Kumbuka kuna watendaji na wahimizaji. Ukipewa plan ifanyie kazi ukisha toboa mnunulie pair moja ya viatu umpe, kama asante.Wale jamaa wananishangaza sana anaweza kupa business plan ukifikiria unaona kabisa unatoboa
Ila ukiangalia yeye sasa kiatu chake kimelika sori upande 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Ha ha ha ha nimekupata mkuuNa huo ni ujasiriamali kuaminisha jamii na kutoa pesa yao kukusikiliza siyo kazi ndogo.
Figo kama ya Madam Amba?Awamu hii tutauza mpaka figo
Muda huu ni Full kuheshimiana.Katika kuonyesha kuwa awamu hii hamna janja-janja wale ndugu zetu watia rangi kwenye maisha (Inspirational Speakers) wamezidi kupungua na kutafuta shughuli halisi na kuachana na mambo ya kupiga domo tupu. Asante sana Mheshimiwa. Tuendapo hata Ma-MC watatoweka kwenye ramani.
Point taken. Lakini ngoja nikuulize swali fikirishi na pengine chokonozi. Je hakukuwepo na matajiri enzi za kina Einstein?Hivi kuna wale labda unaenda zako posta unashangaa anaaza kuaza kitabu sijui eti cha uchumi wakati yeye mwenye aliyekiandika anapigwa jua njia nzima
Sema UTAPELI wa kuaminisha watu mafanikio yanapatikana kiujanja-ujanja. Mafanikio yanakuja kwa kufanya kazi halisi si kubwabwaja jukwaani tu.Na huo ni ujasiriamali kuaminisha jamii na kutoa pesa yao kukusikiliza siyo kazi ndogo.
Meku msalimie MunisiHii post imekaa kihutu hutu zaidi ikisapotiwa na usukuma mtupu! Mna roho ya korosho , Hasara kwa watanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]SIKU HIZI HATA WACHUNGAJI WAMEKUA MOTIVATIONAL SPEAKERS
HAWAHUBIRI HABARI YA DHAMBI NA MAUNGAMO WALA MOTO WA JEHANAMU
WAMEJIKITA KWENYEMAFUNDISHO YA MAFANIKIO YA KIMWILI TU
Walikuwa wauza madawa, akipata vihela hivyo vya madawa anakuja kuvitakatisha kwa kujifanya eti yeye katumia akili anawamotivate wadau. Wapo wengi mfano Mikono speakers etcKatika kuonyesha kuwa awamu hii hamna janja-janja wale ndugu zetu watia rangi kwenye maisha (Inspirational Speakers) wamezidi kupungua na kutafuta shughuli halisi na kuachana na mambo ya kupiga domo tupu. Asante sana Mheshimiwa. Tuendapo hata Ma-MC watatoweka kwenye ramani.