INTARAHAMWE WA Prof.LIPUMBA

INTARAHAMWE WA Prof.LIPUMBA

Kwa matamshi aliyotoa Lipumba anaanza kukosa sifa za Kitaifa!
Sana sana anamsarandia Lissu, amejidowngrade kweli kweli.

Kawaida ukisema Kweli wenye nguvu watagengeza mazingira ili uonekane muongo, mbaya. Kama unakumbuka An enemy of the people. Viongozi wenye mamlaka Wanatake advantage ya ujinga wa watu.
 
Lugha aliyoitoa Profesa Lipumba Bungeni akiongoza kususia Bunge la Katiba hakika imesitua wengi.
Siyo siri, ni lugha ya uchochezi.
Pengine Lipumba anasitiriwa kwa vile ni kiongoxi mwenye jina kuba katika upinzani na siasa za Tanzania, na amegombea urais miaka iliyopita.

wengi wetu tusio katika siasa huwa tunatazama mantiki ya argument na kuyaweka mambo yote kwenye mizania.
Kutofautiana katka siasa na wanasiasa ni jambo la kwaida, na hata kususia vikao kwa nchi yetu sasa hivi imezoeleka.

Hata hivyo kusikia kiongozi mkuu wa upinzani anatoa matamshi yanayotaka kuhamisha mauaji ya kimbari toka nchi jirani ya Rwanda na kuifananisha na nchi yetu, mimi naona si jambo la kuvumilika.

Lipumba inabidi atuambie kama kuna Intarahamwe humu nchini inayoongoza mauaji ya kimbari , basi atuambie Watusi naouwawa ni nani hao?
Na Wahutu waliokuwa wengi huko Rwanda wakiongoza mauaji ni nani?

Twaomba Lipumba atoe ufafanuzi, la sivyo achukuliwe hatua kwa kutoa uchochezi!

Hivi wewe huoni hatari ya Lukuvi na baadhi ya viongozi wa dini ya kikristo kupinga serikali tatu kwa sababu zanzibar itatawaliwa kiislam;hiyo ni kauli ya kuzungumzia kanisani? Hivi waislam wakianza kuhamaki na kuleta fujo nani atalaumiwa?Au hukusikia CCM wakisema Wapemba nyie ni waarabu hamna undugu na watanganyika?Lipumba afafanue nini tena.
Au CCM wanaposema Zanzibar itajiunga na OIC sio ahadi za kidini?
 
intera= fight/amua/do
hamwe= pamoja limetokana na neno imwe = moja, so maana kamili ya interahamwe ni fight together/do together.
 
Hivi wewe huoni hatari ya Lukuvi na baadhi ya viongozi wa dini ya kikristo kupinga serikali tatu kwa sababu zanzibar itatawaliwa kiislam;hiyo ni kauli ya kuzungumzia kanisani? Hivi waislam wakianza kuhamaki na kuleta fujo nani atalaumiwa?Au hukusikia CCM wakisema Wapemba nyie ni waarabu hamna undugu na watanganyika?Lipumba afafanue nini tena.
Au CCM wanaposema Zanzibar itajiunga na OIC sio ahadi za kidini?
Kwa ya elimu na exposure ya Lukuvi tunaweza kumwelewa, lakini kwa elimu na exposure ya Lipumba hatumwelewi.
 
Lugha aliyoitoa Profesa Lipumba Bungeni akiongoza kususia Bunge la Katiba hakika imesitua wengi.
Siyo siri, ni lugha ya uchochezi.
Pengine Lipumba anasitiriwa kwa vile ni kiongoxi mwenye jina kuba katika upinzani na siasa za Tanzania, na amegombea urais miaka iliyopita.

wengi wetu tusio katika siasa huwa tunatazama mantiki ya argument na kuyaweka mambo yote kwenye mizania.
Kutofautiana katka siasa na wanasiasa ni jambo la kwaida, na hata kususia vikao kwa nchi yetu sasa hivi imezoeleka.

Hata hivyo kusikia kiongozi mkuu wa upinzani anatoa matamshi yanayotaka kuhamisha mauaji ya kimbari toka nchi jirani ya Rwanda na kuifananisha na nchi yetu, mimi naona si jambo la kuvumilika.

