INTARAHAMWE WA Prof.LIPUMBA

INTARAHAMWE WA Prof.LIPUMBA

Intarahamwe waliua na kukandamiza haki za watu wasiokuwa na Hatia,CCM na serikali yake kupitia BMK wameamua kuua mawazo, maoni na mapendekezo ya wananchi. Na kama hujasahau pale walipojitokeza wapigania hali za waliokandamizwa walivamiwa, kutekwa na kuuliwa na pengine kutupwa mabwepande. Kama walikuwa hawahusiki mbona hajakamatwa hata wa kusingizia kama yule mkenya? Nalishangaa Kanisa Katoliki waliigwa pale O;asiti mbele ya Ba;ozi wa Papa lakini kwa mshangao Kadinari anapigia chapua serikari ya CCM na sera ya serikali mbili....

Maoni ya Prof. Lipumba yanaweza kuwa na ukweli kwa kuangalia na kuijua Intarahamwe vema,,,

Mb.wa wewe. Kwani wewe ulikuwepo Rwanda na ukayashuhudia hayo unayoyabwabwaja? Au fedha ya bwana wenu Kagame ndo inayowapa hiyo jeuri?
 
Kama wewe hujui interahamwe ni nani basi utakuwa nakosoro kubwa sana , bila kumung'unya maneno wewe ni mgonjwa hatari huitwao syesyemu (ccm) ndiyo maana hujui kuwa ccm ndiyo hasa interahamwe kwani wameamua kubaka maoni ya wananchi na kujifanya wao ndio sahihi.mambo yenu mnayo yafanya ipo siku yatawaumbua. Hata hii katiba yao ya nineteen kweusi iliyowaweka madarakani bado wanaikana.intarahamwe noma.
 
Cjui kama ni tatizo la uelewa, ni kusema baada ya kusikia mitaani au ni ubobu wa masikio au vyote kwa pamoja. Intarahamwe ilifanya mauaji siyo kwa sababu ilifanya mauaji. ni kwa sababu kile ni kikundi kilichojengwa chini ya itikadi za kibaguzi. Na hicho ndicho CCM inachofanya.

Sikiliza tena, concentrate this time please.

Kamati ya Maridhiano Six:Lipumba na UKAWA watoka Bungeni 16 April 2014 - YouTube
Kwa vyovyote vile kumuita mtanzania mwenzako, anayekupa uhuru wa kuongea, kuwa ni Intarahmwe-muuaji, ni jambo la kusikitisha, hasa likitolewa na mtu ambaye alikuwa na sifa hata za kugombea urais wa nchi hii.

Anachoshindwa kuelewa Lipumba ni kwamba the numbers game is against him, na ku incite the mass for similar blood bath in Tanzania is deplorable, na uhaini to say the least.
 
Katika watu amabo nawazalau kwa sasa anaanza lipumba wa pili ni Lema sijawahi kuona watu wa ajabu kama hawa wanakurupuka na kudaka mambo ambayo hata hawayajui.
 
Kwa vyovyote vile kumuita mtanzania mwenzako, anayekupa uhuru wa kuongea, kuwa ni Intarahmwe-muuaji, ni jambo la kusikitisha, hasa likitolewa na mtu ambaye alikuwa na sifa hata za kugombea urais wa nchi hii.

Anachoshindwa kuelewa Lipumba ni kwamba the numbers game is against him, na ku incite the mass for similar blood bath in Tanzania is deplorable, na uhaini to say the least.
Shida ya Lipumba kabebwa na siasa za kihuni naye kabebeka mwacheni atatukuta mwakani sijui kama hata kura elfu kumi atapata.
 
Lugha iliotumika ni sahihi kabisa, hakuna kurudi bungeni wala nini wacha CCM watunge katiba tuone.Kwani kulikuwa na haja gani ya kuuliza maoni kwa kupitia tume ? Mie naona kama wangetunga katiba bungeni tuu, halafu wapinzani wakatoka nje ....So simple !

Walishafanya hivyo miaka iliopita wala hakukua na mbwe-mbwe wala kupoteza muda na fedha za wananchi.
 
Kwa vyovyote vile kumuita mtanzania mwenzako, anayekupa uhuru wa kuongea, kuwa ni Intarahmwe-muuaji, ni jambo la kusikitisha, hasa likitolewa na mtu ambaye alikuwa na sifa hata za kugombea urais wa nchi hii.

Anachoshindwa kuelewa Lipumba ni kwamba the numbers game is against him, na ku incite the mass for similar blood bath in Tanzania is deplorable, na uhaini to say the least.

Kama ingekuwa katika muktadha sahihi ndiyo. Ila kwa hali ya sasa Lipumba alikuwa akilalamikia ubaguzi. Same as what intarahamwe walifanya. And trust me when I say kuwa hata hili linaloendelea bungeni, kama wataendelea kubaguana na kudhalilishana kuna uwezekano wa kufuata same path. So sioni kama alikosea kulalamikia ubaguzi huo!
 
