Ndio mana post yangu ya kwanza kwenye hii topic nilisema hii debate imekuwepo na itakuwepo...
Most wanasimamia interaction between the two... mimi nasimamia mazingira lol
Wazazi wengi huwaamisha watoto wao wakiona wanafeli na kuwapeleka shule ‘nzuri ‘ na watoto wanascore vizuri kwenye mitihani ya taifa baada ya kupelekwa shule ‘’ nzuri ‘’ sijui utaexplain vipi hio besti ?
nimeiexplain zaid kwenye jibu la juu hapo...kuwa tunapima Intelligence kwa kiwango au vigezo vingine zaidi na sio score ya darasani ..naomba nieleweke pliz...
kama kuna mtu yupo humu na alipima IQ ya mtu kwa kutumia score ya darasani aje atoe ushahidi huo hapa...
Ndo manaa taasisi kama Havard wanapima IQ ya mtoto kwa social life questionare na sio kumpa mtihani wa darasani...
ingekuwa kama ni mitihani ya darasaba kwani IQ ya Newton ilipatikana kwa kumpa Mtihani kama Yeye ndo mwanzilishi wa Calculas.?? kwa hiyo walimpa maswali gani hayo ya darsani...?? ni kigezo gani kinatumika kupima IQ ya mtu ?? je ni uwezo wa kuscore darasani au kusolve matatizo ya kimazingira..??
Wanakuliza jinsi unavyoweza kutumia ubongo wako kusolve parables za kwenye jamii ..
kwani wangapi wana vyeti vyenye wastani wa A lakini ukija kwenye general practical wanascore poor..?
Ni sawa sawa na kusema kuwa wanafunzi wanaosomea Harvard udaktari ni wazuri wa theory( knowlege acquired) lakini wako poor kwenye skills za kuzalisha labour ward ,lakini wanafunzi wa udaktari Tanzania wapo vizuri kwenye skills ua kuzalishwa lakini hawana theory ( shule nzima ) ya namna ya kuzalisha labour...
kwa lugha laini tunasema wanafunzi wa Havard wana more knowledge ya labour ila hawana skills lakini wanafunzi wa Tanzania wana uzoefu mkubwa wa kuzalisha ila knowledge ya shule nzima hawana...
sasa kutokana an utofauti huo hatuwezi tukasema mwanafunzi wa Havard ana high IQ kuzidi wa Tanzania wakati uzoefu hawana...
Hatupima IQ ya mtu kwa utofauti wa score za darasani but ability to solve circumstances underlying...