INTARAHAMWE WA Prof.LIPUMBA

INTARAHAMWE WA Prof.LIPUMBA

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Nijuavyo mimi Intarahamwe ni kundi ambalo lilihusika ktk mauaji ya kimbari(genocide) kule Rwanda,
Ni nini kimemsukuma Prof.LIPUMBA kuwaita wajumbe bunge la katiba wanaounga mkono serikali 2 kuwa ni Intarahamwe?
 
Intera=to work
Hamwe=together
That means Interahamwe those who fight,work,attact together.
This was Hutu paramilitary Organization.
 
Kwahiyo inawezekana Prof.LIPUMBA aliiona misimamo ya kiinterahamwe imeingia ktk mijadala ya kupata katiba mpya.
 
Sasa inapotokea waziri mwenye dhamana kubwa kama Lukuvi; anatangaza kwenye ibada kanisani kuwa iwapo wananchi wataupitisha mfumo wa serikali 3, basi Jeshi litatwaa nchi, kama kauli hiyo sio kuchochea uasi jeshini, tuiiteje basi?!

Waziri huyo huyo Lukuvi anatangaza hapo hapo kanisani kuwa wanaotetea mfumo wa serikali 3, lengo lao ni kuifanya serkali ya Zanzibar kuwa ya kiislamu, huo nao kama si uchochezi, tuiiteje basi?

Sioni kama Lipumba amekosea kuwaita wajumbe wa design hiyo kuwa ni Intarahamwe, kwa kuwa ni dhahiri wajumbe wa aina ya kina Lukuvi, lengo lao ni kuwatisha wananchi, ambapo hatima yake inaweza sababisha machafuko makubwa, nchini mwetu!

Hata hivyo sisi wananchi pia tunamtarajia Rais Kikwete amchukulie hatua ya kumtimua kwenye baraza lake la mwawaziri, mheshimiwa Lukuvi, kama JK kweli ana nia njema na Taifa hili, lisiingie kwenye machafuko.

Hasa tukizingatia kuwa Rasimu hiyo inayopingwa kwa nguvu zote na maccm ni maoni ya wananchi, ambayo yalikusanywa na Tume ya Warioba, ambao wajumbe wake wote hawakuteuliwa na watu kama akina Dr Slaa, Mbowe,au Profesa Lipumba, bali wameteuliwa na Mwenyekiti wao Jakaya Kikwete na idadi kubwa ya wajumbe hao wa Katiba, ni makada wakubwa wa CCM!!

Cha ajabu kupita kiasi ni kuwa `dhambi` wanayohukuniwa nayo hivi sasa hao wajumbe wa Tume ya kuratibu maoni ni `usaliti` wao wa kugomea kuyachuja maoni ya wananchi, na kuyaingiza kama yalivyo kwenye Rasimu ya Katiba!!
 
Nijuavyo mimi Intarahamwe ni kundi ambalo lilihusika ktk mauaji ya kimbari(genocide) kule Rwanda,
Ni nini kimemsukuma Prof.LIPUMBA kuwaita wajumbe bunge la katiba wanaounga mkono serikali 2 kuwa ni Intarahamwe?
Wafadhili, ila sitaenda mbali.
 
lukuv mnamuonea. hata jk kasema na karuhusu zenj kujiunga oic
 
Lugha aliyoitoa Profesa Lipumba Bungeni akiongoza kususia Bunge la Katiba hakika imesitua wengi.
Siyo siri, ni lugha ya uchochezi.
Pengine Lipumba anasitiriwa kwa vile ni kiongoxi mwenye jina kuba katika upinzani na siasa za Tanzania, na amegombea urais miaka iliyopita.

wengi wetu tusio katika siasa huwa tunatazama mantiki ya argument na kuyaweka mambo yote kwenye mizania.
Kutofautiana katka siasa na wanasiasa ni jambo la kwaida, na hata kususia vikao kwa nchi yetu sasa hivi imezoeleka.

Hata hivyo kusikia kiongozi mkuu wa upinzani anatoa matamshi yanayotaka kuhamisha mauaji ya kimbari toka nchi jirani ya Rwanda na kuifananisha na nchi yetu, mimi naona si jambo la kuvumilika.

Lipumba inabidi atuambie kama kuna Intarahamwe humu nchini inayoongoza mauaji ya kimbari , basi atuambie Watusi naouwawa ni nani hao?
Na Wahutu waliokuwa wengi huko Rwanda wakiongoza mauaji ni nani?

Twaomba Lipumba atoe ufafanuzi, la sivyo achukuliwe hatua kwa kutoa uchochezi!
 