Lipumba inabidi atuambie kama kuna Intarahamwe humu nchini inayoongoza mauaji ya kimbari , basi atuambie Watusi naouwawa ni nani hao?
Na Wahutu waliokuwa wengi huko Rwanda wakiongoza mauaji ni nani?

Twaomba Lipumba atoe ufafanuzi, la sivyo achukuliwe hatua kwa kutoa uchochezi!

Kati ya prof na yule alieenda kuleta siasa kanisani,yupi mchochezi?? Umepaniki
 
Nijuavyo mimi Intarahamwe ni kundi ambalo lilihusika ktk mauaji ya kimbari(genocide) kule Rwanda,
Ni nini kimemsukuma Prof.LIPUMBA kuwaita wajumbe bunge la katiba wanaounga mkono serikali 2 kuwa ni Intarahamwe?

hukuona maneno ya kibaguzi na ya kuchochea chuki kama yaliokuwa yakitolewa na interahamwe kutoka kwenye vinywa vya wajumbe waunga mkono serikali 2 ulikuwa wapi mkuu?
 
Lugha aliyoitoa Profesa Lipumba Bungeni akiongoza kususia Bunge la Katiba hakika imesitua wengi.
Siyo siri, ni lugha ya uchochezi.
Pengine Lipumba anasitiriwa kwa vile ni kiongoxi mwenye jina kuba katika upinzani na siasa za Tanzania, na amegombea urais miaka iliyopita.

wengi wetu tusio katika siasa huwa tunatazama mantiki ya argument na kuyaweka mambo yote kwenye mizania.
Kutofautiana katka siasa na wanasiasa ni jambo la kwaida, na hata kususia vikao kwa nchi yetu sasa hivi imezoeleka.

Hata hivyo kusikia kiongozi mkuu wa upinzani anatoa matamshi yanayotaka kuhamisha mauaji ya kimbari toka nchi jirani ya Rwanda na kuifananisha na nchi yetu, mimi naona si jambo la kuvumilika.

Lipumba inabidi atuambie kama kuna Intarahamwe humu nchini inayoongoza mauaji ya kimbari , basi atuambie Watusi naouwawa ni nani hao?
Na Wahutu waliokuwa wengi huko Rwanda wakiongoza mauaji ni nani?

Twaomba Lipumba atoe ufafanuzi, la sivyo achukuliwe hatua kwa kutoa uchochezi!

badala ya kulaumu walotoa kauli za ubaguzi unalaumu mkemeaji kweli vichwa vingine sio kwa ajili ya kufikiri ni vya kufugia nywele.
 
Lipumba ni ibilisi na adui mkubwa wa taifa hili amejenga chuki sana na kutamani kuzuka kwa mapigano miongoni mwa watanzania kwa kua amekua hakubaliki ktk siasa za Tanzania ndio maana limejivua utu limekua SHETANI adui mkubwa wa Tanzania,,kwa ivo hata lile neno lake la hatari alilolitamka bungeni la kuchochea mauaji si geni kwake ila sisi waTZ wapenda amani na utulivu tunathubutu kusema OLE WAKE.
 
Tatizo la wana CCM ni maneno ya kuambiwa, Kama Lipumba Kajishushia hadhi inakuathirije wewe? Nime kuomba takwimu za Utafiti wako huo umeshindwa , sasa unakuja na longolongo ya kujishushia hadhi Lipumba. Ndugu zangu wana CCM mnapaswa kujua kwamba kila enzi na kitabu chake, enzi za kuishi kwa uongo na ujanja ujanja sasa basi.
UKAWA wamewapisha mpitishe Katiba yenu ya serikali mbili, na sasa tena mnazunguka zunguka, Sasa mnataka mfanyiwe nini? Sasa mmetumwa na Lumumba Project kujitafutia uhalali humu jamvini, nadhani hapa sio mahali pake. Pesa za kuhonga mnazo, Usalama wa Taifawapo kuwalinda, TCCCM ipo kuwapa coverage, Jeshi lipo kupindua iwapo ikibidi ziwe serikali tatu maana kumbe nako huko wameshapenyezwa makada wa chama. Sasa Mungu awape nini,
Kwenye Raslimali mnaruhusiwa kusaini mikataba na yeyote hata kama ni 17 usiku wa manane.
Wauza Unga wanapita bila shida yeyote hata kama scanner za Airport ni nzima au mbovu, Twiga wanaruhusuwa kupanda ndege kwenda Uarabuni,
Orodha ya Majambazi mnayo na wala haiwapi shida. Orodha ya wauza Unga pia ipo na hakuna linaloharibina maana chama kimeshika patamu
Mzee unawapiga shule kweli..sijui km wataweza kujibu
 
