molecular level jiulize kwanza ilikuwaje tukawa na race tofauti tofauti hapa duniani?? ukijua kila race ipo tofauti basi hata genetic configuratiom katika Intelligence ipo tofauti...Mnhh.....Scommon language tukuewe kwa nini race Fulani wanascore above average na race nyingine below average
Nitakueleza honey niko njiani
kuna sehemu nilielezea vizuri mchango wa lishe bora kuenhence intelligence..kusome vizuri pale ndo utaelewa kwanini tunahimiza lishe bora kwa mama mjamzito ...Studies shows lack of nutrients udogoni inaffect akili ukubwani,so sio knowledge peke yake na intelligence pia
Ndio unieleweshe sasa
mkuu safi sana...Artificial intelligence inawadanganya watu kuwa Intellige ce inaongezeka ha ha ...
umenifurahisha kwamba dislocation ya ankle joint watu wanapiga ORIF![]()
![]()
![]()
![]()
Siku hizi X-RAY ni mandatory ha ha ha
hiy haitoshi kuna nafasi ya kubadikisha cell zote za kwenye uroto wa mfupa( bone marrow precusor cell transplant) yani hiyo yote ni knowledge ambayo watu wanapata somewhere kama wanavyodai japo ni wapi eneo wanapata hatujui ila kuna sehemu nahisi make sio kwa hizi invertion za maana...Kabisa unajiuliza njia za kutibu fracture kama Hippocrates method zimegunduliwa tangu zamani miaka hiyo lakini kuna sehemu nyingne bado wanatumia njia
Hapo x-ray haiitajiki kabisa unajiuliza je hao wakina Hippocrates walikuwa na uelewa gani? sasa hv wanacheza na knowledge kusoma vitu kibao
sasa hapo bado mtu anashindwa kutofautisha tu Intelligence and knowledge..duuuh...ila pengine intelligence imeshuka ndo mana hatuelewani 
hiy haitoshi kuna nafasi ya kubadikisha cell zote za kwenye uroto wa mfupa( bone marrow precusor cell transplant) yani hiyo yote ni knowledge ambayo watu wanapata somewhere kama wanavyodai japo ni wapi eneo wanapata hatujui ila kuna sehemu nahisi make sio kwa hizi invertion za maana...
leo hii mashine inafanya diagnostic interpretatiom kumzidi mwanadamu lakini bado mtu anakomaaa kuwa Intelligence imekuwa kubwa...
This is knowledge invertions and not otherwise..
watu hawataki kuumiza akili sasa hivi Positron microscope zinafanya kazi yake kutoa diagnosis ili kumpa maarifa mengi na ndo mana hata semina ukienda kila demonstration inafanyika kwa mashine na utasikia wanakwambia ni muda sasa wa kupata maarifa mapya kupitia mashine![]()
sasa hapo bado mtu anashindwa kutofautisha tu Intelligence and knowledge..duuuh...ila pengine intelligence imeshuka ndo mana hatuelewani
![]()
inachanganya kwa sababu ipo katika molecular level zaidi...Kusema kweli inachanfanya sana lkn ukitulia utaona utofauti
we jamaa duh ...ulipigaa kozi gan mana comments zakoRahisi sana mkuu...wanachohitaji hawa jamaaa ni cell moja tu ya mhusika...hata wakipata kipande cha unywele kwisha habari..atatengenezwa huyu mtu( clone)..
Kwa sababu gene configuration ya nywele ndo replica ya original DNA strand ya mhusika..kwa hiyo tunaweza pata mother strand ( Original DNA configuration) ya mhusika kisha tukaconstruct original Genome ...
Kwa sasa hivi jamaa wanahitaji hata kitabu au nguo alizoacha mhusika yani pale kuna materil kaacha.....
Hivi una habari kuwa hata ukinigusa mkono wangu kwa bare hands zako tayari copy ya DNA yako inabaki pale...??? kwa hiyo tukiweka DNA analyser inatupa majibu kuwa mtu flani mwenye DNA hii alikushika mkono...
Unafikiri ni kwanini SCOTLAND YARD wnaaaminika kwenye mambo ya Post mortem..?? ujuzi mmoja wapo ni kumtafuta mhusika aliyefanyiwa tukio kisha kuanza kumuliza mtuhumiwa alikushika wapi...we kazi yako ni kuwaonesha maeneo uliyokamatwa kamatwa tu..wao watatress DNA analyser kisha kunasa vinasaba vya hao jamaa kisha wanawacheki kwenye universal Data base na sura zao zitakuja tu..
