Kwanini hujiulizi ni WADADA tu na SIO VIJANA WA KIUME?Habari wadau.
ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.
Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao.
Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo ya nguvu Goba na salasala na kumiliki magari mazuri kwa mapato ya biashara ya niagize china
View attachment 2941107
Mdada mwingine graduate wa udsm mwaka 2022 Niffer Jovin. na yeye nae anashusha mijengo na kuendesha gari kali kwa mapato ya biashara ya niagize china nikununulie mzigo wako.
View attachment 2941115
Bila kusahau na wadada wengine kazaa wanaofanya hiyo biashara.
Funzo kubwa instagram na mitandao mingine inakupa ajira na maisha mazuri sana ukijua kuitumia kwa ujanja
Hawajui KUJIBRAND.uchi ungekuwa unanua ma range na kujenga majengo. warembo wote wangekuwa na hizo mali.
kuna wadada kibao wazuri wamejaa nchi nzima ila hawana chochote. na wengine wameshinda mpaka mashindano ya urembo kuonesha walivyo wazuri. kama uzuri unalipa mbona wazuri wengi hawana maisha
uchi hauwezi kukupa mali zaidi ya hela ya kula, kodi na mavazi. labda kidogo ungesema ndoa na tajiri ningekuelewa. ila sio kuuza uchi. hakuna mwanaume mjinga anaenunua uchi kwa hela za kununua range ama kujenga nyumba. hayupo
Kwanini hujiulizi ni WADADA tu na SIO VIJANA WA KIUME?
Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Yani Iran na mashia wanawatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Iran na mashia wanamuita mke wa mtume Muhammad SAW kahaba. Halafu umma wa uislamu tumekaa tu kimya???Uaminifu ndio mtaji mkubwa sn muanzilishi wa mwanzo wa hyo niagize china ni faiza ally lakini baada kupata shutuma kwa wateja wake sasa hv wamemkimbia
Mtoa mada atakuwa mshamba flani katoka bush hivi karibuni na pia amekurupuka na hii thread yakeTukuambie au Tukuache Mtoa mada kwa Taarifa yako hapo kuna aliyetajirika na unga kwa kupitia hicho kigezo cha kuleta hyo mizigo ya china na hata mtaji ni wa madawa
Mtoa mada huelewi hata source ya utajiri wa GSM.GSM ni wanaume wanaifanya sana hii biashara in large scale. ndio source mojawapo ya utajiri wao
Nina kazia upo chini kifikra na wala huelewi kitu.wewe ndio upo chini kifikra. unachagua maneno unayotaka na kufanya conclusion yako.
Duh!Mtoa mada huelewi hata source ya utajiri wa GSM.
Home Shopping Center. ilikuwa kampuni kinara wa kuingiza mizigo mingi hapa Tanzania Bila kulipa ushuru.
Source ya utajiri wao hao GSM formerly HSC ni kukwepa kulipa kodi za serikali pamoja na biashara ya Meno ya tembo akishirikiana na JK wakati akiwa No 1
wacha weee!Nilichokiona kwa kanumba niligundua bongo wenye ni wachache.
Show off Ila mwisho alikuwa hana gari wala nyumba
Mzee pamoja na kwamba ni kweli kuna mwamko wa kina dada kujiongeza huko china kama unavyosema Lakin aisee wanapigwa mno. Yaan mpaka unawaonea huruma. Mapopo wanawapiga sana aisee. Wakifika huko wanaish yale maisha kama ya wadada wa kona bar. Ingawaje pia kidogo siku hiz na kaz wanapiga tofauti na huko nyuma. Kikubwa usimruhusu mkeo kusafiri bila wewe aisee. Laiti ungejua kinachofanyika huko ungekufa na pressure.Habari wadau.
ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako.
Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao.
Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo ya nguvu Goba na salasala na kumiliki magari mazuri kwa mapato ya biashara ya niagize china
View attachment 2941107
Mdada mwingine graduate wa udsm mwaka 2022 Niffer Jovin. na yeye nae anashusha mijengo na kuendesha gari kali kwa mapato ya biashara ya niagize china nikununulie mzigo wako.
View attachment 2941115
Bila kusahau na wadada wengine kazaa wanaofanya hiyo biashara.
Funzo kubwa instagram na mitandao mingine inakupa ajira na maisha mazuri sana ukijua kuitumia kwa ujanja
Umenena vyema, hiyo Ndiyo sababu kuu ya utajiri wa ghafla ya hao mabinti. Yuko mmoja akifungwa na mumewe nadhani jina lake anaitwa Shamim Mwasha. Kucha kutwa alikuwa anawananga mabinti we zake humu mitandaoni kuwa ni wavivu, hawajitumi, hawafanyi kazi nk nk. Mara Pwaaa kanaswa na madawa ya kulevya. Sasa anasota gerezani.Tukuambie au Tukuache Mtoa mada kwa Taarifa yako hapo kuna aliyetajirika na unga kwa kupitia hicho kigezo cha kuleta hyo mizigo ya china na hata mtaji ni wa madawa