Intarahamwe waliua na kukandamiza haki za watu wasiokuwa na Hatia,CCM na serikali yake kupitia BMK wameamua kuua mawazo, maoni na mapendekezo ya wananchi. Na kama hujasahau pale walipojitokeza wapigania hali za waliokandamizwa walivamiwa, kutekwa na kuuliwa na pengine kutupwa mabwepande. Kama walikuwa hawahusiki mbona hajakamatwa hata wa kusingizia kama yule mkenya? Nalishangaa Kanisa Katoliki waliigwa pale O;asiti mbele ya Ba;ozi wa Papa lakini kwa mshangao Kadinari anapigia chapua serikari ya CCM na sera ya serikali mbili....

Maoni ya Prof. Lipumba yanaweza kuwa na ukweli kwa kuangalia na kuijua Intarahamwe vema,,,
 
Prof.Lipumba na UKAWA kwa ujmla wenu mna makosa, tena huku mtaani sifa yenu sio nzuri kwa haya mnayoyasema na kufanya.

Kuhusisha Intarahamwe na ndugu zetu watanzania ni kosa kubwa sana.

Kumdhihaki Baba wa Taifa ni kosa kubwa sana kwani watanzania wengi wanamuenzi Nyerere, kumbuka Nyerere day 14/10 kila mwaka.

Kujitoa Bungeni ni kosa kubwa na imewauma watanzania wengi, hasa ukizingatia gharama zilizokwisha tumika.

Usione kwanini mnatoa matamko wananchi Wako kimya mkadhani ni bahati mbaya au hawajasikia, hii ni kwasababu mmekosea kwa mambo mengi mpaka sasa.

Jirudini mtubu la sivyo mtaishia kuaibika sana siku sio nyingi.
 
Intarahamwe waliua na kukandamiza haki za watu wasiokuwa na Hatia,CCM na serikali yake kupitia BMK wameamua kuua mawazo, maoni na mapendekezo ya wananchi. Na kama hujasahau pale walipojitokeza wapigania hali za waliokandamizwa walivamiwa, kutekwa na kuuliwa na pengine kutupwa mabwepande. Kama walikuwa hawahusiki mbona hajakamatwa hata wa kusingizia kama yule mkenya? Nalishangaa Kanisa Katoliki waliigwa pale O;asiti mbele ya Ba;ozi wa Papa lakini kwa mshangao Kadinari anapigia chapua serikari ya CCM na sera ya serikali mbili....

Maoni ya Prof. Lipumba yanaweza kuwa na ukweli kwa kuangalia na kuijua Intarahamwe vema,,,
Kwa mtu anayeheshimika kuwa msomi , Prof Lipumba amejishushia hadhi mbele ya jamii.
Sina tatizo na yeye kutofautiana na CCM, tatizo langu nu kutoa ulinganishi, au analogy isiyo na msingi.

Interhamwe ni wauaji wa kimbari, yeye Lipumba yuko hai hajauwawa na katoka Bungeni kwa hiari, ili aweke shinikizo.
Lakini kuta wengine Interhamwe ni jambo la kipuuzi na kichochezi kwa mtu kama Lipumba.
 
Lugha aliyoitoa Profesa Lipumba Bungeni akiongoza kususia Bunge la Katiba hakika imesitua wengi.
Siyo siri, ni lugha ya uchochezi.
Pengine Lipumba anasitiriwa kwa vile ni kiongoxi mwenye jina kuba katika upinzani na siasa za Tanzania, na amegombea urais miaka iliyopita.

wengi wetu tusio katika siasa huwa tunatazama mantiki ya argument na kuyaweka mambo yote kwenye mizania.
Kutofautiana katka siasa na wanasiasa ni jambo la kwaida, na hata kususia vikao kwa nchi yetu sasa hivi imezoeleka.

Hata hivyo kusikia kiongozi mkuu wa upinzani anatoa matamshi yanayotaka kuhamisha mauaji ya kimbari toka nchi jirani ya Rwanda na kuifananisha na nchi yetu, mimi naona si jambo la kuvumilika.

Lipumba inabidi atuambie kama kuna Intarahamwe humu nchini inayoongoza mauaji ya kimbari , basi atuambie Watusi naouwawa ni nani hao?
Na Wahutu waliokuwa wengi huko Rwanda wakiongoza mauaji ni nani?

Twaomba Lipumba atoe ufafanuzi, la sivyo achukuliwe hatua kwa kutoa uchochezi!

nyie intarahamwe round hii mmebaki uchi.
 