Unaona hii miradi ya kujisajili kwa kielectronic unahisi kuwa ni nchi yako ndo inaamua hivi..?? ...hapana kuna mashirika kazi yao ni kukusanya Data base za dunia kisha yanauza kwenye taasisi hizo za intelligencia hasa Mosad pamoja na Scotlad yard ambao kupitia utafiti wao kwa technolojia ya sasa hivi ( nanotechnology) wanaweza kubaini kila mtu yoyote alifanya kosa kisha akikimbia..
So mambo ni mazito mkuu
noma sana nami naijua proboscis basiNapata shida sana kuelewa comments za lifecoded zimejaa ma term ya biology halafu mi niko vizuri kwenye food test tu
Umetumia maneno magumu Sana kuelewesha kitu rahisi Sana things like gyrus and sulcus for non medical person wangekuelewaje hapa I think ungeweka in a very simplified manner Kila mtu aeleweDaaaah...umenitag mkuu...!! aya bana ..
But hongera kwa maada fikilishi...
lakini nataka nichangia mada hii katika analysis ambayo inaweza isiwe imebase na jinsi wengine wanavyoweza kuchangia kwa facts za lishe bora pamoja na genetic influence kutoka kwa wazazi hasa mama...
Mpaka sasa bado jopo la madakatri hasa Neural scietists pamoja na psychiatrists ambao kazi yao kubwa ni kucheza na cognitive brain function ambayo inahusisha eneo moja pekee la ubongo lijulikanalo kama Prefrontal cotex ....
Wanasema kuwa Cognitive function ya ubongo( sehemu inayohusika na uelewa katika ubongo wa mwanadamu) ipo under neural circuit guided na Neural transmitter nyingi sana including Dopamine,Noradrenaline,Adrenaline yenyewe,serotonin,melatonin,GABA, pamoja na zinginr kibaoa ambayo utendaji kazi wake upo Antagost au agonizing zaid kutegemea na hitaji la ubongo au akili katika kutenda...
Kuna neurol transmitter hapo zinahusika na mambo ya firing au kuruhusu transimssion ya impulse kwa speed kubwa sana na zingine zinahusika na kudhibiti high neural firing rate hence zinazuia impulse rate changes katika specific part ya ubongo ...
Ukisoma mambo ya Dopaminergic pathways hapa unaweza ukaelewa ninachoongelea...
Twende kwenye mada yenyew what guides intelligence to a singular person ..??
Kuna kitu kinaitwa CPH4 ( 6-carboxytetrahydropterin synthase) hii ni enzymes ambayo mara nyingi inahusika na conversion snyingi sana ambazo huwa zinagive out Queuosine, ambayo ni component muhimu sana katika kuincrease neural firing ratio ya chemical maalumu ambazo zinahusika na prefrontal cotex capacity inayohusika na mambo ya cognitive function ya brain hasa maeneo ya limbic system ,amygdala na mengine ambayo yanahusika na memory pamoja na Intelligence brain centre...
Ili mtu tuseme kuwa ana akili nyingi sana au ana Intelligence kubwa ni lazima eneo flani la ubongo lazima liwe busy sana anapokuwa anafikilia au kufanya mazungumzo juu ya swali aliloulizwa...
Madaktari kutoka Armstadam ,Netherland walifanya jaribio moja kwa kutumia Electroencephalogram (EEG) kupima brain hyperactivity wakati mtu anapokuwa kwenye maswali magumu yanayomfanya mtu afikilie sana ila wakaja kugundua kuwa ni eneo moja tu la prefrontal cotex ndo lilionekana kuwa busy snaa wakati wa kufikilia...pia eneo hili ndilo linalohusika na mambo ya kuactivate brain function hasa mtu akiwa bado mdogo sana,,,consider about Mutism spectrum disorders kwa watoto wadogo ambao ni moj wapo ya mental disorder amabyo inawapata watoto wanapozaliwa na mara nyingi huathiri cognitive behavioral pattern ya mtoto husika.
Hivyo iliwafanya waanze kuchunguza zaidi why eneo lile ..Ila cha kushangaza walikuja kugundua kuwa eneo hilo ndo lilikuww na high neural firing rate za neural transimtter ambazo zinahusika zaidi na mambo ya cognitive function...siyo kila neural transmitter( vichocheo katika ubongo) inahusika na cognitive function...
Unaweza ukawa na high level ya dopamine( katika manic episodes) lakini ukawa na low cognitive function na mwingine akawa na high dopamine neural firing rate lakini akawa na cognitive function kubwa snaa zaidi kuliko mwingine despite wote wapo manic episode au Bipolar conditioned state...
