nyie intarahamwe round hii mmebaki uchi.
Na nyie m.bwa na wahaini mmebakije?
nyie intarahamwe round hii mmebaki uchi.
Lugha aliyoitoa Profesa Lipumba Bungeni akiongoza kususia Bunge la Katiba hakika imesitua wengi.
Siyo siri, ni lugha ya uchochezi.
Pengine Lipumba anasitiriwa kwa vile ni kiongoxi mwenye jina kuba katika upinzani na siasa za Tanzania, na amegombea urais miaka iliyopita.
wengi wetu tusio katika siasa huwa tunatazama mantiki ya argument na kuyaweka mambo yote kwenye mizania.
Kutofautiana katka siasa na wanasiasa ni jambo la kwaida, na hata kususia vikao kwa nchi yetu sasa hivi imezoeleka.
Hata hivyo kusikia kiongozi mkuu wa upinzani anatoa matamshi yanayotaka kuhamisha mauaji ya kimbari toka nchi jirani ya Rwanda na kuifananisha na nchi yetu, mimi naona si jambo la kuvumilika.
Lipumba inabidi atuambie kama kuna Intarahamwe humu nchini inayoongoza mauaji ya kimbari , basi atuambie Watusi naouwawa ni nani hao?
Na Wahutu waliokuwa wengi huko Rwanda wakiongoza mauaji ni nani?
Twaomba Lipumba atoe ufafanuzi, la sivyo achukuliwe hatua kwa kutoa uchochezi!

Prof.Lipumba na UKAWA kwa ujmla wenu mna makosa, tena huku mtaani sifa yenu sio nzuri kwa haya mnayoyasema na kufanya.
Kuhusisha Intarahamwe na ndugu zetu watanzania ni kosa kubwa sana.
Kumdhihaki Baba wa Taifa ni kosa kubwa sana kwani watanzania wengi wanamuenzi Nyerere, kumbuka Nyerere day 14/10 kila mwaka.
Kujitoa Bungeni ni kosa kubwa na imewauma watanzania wengi, hasa ukizingatia gharama zilizokwisha tumika.
Usione kwanini mnatoa matamko wananchi Wako kimya mkadhani ni bahati mbaya au hawajasikia, hii ni kwasababu mmekosea kwa mambo mengi mpaka sasa.
Jirudini mtubu la sivyo mtaishia kuaibika sana siku sio nyingi.
Intarahamwe waliua na kukandamiza haki za watu wasiokuwa na Hatia,CCM na serikali yake kupitia BMK wameamua kuua mawazo, maoni na mapendekezo ya wananchi. Na kama hujasahau pale walipojitokeza wapigania hali za waliokandamizwa walivamiwa, kutekwa na kuuliwa na pengine kutupwa mabwepande. Kama walikuwa hawahusiki mbona hajakamatwa hata wa kusingizia kama yule mkenya? Nalishangaa Kanisa Katoliki waliigwa pale O;asiti mbele ya Ba;ozi wa Papa lakini kwa mshangao Kadinari anapigia chapua serikari ya CCM na sera ya serikali mbili....
Maoni ya Prof. Lipumba yanaweza kuwa na ukweli kwa kuangalia na kuijua Intarahamwe vema,,,
Shida ya Lipumba kabebwa na siasa za kihuni naye kabebeka mwacheni atatukuta mwakani sijui kama hata kura elfu kumi atapata.
Tatizo la wana CCM ni maneno ya kuambiwa, Kama Lipumba Kajishushia hadhi inakuathirije wewe? Nime kuomba takwimu za Utafiti wako huo umeshindwa , sasa unakuja na longolongo ya kujishushia hadhi Lipumba. Ndugu zangu wana CCM mnapaswa kujua kwamba kila enzi na kitabu chake, enzi za kuishi kwa uongo na ujanja ujanja sasa basi.
UKAWA wamewapisha mpitishe Katiba yenu ya serikali mbili, na sasa tena mnazunguka zunguka, Sasa mnataka mfanyiwe nini? Sasa mmetumwa na Lumumba Project kujitafutia uhalali humu jamvini, nadhani hapa sio mahali pake. Pesa za kuhonga mnazo, Usalama wa Taifawapo kuwalinda, TCCCM ipo kuwapa coverage, Jeshi lipo kupindua iwapo ikibidi ziwe serikali tatu maana kumbe nako huko wameshapenyezwa makada wa chama. Sasa Mungu awape nini,
Kwenye Raslimali mnaruhusiwa kusaini mikataba na yeyote hata kama ni 17 usiku wa manane.
Wauza Unga wanapita bila shida yeyote hata kama scanner za Airport ni nzima au mbovu, Twiga wanaruhusuwa kupanda ndege kwenda Uarabuni,
Orodha ya Majambazi mnayo na wala haiwapi shida. Orodha ya wauza Unga pia ipo na hakuna linaloharibina maana chama kimeshika patamu
Hebu fikiria ktk secta moja tu ya BENK KUU tunawakuta watoto wa vigogo1.FILBET SUMAYE 2.BEATRICE BOMANI3.PAMELA LOWASA4.ZACHARIA KAWAWA5.SALAMA MWINYI6.RACHEL MSEKWA7.SALAMA MAHITA 8.JANE SITA9.JASMIN KARUME 10.JUSTINA NCHIMBI11.BLASIA W.MKAPA12.RADHIA SHEIN13.JEROME DIALO 14.LIKELE NGASONGWA 15.ANDY MAGUFULI-16.THOMAS MONGELA17.JABIR KIGODA 18.MARY MRAMBAUmefanya Utafiti gani lini na sampuli yako ni kubwa kiasi gani isije ikawa sawasawa na kura za Jamaa za mwaka 2010 na sasa anapeperusha bendera kwa ziara za majuu tu. Acha uongo, hayo ni mawazo yako binafsi. CCM inasema kama watu wakinyamaza maana yake jambo hilo haliwasumbui? Nenda darasani kama umeunga unga shule yako, Mie naamini sasa ndo mmepata fursa ya kuleta ile rasimu mliyowakaririsha wajumbe wenu muipitishe fasta. Yaani mnawataka UKAWA ili kuhalalisha mbinu zenu chfu. Pigeni kazi kama mnavyohamisha meno ya tembo bila kikwazo, kama mnavyouza raslimali asilia kwa wachina na wamarekani bila vikwazo vyovyote. Pigeni kazi kama mnavyowarishisha watoto weny kwenye vyeo baba zao wanapostaafu ama kufariki kama Kalenga na Chalinze.
Lumbana na wenzio mnaohara pamoja!Hatua mchukulieni kwanza kikwete aliyetishia kuipindua nchi kijeshi. Na ukiandika uzi mwingine tumia kichwa sio makalio.
Kwa matamshi aliyotoa Lipumba anaanza kukosa sifa za Kitaifa!Lipumba hana tofauti na magazeti ya Rwanda yanayomchafua mh Kikwete kama wanyarwanda wanamtusi Rais wetu kwa kumwita Intarahamwe na Lipumba akasema hayo, unapata picha gani?
Nanukuu tafadhali kulingana na maneno ya Mh Lipumba wale wote wasiopenda haki nakutetea masirahi yao kama ccm ni Intarahamwe....
mi Ukawa jamani na Intarahamwe sijui mwenzangu.
Natetea masirahi ya wananchi wenzangu!!
Nakuunga mkono serikali 3!!