Prof.Lipumba na UKAWA kwa ujmla wenu mna makosa, tena huku mtaani sifa yenu sio nzuri kwa haya mnayoyasema na kufanya.

Kuhusisha Intarahamwe na ndugu zetu watanzania ni kosa kubwa sana.

Kumdhihaki Baba wa Taifa ni kosa kubwa sana kwani watanzania wengi wanamuenzi Nyerere, kumbuka Nyerere day 14/10 kila mwaka.

Kujitoa Bungeni ni kosa kubwa na imewauma watanzania wengi, hasa ukizingatia gharama zilizokwisha tumika.

Usione kwanini mnatoa matamko wananchi Wako kimya mkadhani ni bahati mbaya au hawajasikia, hii ni kwasababu mmekosea kwa mambo mengi mpaka sasa.

Jirudini mtubu la sivyo mtaishia kuaibika sana siku sio nyingi.

acha kufikiri kwa kutumia maka..lio wewe. watanzania sawa mmechukia nyerere kuelezewa alivyofanya ukaghai ila watanganyika na wazanzibar tumefurahia hila.zake kuwekwa,hadharani na tumewataka intarahamwe waheshimu maoni yetu wananchi na sio wewe kibaraka wa nyenyere...or else uvunjike tuanze upya kila upande kama ilivyovunjika east.africa.ya kwanza.
 
Interahamwe wanafahamika wako mjengoni wanalipana pesa kwa mipasho, matusi,chuki na hata ubaguzi! Maccm!
 
Kama ingekuwa katika muktadha sahihi ndiyo. Ila kwa hali ya sasa Lipumba alikuwa akilalamikia ubaguzi. Same as what intarahamwe walifanya. And trust me when I say kuwa hata hili linaloendelea bungeni, kama wataendelea kubaguana na kudhalilishana kuna uwezekano wa kufuata same path. So sioni kama alikosea kulalamikia ubaguzi huo!
Hivi?
Vijana wa CCM wakizunguka nchi nzima na kubeba babgo linalosema "LIPUMBA MUST BE LYNCHED" utawaelewa?
Hata kama hawana maana ya kumuua?
 
acha kufikiri kwa kutumia maka..lio wewe. watanzania sawa mmechukia nyerere kuelezewa alivyofanya ukaghai ila watanganyika na wazanzibar tumefurahia hila.zake kuwekwa,hadharani na tumewataka intarahamwe waheshimu maoni yetu wananchi na sio wewe kibaraka wa nyenyere...or else uvunjike tuanze upya kila upande kama ilivyovunjika east.africa.ya kwanza.

wewe wa wapi, mbona ujitambui kama viongozi wako wa ukawa, jalibu kufikili kwa kina sana Lipumba si nuru ya Watanzania ni mchumia tumbo tu kama Lisu, Lema
 
Kwa vyovyote vile kumuita mtanzania mwenzako, anayekupa uhuru wa kuongea, kuwa ni Intarahmwe-muuaji, ni jambo la kusikitisha, hasa likitolewa na mtu ambaye alikuwa na sifa hata za kugombea urais wa nchi hii.

Anachoshindwa kuelewa Lipumba ni kwamba the numbers game is against him, na ku incite the mass for similar blood bath in Tanzania is deplorable, na uhaini to say the least.

unaongelea uhaini upi?..wa jk kuamrisha jeshi lipindue nchi zikipita s3 au wa lukuvi kulishutumu jeshi kuwa litapindua nchi zikipita s3? acha njaa dogo utaolewa mjini kwa tamaa ya buku 7.
kwani unadgan yalikotokea mauaji walikufa ngombe na kuku si watu kama mimi na wewe...so damu yangu na yako inathamani kubwa kuliko hao,walokufa hizo nchi nyingine?

acha uoga na jifunze kuwa shujaa kwa kupigania haki mpaka tone la mwisho la jaso na damu yako.

dume joga weee...utaolewa na kaka jambaxi...jiangalie wewe.
 
Interahamwe wanafahamika wako mjengoni wanalipana pesa kwa mipasho, matusi,chuki na hata ubaguzi! Maccm!

kweli vilaza ndio waburuzwao, kwa akili yako kama ya kuku unaongozwa na mtu asiyekuwa na ushawishi kama lupumba na wewe unajiita kijana, no wewe ni mzee na ubongo wako sawa na wa kuku
 
unaongelea uhaini upi?..wa jk kuamrisha jeshi lipindue nchi zikipita s3 au wa lukuvi kulishutumu jeshi kuwa litapindua nchi zikipita s3? acha njaa dogo utaolewa mjini kwa tamaa ya buku 7.
kwani unadgan yalikotokea mauaji walikufa ngombe na kuku si watu kama mimi na wewe...so damu yangu na yako inathamani kubwa kuliko hao,walokufa hizo nchi nyingine?

acha uoga na jifunze kuwa shujaa kwa kupigania haki mpaka tone la mwisho la jaso na damu yako.

dume joga weee...utaolewa na kaka jambaxi...jiangalie wewe.
Mkuu najua wazi kuwa uwezo wako ni mdogo kuweka hoja na kuitetea, na natoa angalizo , sijakutukana- na si kwamba siwezi KUKUWEKEZA mahali unapostahili KUWEKEZWA!
 