Ukitaka kuelewa zaidi hapa nenda magaereza ya wafungwa ambao ni wagonjwa ndo utaelewa ninachozungumza hapa kuwa kuna vichaaa utakuta uwezo wake upo juu sana yani kawa geniuz mpaka karun mental disability ila ana high IQ score na mwingine ni mgonjwa wa vile vile bipolar lakini ni mbumbumbu wa kutupa though wote wana high level za dopamine...
Kwa hiyo dopamine sio kigezo sana za kujudge intelligence ...we need something else...
Sas kuna hiyo chemical substance ambayo inaitwa CPH4 ambayo mara nyingi watu wa Neural molecular science hawataki kuweka wazi na wanasema kazi yake bado haijagundukika lakini sio kweli kazi yake inafahamika na ndio chemical wanayoitumia hasa kupima ya Intelligence ya mwanadamu kuanzia akiwa tumboni kwa mama( Embryology) mpaka anapofikisha miaka 25 ...
Inasemekana kuwa japo ni kweli kuwa mama mjamzito akiwa na umri wa mimba ndani ya week 6 ndipo hormone hiyo au chemical hiyo huzalishwa kwa lengo la kwenda kuhimiza utengenezaji wa capacity ya kutosha ya neural circuit receptors kwa ajili ya high firing rate ya imuplse katika specific cognitive brain centre...
Ifahamike kuwa ubongo wa mwanadamu hutengenezwa mtoto akiwa na umri wa week 4 tumboni kwa mama yake kwa hiyo ubongo ukianza kutengenezwa tayari mwili wa mama unasense kuwa tayari ubongo wa mtoto umeanza kutengenezwa na tayari mwili wa mama unaamliwa kuanza kutoa hizo chemicali aina ya CPH4 ambazo zinaenda moja kwa moja kwa mtoto kwa ajili ya kuenhece cerebral formation hasa cognitive area ambalo kazi yake kubwa ni kujenga neural firing receptor za kutosha ili ubongo uwe na high receptors za hizo neural transmitter kwa ajili ya kuprocess information za kutosha katika eneo husika kwenye ubongo kila unapogundua kuwa hilo wazo linatakiwa lifanyiwe kazi katika eneo flani la ubongo basi taarifa muhimu inapelekwa kule kwa speed kubwa sana ambao ni millsecond ndani ya millsecond na tayari cognitive centre inainterprete kuwa hicho kitu jawabu lake ni hili...
The difference in Intelligence between us ni kwa sababu tunazidiana neural firing rate ya taarifa kufika eneo husika kwa muda mfupi sana na kufanyiwa interpretation yake..
Mtu ambaye ni Genius ana high neural firing rate kuliko mtu wa kawaida...manake nini...??
Kuna kitu kinaitwa processor,hiki ndo kifaaa kinachospeed up rate ya taarifa kusafili kwa haraka zaidi kwenye electronic component yoyote..ndo mana hata ubora wa komputer ni processor pamoja na RAM....manake nini kama Laptop au computer yako ina processor ndogo lets say 1.7 GHZ manake utakuwa kila ukiclick file lifunguke linachukua sekunde 4 ndo linafunguka lakini mwenye processor ya 2.7 GHZ akiclik inafunguka ndani ya fraction of second...processor ndo kila kitu ...
Same applied kwenye ubongo wa mwanadamu kinachomfanya mtu aww na upeo mkubwa wa kufikri na kupata jawabu lililo sahihi ni uwezo wa taarifa kufika eneo husika kwa haraka zaidi kisha kufanyiwa interpretation iliyosahihi ndani ya muda ule ule na taarifa zake kupelekwa kwenye cognitive centre kwa ajili ya kumfahamisha mwanadamu kuwa anachowaza au kuhisi ni hiki hapa ...
So kila mwanadamu ana ubongo ule ule the difference is the CPH4 level ambayo inahusika na kutengeneza more brain circuit kwa ajili ya impulse transduction na hapo ndipo hata anatomy(umbo katika physical morphology) ya ubongo huwa ina ratio tofauti za Gyrus na sulcus ambazo ndo zinazoupa ubongo folding morphology kuincrease surface area ya neural firing rate ...
So the level of CPH4 Itaendelea kuwa maintained mpaka pale ubongo utakapokuwa umekamilika...kwa hiyo kama productiom ya hormone hizo ikiwa ndogo basi hata uwezo wa akili wa mtoto unakuwa hafifu ..ndo mana tunasema mama ndo mtu pekeee anayechangia Intelligence ya mtoto na sio baba( hapa katika percent ratio mama anakuwa na nafasi kubwa)..
