INTARAHAMWE WA Prof.LIPUMBA

INTARAHAMWE WA Prof.LIPUMBA

Kwa mtu anayeheshimika kuwa msomi , Prof Lipumba amejishushia hadhi mbele ya jamii.
Sina tatizo na yeye kutofautiana na CCM, tatizo langu nu kutoa ulinganishi, au analogy isiyo na msingi...
.

No, I think this is a most well-thought and necessary analogy, ili tusije rudia makosa ya Rwanda. Lipumba anapaswa kupongezwa. Niliwahi kuishi Rwanda, hakuna ubishi kwamba Itarahamwe walitumia sana makanisa (siyo misikiti) kujenga chuki, kitu wanavyokifanya sasa hivi akina Lukuvi & co.
 
Mipasho mipasho..toa hoja..mambo ya mvuto na nini hayahisiki kwenye katiba..ccm inawatu ambao mpo km mna akili za kuku
Kijani ndiyo mpango. Akitoka baba Riz1 lazima tuweke kijani nyingine ikulu, wapinzani nyie msahau, labda mpaka mtakapokuja na sera zenye mlengo wa maendeleo na si kuwachanganya wananchi mara eti ufisadi mara enheee!
 
Kijani ndiyo mpango. Akitoka baba Riz1 lazima tuweke kijani nyingine ikulu, wapinzani nyie msahau, labda mpaka mtakapokuja na sera zenye mrengo wa maendeleo na si kuwachanganya wananchi mara eti ufisadi mara enheee!
Ni mlengo si mrengo
 
Prof.Lipumba na UKAWA kwa ujmla wenu mna makosa, tena huku mtaani sifa yenu sio nzuri kwa haya mnayoyasema na kufanya.

Kuhusisha Intarahamwe na ndugu zetu watanzania ni kosa kubwa sana.

Kumdhihaki Baba wa Taifa ni kosa kubwa sana kwani watanzania wengi wanamuenzi Nyerere, kumbuka Nyerere day 14/10 kila mwaka.

Kujitoa Bungeni ni kosa kubwa na imewauma watanzania wengi, hasa ukizingatia gharama zilizokwisha tumika.

Usione kwanini mnatoa matamko wananchi Wako kimya mkadhani ni bahati mbaya au hawajasikia, hii ni kwasababu mmekosea kwa mambo mengi mpaka sasa.

Jirudini mtubu la sivyo mtaishia kuaibika sana siku sio nyingi.

hivi jina lako linatofauti na tabia yako? mwenzako aliitwa pisto na akaua mpenziwe
 
Umefanya Utafiti gani lini na sampuli yako ni kubwa kiasi gani isije ikawa sawasawa na kura za Jamaa za mwaka 2010 na sasa anapeperusha bendera kwa ziara za majuu tu. Acha uongo, hayo ni mawazo yako binafsi. CCM inasema kama watu wakinyamaza maana yake jambo hilo haliwasumbui? Nenda darasani kama umeunga unga shule yako, Mie naamini sasa ndo mmepata fursa ya kuleta ile rasimu mliyowakaririsha wajumbe wenu muipitishe fasta. Yaani mnawataka UKAWA ili kuhalalisha mbinu zenu chfu. Pigeni kazi kama mnavyohamisha meno ya tembo bila kikwazo, kama mnavyouza raslimali asilia kwa wachina na wamarekani bila vikwazo vyovyote. Pigeni kazi kama mnavyowarishisha watoto weny kwenye vyeo baba zao wanapostaafu ama kufariki kama Kalenga na Chalinze.

Mb.wa wewe. Kwani wewe ulikuwepo Rwanda na ukayashuhudia hayo unayoyabwabwaja? Au fedha ya bwana wenu Kagame ndo inayowapa hiyo jeuri?

Lumbana na wenzio mnaohara pamoja!
We si saizi yangu.

Hebu fikiria ktk secta moja tu ya BENK KUU tunawakuta watoto wa vigogo1.FILBET SUMAYE 2.BEATRICE BOMANI3.PAMELA LOWASA4.ZACHARIA KAWAWA5.SALAMA MWINYI6.RACHEL MSEKWA7.SALAMA MAHITA 8.JANE SITA9.JASMIN KARUME 10.JUSTINA NCHIMBI11.BLASIA W.MKAPA12.RADHIA SHEIN13.JEROME DIALO 14.LIKELE NGASONGWA 15.ANDY MAGUFULI-16.THOMAS MONGELA17.JABIR KIGODA 18.MARY MRAMBA


Hawana aibu nguruwe hawa sijuwi watanzania tumelogwa na nani

Watanzania hawajalogwa ila hawajapata chama tofauti na CCM ili wakiunge mkono.Vilivyoko havijajiandaa kutwaa madaraka bado wako kwenye migogoro isiyo na tija kwa kisingizio kuwa mchawi wao ni CCM.
CCM ni matapeli yaliyojipanga kiutapeli kwa lengo moja tu ya kuchukua madaraka na kulinda madudu yao.

Tuangalie tu mvutano ulioko ndani ya ccm inapofikia tamati kwa kumpata mgombea basi rais ndo ameshapatikana.
Tofauti na wapinzani wanaogopa upinzani wa ndani ya Chama.Mfano CHADEMA kilikua na nafasi kubwa na bado kina nafasi ya kufanya uchaguzi wa ndani utakaovuta hisia za watanzania wengi .Na atakayeibuka mshindi ndani ya Chama ndo akapeperusha bendera ndani ya chama.
 
Mb.wa wewe. Kwani wewe ulikuwepo Rwanda na ukayashuhudia hayo unayoyabwabwaja? Au fedha ya bwana wenu Kagame ndo inayowapa hiyo jeuri?

Na hicho ndo kinachofanyika bunge la katiba, wakibanwa kwa hoja wanaanza matusi na zomeazomea, watu wazima hao!!
 
Kijani ndiyo mpango. Akitoka baba Riz1 lazima tuweke kijani nyingine ikulu, wapinzani nyie msahau, labda mpaka mtakapokuja na sera zenye mlengo wa maendeleo na si kuwachanganya wananchi mara eti ufisadi mara enheee!

Muweke mwingine!! Sio uingie wewe??
 
Ili tuendelee kama Taifa tunahitaji
1.ARDHI
2.WATU
3.SIASA SAFI
4.UONGOZI BORA
By J.k Nyerere
 
Back
Top Bottom