Nimejifunza kuwa hakuna mwanasiasa anayesimamia kauli zake. Lazima kuna siku atatafuta jinsi ya kuzikana kulingana na wakati na matukio ya wakati huo. Neno interahamwe ni baya kutumika kwa upande mmoja na ni zuri kwa upande mwingine kulingana na mtazamo.Ninajua pia kauli za jeshi kuchukua nchi au nchi kugeuka kuwa ya kiisilamu tena wa misimamo mikali ni mbaya kwa upande mmoja lakini nzuri kwa upande mwingine na hasa ikisemewa sehemu fulani kanisania/msikitini au Bungeni. Kwahiyo ni vizuri wote tujifunze na kuwaelewa wanasiasa. Tutaondoa stress na tutaishi kwa amani milele na milele.
 
Toka 1964 mpaka leo watu wangapi wameuliwa kugukuzwa nchini ama kuwekwa kizuizini kwa kuwa na mawazo tofauti kuhusu muungano. Ukijua hesabu yake na ukijua nani alihusika na mauaji hayo bila shaka huyo ni sawa na interahamwe.
Nani katika bunge ametaja makabila ya watanzania au asili ya mtu katika bunge?
Nani amechochea jeshi lichukue nchi kama S3 zikija?
Majibu unayo
Intarahamwe mwaka huu watateseka sana.
 
CCM na vibaraka wake ndani ya Bunge Maalum la Katiba ni zaidi ya INTERAHAMWE. Sipati jina zuri zaidi la kuwafananisha nalo
 
Intarahamwe waliua na kukandamiza haki za watu wasiokuwa na Hatia,CCM na serikali yake kupitia BMK wameamua kuua mawazo, maoni na mapendekezo ya wananchi. Na kama hujasahau pale walipojitokeza wapigania hali za waliokandamizwa walivamiwa, kutekwa na kuuliwa na pengine kutupwa mabwepande. Kama walikuwa hawahusiki mbona hajakamatwa hata wa kusingizia kama yule mkenya? Nalishangaa Kanisa Katoliki waliigwa pale O;asiti mbele ya Ba;ozi wa Papa lakini kwa mshangao Kadinari anapigia chapua serikari ya CCM na sera ya serikali mbili....

Maoni ya Prof. Lipumba yanaweza kuwa na ukweli kwa kuangalia na kuijua Intarahamwe vema,,,

Lipumba yuko sawa kabisa kwani ameweka wazi kabisa kuwa wajumbe wote wa katiba wanaoitakia mema nchi hii wasikubali kukaa pamoja na kikundi cha watu wanaoamsha chuki za kidini na kubagua baadhi ya wa tz kwa rangi, kabila, mahali anapotoka na hilo limefanyika ndani ya Bunge la katiba huku viongozi waandamizi wa Serikali wakifurahia ubaguzi huo kwa kushangilia kwa makofi! la kutisha na kuogopesha Waziri mzima anaingia Kanisani na kutangazia Wakristo kuwa CUF wanataka kusimika Serikali ya Kiislam Zanzibar kwa kushirikiana na Uamsho kupitia mlango wa Serikali 3!

Huo ni uchochezi wa wazi na kila mwenye akili anatambua nini lengo la kikundi hicho! Mheshimiwa Lipumba yuko sawa kabisa kukilinganisha kikundi hicho na Interahamwe kwani nani asiejua Interehamwe walichochea ubaguzi na chuki dhidi ya Kabila la Kihutu na baadhi ya Wahutu waliokuwa wakipinga ubaguzi? Profesa lipumba ktk maelezo yake amesema bunge hilo la katiba limekuwa kama bunge la Interehamwe akimaanisha maovu yaliyofanyika humo hayana tofauti na maovu waliofanya Interehamwe. Kabla ya mauaji ya kimbari ya Rwanda, chuki na ubaguzi zilipandwa na kupaliliwa na Interehamwe na baadae kukamilisha na mauaji ya kimbari, sasa ili tusifikie huko kwanza CCM na Serikali yake ni muhimu wawachukulie hatua wale wote waliodiriki kujenga chuki za kikabila na kikanda hasa wajumbe wao toka Zanzibar walioonyesha ubaguzi wa wazi dhidi ya Wapemba na imvue wadhifa wake Waziri Lukuvi kwa kujenga na kueneza chuki za Kidini.
 
Back
Top Bottom