Kitu kingine mkuu kinachotupa utofauti mkubwa na race ya zamani ni geneological construction ambayo imefanyiwa mabadiliko makubwa mno...
Race ambayo ilikuwa more intelligence ilizuiwa kuinterbreed ina kuruhusu intelligence flow Inheritance kwa kizazi au vizazi endelevu..
ukitaka kuamini hilo chunguza rangi na physical morphology ya magenius wa kale yani hawafanani na kizazi cha sasa hivi..
Ukitazama hata Mfumo wa mwili wao au ngozi au nywele ilikuwa ni selected race kabsa mkuu na hawakutakiwa ku Interbreed kabsaa na Lung'wecha wengine,na most of famous genius had'nt married at ol...
look at their morphology kwanza hapa chini..
View attachment 937271
Wa kwanza ni Newton huyo.
View attachment 937270
Mtazame Picaso mwenyewe hapo halafu utafute na sura za sasa hivi huko kwao kama wafanana...
View attachment 937272
Just look at their hairs and so on..very different na kizazi cha sasa hivi...
View attachment 937274
Sasa ukitaka kujua kuwa kuna utofauti mkubwa sana tazama group hili hapa chini la mandezi wa kizazi cha leo chenye IQ range ya 100 na kushuka..
View attachment 937276
Hapo ndo utajua Genetic reconstruction ilifanyika kwa gharama zote kuhakikisha Genetic make up ya IQ kubwa inabaki kuwa restricted na kuzuia flow yake ikiwa ni pamoja na kuwatengenezea mabadiliko ya kigenetic zaidi au kuwazuia kuinterbreed na wengine...
angalia kundi jingine la kindezi la leo hili hapa na ni wageruman pamoja na mataifa mengine lakini hawafanana na kundi la Wenye IQ kubwa
View attachment 937282
Njia pekee ya kuzuia Intelligence flow ya geneology husika ni kuzuia interbreed au kufanya genetic reconstruction kwa kupangua gene flow system kwenye DNA strand ya mtu husika kisha kumruhusu afanye interbreed..
kizazi cha sasa hivi ni reconstructed hybrid kabisa kupitia program kabambe ya GENETIC MODIFIED FOOD ambayo imebeba gene control za kutosha za kubadilisha mfumo wa Intelligence wa mwanadamu ,na hivyo vyakula vimejaa gene mbadala ambazo zinaleta mabadiliko kwa haraka zaidi...
Our body are subjected to construct sub-normal Intelligence range kupitia Artificial reconstructed genes kupitia genetic editing ya sasa hivi na ndo hichi kitu kilichobadilisha mfumo mzima mwilini wa Inheritance trend ya kila kitu..
It is genetic modification through gene where we can change the genetic make up also of our Inheretance pattern of any Traits and not the enveronment..
,mabadiliko haya ni ya kidunia ,no one to escape this mpaka tuwe complete replaced na Artificial Intelligence mashine ndo mpango wao unakamilika,.
Hii imeelezewa zaidi kwenye kitabu kipya cha Stephen Hawking cha A brief answe to the biggest Questions kwenye page yake ya Artificial Intelligence na hi halipingiki..
We are going to be totally replaced by the mashine katika kufikili zaidi na hapo ndo utaona msaada wa mwanadamu unashuka zaidi.
Watu wanaenda kuunda uhusiano mpya na new reconstructed beings ambazo zitakuwa na uwezo wa kubadilishana mawazo na wew kwa rate kubwa sana ambayo mwanadamu hatakuwa nayo,and its true ila hapo watu wanasema haitatokea but keep waiting the fantasy of genetic reconstructed ilivyotuharibu akili ..
Hizi IQ tulizonazo ni wazazi wetu waliobesubjected kwenye genetic make up reconstruction za miaka ya nyuma hapo ambayo haikuwa na Mazara makubwa sana kivile ila kadri muda unavyozidi kwenda genetic editing inafanyika kwa haraka sana ili kuua gene morphology original ...
Na ndo mana kwenye human clone jamaa wanaclone watu wa nyuma zaidi ambao Intelligence pattern yao ilikuwa tofauti na ya sasa hivi .
Wanavuruga kama sio kuinvet upya Intelligence gene bases kwenye ubongo kisha kuruhusu tuinterbreed huku matokeo yakiwa tofauti kabsa .
kama Gene arrangement ni AGG GGC wao wanainvert inakuwa ni CGG GGA kwenye upande wa Intelligence tu huku mabadiliko mengine yanabaki hivyo hivyo ili uendelee kufanana na baba yako huku uwezo wenu wa akili ukibadilika kwa kasi kubwa sana .
Only genetic editing can reconstruct the Inheritance pattern and not the enveronment as people tend to claim.
Genetic makeup changes kupitia abnormal reconstruction ya gene ndo italeta mabadiliko ya papo kwa papo na suo vinginevyo..