So kama ukitaka kumaintain high brain au cerebral capacity ya mtoto inabidi mama aproduce high level ya CPH4 during pregnacy kulikoa wakati akiwa ananyonyesha japo huwa ipo kwa kiwango kidogo snaa kwenye colostrum( maziwa ya mwazo kabsa ambayo mtoto hatakiwi kukosa)..
Lakina kuna study zilifanyika miaka ya nyuma na kugundua kuwa mwanadamu wa sasa ( tulio wengi) tunatumia only 10% ya cerebral capacity kisha 90% ya ubongo wetu haufanyi kazi na ikasemekana kuwa laiti binadamu angelitambua hilo kuwa yeye ni infirnity and Immortal basi angeweza kuraise energy na anaweza kuexpand cerebral capacity mpsaka hata 40% kisha anaweza akadevelop some features kama Telekinepathy, psychopathy abilities ambapo anaweza akafungua mambo mazito yaliyo nyuma ya ulimwengu huu na kisha kumfanya aanze kuiview universe katika 8 dimension state....kadri anavyoascend kwenye 100% ndipo uwezo wake unabdilika kwa kasi kubwa sana na anaweza akawa na nguvu ambazo ni uncontrolled =====pengine ndo mana serikali hazitaki kufundisha elimu ya kuraise CPH4 hasa kwa binadamu wa kawaida kwa sababu madhara yake ni makubwa sana.
Nchi za wenzetu wameweza atleast kujua namna ya kummonitor mama mjamzito hasa kuepuka stress wakati wa ujauzito kwani stress ni factor moja kubwa sana inayozuia production ya CPH4 na kumfanya mtoto anakuwa tumboni katika low level ya cerebral capacity formation hence anakuja kuwa na low IQ japo vyakula na lishe bora zinaweza kuboost lakini kwa kiwango kidogo sana....
Lakini pia kama wewe ni mdau wa kufuatilia mambo ya human cloning hasa kupitia project yake ya Maffin project and human cloning kupitia process za somatic-cell nuclear transfer au pluripotent stem cell induction basi hutumia normalizimg ratio ya CPH4 .Lakini pia kisha ukasoma hizo documentaries na scientific writtings zinazoelezea jinsi mradi huo wa siri wa kutengeneza exactly copy wa kiumbe unaemtaka bila kubadili chochote utagundua kuwa wanatumia technolojia under the help ya hizo chemicals hasa during blastula formation wanainduce the same ratio ya CPH4 kwenye morula ya yule clone kwa kufuatisha ratio alizonazo yule recipient wake...
Kabla ya kufanyiwa clone wake unapimwa kwanza cerebral capacity in relation ta CPH4 level kisha ndo anatengenezwa clone wako ambayo atakuja kuwa na Intelligence ile ile uliyokuwa nayo before ..
Forget about human cloning now make sio mada husika...ina nafasi yake..japo ipo siku nitaidondosha hapa rasmi...
kwa mara ya kwanza maabara ya The Thomas J. Watson Research Center. ambayo ilipata kashikashi kwa kuuza taarifa za kimolecular za CPH4 katika maabara kuu tatu ambazo ni ni Argonne National Laboratory,Oak Ridge National Laboratory pamoja na The Center for Integrated Nanotechnologies (CINT) kisha taarifa hizo kuuzwa wa badhi ya director mmoja ambapo kulipelekea kuelezea kazi ya chemical hiyo kwenye movie ya Lucy( 2010) japo usiri umeendelea kutawala zaidi juu ya uwezo au Intelligence ya mwanadamu...
kuna study nyingi zimefanyika kupima kiwango cha CPH4 kwa kina mama tofauti wakiwa wajawazito na kupima Intelligence outcome ya watoto wao na kukuta kuwa kulikuwa na utofauti mkubwa snaa depending na blood chemical level...
Nahitimisha kwa kusema kuwa Intelligence ya mwanadamu imekuwa ni swala gumu sana kulielewa kwani mambo mengi yanakuwa siri nzito sana....
wachache wanatuendesha watakavyo na huenda Nanotechnology ikaja kusolve hiyo paradoxy...
Asanteni...huo ndo mchango wangu kwa mwenye kung'amua machache unaweza fuatilia zaidi hasa kwa kusoma mambo ya Neural science in relatiom to neurotransmitter receptors that govern human Intelligence nadhani utajifunza mengi kuliko hata niliyoelezea .View attachment 920547View attachment 920549