Prof.Lipumba na UKAWA kwa ujmla wenu mna makosa, tena huku mtaani sifa yenu sio nzuri kwa haya mnayoyasema na kufanya.

Kuhusisha Intarahamwe na ndugu zetu watanzania ni kosa kubwa sana.
Kumdhihaki Baba wa Taifa ni kosa kubwa sana kwani watanzania wengi wanamuenzi Nyerere, kumbuka Nyerere day 14/10 kola mwaka.
Kujitoa Bungeni ni kosa kubwa na imewauma watanzania wengi, hasa ukizingatia gharama zilizokwisha tumika.

Usione kwanini mnatoa matamko wananchi Wako kimya mkadhani ni bahati mbaya au hawajasikia, hii ni kwasababu mmekosea kwa mambo mengi mpaka sasa.

Jirudini mtubu la sivyo mtaishia kuaibika sana.

Umefanya Utafiti gani lini na sampuli yako ni kubwa kiasi gani isije ikawa sawasawa na kura za Jamaa za mwaka 2010 na sasa anapeperusha bendera kwa ziara za majuu tu. Acha uongo, hayo ni mawazo yako binafsi. CCM inasema kama watu wakinyamaza maana yake jambo hilo haliwasumbui? Nenda darasani kama umeunga unga shule yako, Mie naamini sasa ndo mmepata fursa ya kuleta ile rasimu mliyowakaririsha wajumbe wenu muipitishe fasta. Yaani mnawataka UKAWA ili kuhalalisha mbinu zenu chfu. Pigeni kazi kama mnavyohamisha meno ya tembo bila kikwazo, kama mnavyouza raslimali asilia kwa wachina na wamarekani bila vikwazo vyovyote. Pigeni kazi kama mnavyowarishisha watoto weny kwenye vyeo baba zao wanapostaafu ama kufariki kama Kalenga na Chalinze.
 
intarahamwe ccm,,,,lazima wakimbie nchi mafisadi waliodhulumu mali ya watznia
 
Umefanya Utafiti gani lini na sampuli yako ni kubwa kiasi gani isije ikawa sawasawa na kura za Jamaa za mwaka 2010 na sasa anapeperusha bendera kwa ziara za majuu tu. Acha uongo, hayo ni mawazo yako binafsi. CCM inasema kama watu wakinyamaza maana yake jambo hilo haliwasumbui? Nenda darasani kama umeunga unga shule yako, Mie naamini sasa ndo mmepata fursa ya kuleta ile rasimu mliyowakaririsha wajumbe wenu muipitishe fasta. Yaani mnawataka UKAWA ili kuhalalisha mbinu zenu chfu. Pigeni kazi kama mnavyohamisha meno ya tembo bila kikwazo, kama mnavyouza raslimali asilia kwa wachina na wamarekani bila vikwazo vyovyote. Pigeni kazi kama mnavyowarishisha watoto weny kwenye vyeo baba zao wanapostaafu ama kufariki kama Kalenga na Chalinze.

Sasa mbona watu wako kimya hata baada ya wao Kutoka nje ya Bunge, Takwimu za Warioba zimewaponza sasa, wataishia kupata aibu isiyotarajiwa, kwani huoni appetite ya move yao imedoda.
 
Kwa mtu anayeheshimika kuwa msomi , Prof Lipumba amejishushia hadhi mbele ya jamii.
Sina tatizo na yeye kutofautiana na CCM, tatizo langu nu kutoa ulinganishi, au analogy isiyo na msingi.

Interhamwe ni wauaji wa kimbari, yeye Lipumba yuko hai hajauwawa na katoka Bungeni kwa hiari, ili aweke shinikizo.
Lakini kuta wengine Interhamwe ni jambo la kipuuzi na kichochezi kwa mtu kama Lipumba.

Tatizo la wana CCM ni maneno ya kuambiwa, Kama Lipumba Kajishushia hadhi inakuathirije wewe? Nime kuomba takwimu za Utafiti wako huo umeshindwa , sasa unakuja na longolongo ya kujishushia hadhi Lipumba. Ndugu zangu wana CCM mnapaswa kujua kwamba kila enzi na kitabu chake, enzi za kuishi kwa uongo na ujanja ujanja sasa basi.
UKAWA wamewapisha mpitishe Katiba yenu ya serikali mbili, na sasa tena mnazunguka zunguka, Sasa mnataka mfanyiwe nini? Sasa mmetumwa na Lumumba Project kujitafutia uhalali humu jamvini, nadhani hapa sio mahali pake. Pesa za kuhonga mnazo, Usalama wa Taifawapo kuwalinda, TCCCM ipo kuwapa coverage, Jeshi lipo kupindua iwapo ikibidi ziwe serikali tatu maana kumbe nako huko wameshapenyezwa makada wa chama. Sasa Mungu awape nini,
Kwenye Raslimali mnaruhusiwa kusaini mikataba na yeyote hata kama ni 17 usiku wa manane.
Wauza Unga wanapita bila shida yeyote hata kama scanner za Airport ni nzima au mbovu, Twiga wanaruhusuwa kupanda ndege kwenda Uarabuni,
Orodha ya Majambazi mnayo na wala haiwapi shida. Orodha ya wauza Unga pia ipo na hakuna linaloharibina maana chama kimeshika patamu
 