Nadhani jazba ilitawala kuliko hekima. Personality yake ni 0%. Mi kwanza huwa simpendi, hana mvuto wa kisiasa wala hana ushawishi. Ki muonekano na hata kama akiwa jukwaani hafananii na kuwa mwanasiasa. Nadhani walikosea waliomdanganya kuingia siasa, tunasema aliingia choo cha kike angali ni mwanaume! Pole zake, ataendelea kuwapigia saluti watu wasiokuwa hata na digirii.
Mipasho mipasho..toa hoja..mambo ya mvuto na nini hayahisiki kwenye katiba..ccm inawatu ambao mpo km mna akili za kuku
 
Nijuavyo mimi Intarahamwe ni kundi ambalo lilihusika ktk mauaji ya kimbari(genocide) kule Rwanda,
Ni nini kimemsukuma Prof.LIPUMBA kuwaita wajumbe bunge la katiba wanaounga mkono serikali 2 kuwa ni Intarahamwe?

Kwasababu hawaitakii mema Tanganyika.
 
Kwa jinsi CCM inavyokandamiza mwazo ya umma, nadhani kuitwa intrahammwe haitoshi. Tuwatafutie jina linalowafaa…labda wabakaji wa KATIBA? Pia ikumbukwe kuwa Nyerere siyo na hatakuwa Mungu, alikuwa mwanadamu aliyekosea na anapaswa kukosolewa pia. Vinginevyo mnaturudisha enzi za kidumu fikra za mwenyekiti…….
 
Lipumba ni ibilisi na adui mkubwa wa taifa hili amejenga chuki sana na kutamani kuzuka kwa mapigano miongoni mwa watanzania kwa kua amekua hakubaliki ktk siasa za Tanzania ndio maana limejivua utu limekua SHETANI adui mkubwa wa Tanzania,,kwa ivo hata lile neno lake la hatari alilolitamka bungeni la kuchochea mauaji si geni kwake ila sisi waTZ wapenda amani na utulivu tunathubutu kusema OLE WAKE.
vipi na yule ambae alienda kanisani kuchochea udini unamzungumziaje!
 
Intarahamwe waliua na kukandamiza haki za watu wasiokuwa na Hatia,CCM na serikali yake kupitia BMK wameamua kuua mawazo, maoni na mapendekezo ya wananchi. Na kama hujasahau pale walipojitokeza wapigania hali za waliokandamizwa walivamiwa, kutekwa na kuuliwa na pengine kutupwa mabwepande. Kama walikuwa hawahusiki mbona hajakamatwa hata wa kusingizia kama yule mkenya? Nalishangaa Kanisa Katoliki waliigwa pale O;asiti mbele ya Ba;ozi wa Papa lakini kwa mshangao Kadinari anapigia chapua serikari ya CCM na sera ya serikali mbili....

Maoni ya Prof. Lipumba yanaweza kuwa na ukweli kwa kuangalia na kuijua Intarahamwe vema,,,

Acha kupotosha maoni ya wananchi yapo katika kura ya maoni.
 
Mwache Lipumba kasema ukweli na wewe itakuchukua decade (miaka 10) kulijua hili kwasababu hutaki kumwelewa
 
We pia intarahamwe kama asemavyo Lipumba umeshalishwa sumu ya ccm!!
 
Uelewa wa lipumba ni mdogo ukilinganisha elimu yake na vitendo vyake kwani hata ndani ya cuf ameshindwa kujenga demokrasia anayoihubiri majukwaani, yeye na maalim seif wanajiona kama vile cuf ni chama chao binafsi. Anafaa kupuuzwa!
 
Wewe hujielewe na ccm yako ndio open space za wananchi mmejimilikisha nakuziita ccm!!
Jalini wananchi kwanza na si chama.
 
Back
Top Bottom