Toka 1964 mpaka leo watu wangapi wameuliwa kugukuzwa nchini ama kuwekwa kizuizini kwa kuwa na mawazo tofauti kuhusu muungano. Ukijua hesabu yake na ukijua nani alihusika na mauaji hayo bila shaka huyo ni sawa na interahamwe.
Nani katika bunge ametaja makabila ya watanzania au asili ya mtu katika bunge?
Nani amechochea jeshi lichukue nchi kama S3 zikija?
Majibu unayo
 
Watatokea ss hata watoto wa aina hii
 
Attachments

  • 1397989011080.jpg
    1397989011080.jpg
    10.6 KB · Views: 1,714
Lugha aliyoitoa Profesa Lipumba Bungeni akiongoza kususia Bunge la Katiba hakika imesitua wengi.
Siyo siri, ni lugha ya uchochezi.
Pengine Lipumba anasitiriwa kwa vile ni kiongoxi mwenye jina kuba katika upinzani na siasa za Tanzania, na amegombea urais miaka iliyopita.

wengi wetu tusio katika siasa huwa tunatazama mantiki ya argument na kuyaweka mambo yote kwenye mizania.
Kutofautiana katka siasa na wanasiasa ni jambo la kwaida, na hata kususia vikao kwa nchi yetu sasa hivi imezoeleka.

Hata hivyo kusikia kiongozi mkuu wa upinzani anatoa matamshi yanayotaka kuhamisha mauaji ya kimbari toka nchi jirani ya Rwanda na kuifananisha na nchi yetu, mimi naona si jambo la kuvumilika.

Lipumba inabidi atuambie kama kuna Intarahamwe humu nchini inayoongoza mauaji ya kimbari , basi atuambie Watusi naouwawa ni nani hao?
Na Wahutu waliokuwa wengi huko Rwanda wakiongoza mauaji ni nani?

Twaomba Lipumba atoe ufafanuzi, la sivyo achukuliwe hatua kwa kutoa uchochezi!

Cjui kama ni tatizo la uelewa, ni kusema baada ya kusikia mitaani au ni ubobu wa masikio au vyote kwa pamoja. Intarahamwe ilifanya mauaji siyo kwa sababu ilifanya mauaji. ni kwa sababu kile ni kikundi kilichojengwa chini ya itikadi za kibaguzi. Na hicho ndicho CCM inachofanya.

Sikiliza tena, concentrate this time please.

Kamati ya Maridhiano Six:Lipumba na UKAWA watoka Bungeni 16 April 2014 - YouTube
 
Sasa mbona watu wako kimya hata baada ya wao Kutoka nje ya Bunge, Takwimu za Warioba zimewaponza sasa, wataishia kupata aibu isiyotarajiwa, kwani huoni appetite ya move yao imedoda.

Inabidi ujifunze kitu kinachoitwa "Spring Principle" Shida ya CCM mmeishiwa wale tunaowaita "Dynamic Political strategists" Labda tu kwa faida yako inakubidi utambue kwamba Rasimu ya Katiba inawapa favor UKAWA, kwa vile wamesimamia matakwa na maoni ya wananchi. Aliyemtuma Jaji Waryoba na Tume yake ni nani?
Unakumbuka Tume za Jaji Kisanga, Jaji Nyalali, Amina Salum Ally? Kilikuwa kipindi cha nyuma sana na JK hakuwa Rais kwa taarifa yako. Kama ungejua vema Spring Principle ningekueleweaha kwa uarahisi kabisa. Mnachofanya CCM mnakinga Mafuriko kwa Viganja vya mikono. It is a matter of time. Kikwete had ample time to readand reject the outcome of the Waryoba Commission. I am wondering why he had to wait until the went ahead to frustrate the CA in order to pave way for him to respond by attacking his own commission, this is only happening in Tanzania, In fact it is going to recorded in the Guinness Book of Wonders.
 
Back
Top Bottom