Ingekuwaje kama ningekuwa mwanamke!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ingekuwaje kama ningekuwa mwanamke!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by M'Jr, Feb 18, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nawaza sana mpaka kuna wakati naogopa, hivi ingekuwaje kama ningekuwa mwanamke?

  • Kila nikipita napigiwa miluzi na ksiiiiiii.............
  • Kila mwezi nakuwa na wasiwasi wa lini itatokea (period)
  • Kila mwezi najua ntaugua (kwa walio wengi tumbo, mgongo au kiuno)
  • Kuogopa mimba ukiwa bado shuleni
  • kujifungua kwa uchungu
  • kupkea kichapo kwa mume
  • huwezi kutembea peke yako usiku bila escort ya mwanaume hata kama ni mdogo kwako
  • na mengine mengi...........

  Dah mpaka huwa naogopa, what if i was a woman?
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280
  Aisee.....!
   
 3. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mzee Aspirin mi mpaka huwa naogopa
   
 4. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Hua unatuthamini wanawake au hizi ni porojo tu? kama wajiuliza yoote hayo ina maana wajua mateso yetu.
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Je kupigwa mtungo na masela kibao hili unalionaje?
   
 6. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ingekuwa poa tu... Its so GREAT being a woman!!! I feel lucky!
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Najisikia furaha sana kuwa mwanamke
   
 8. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  NInamjua dk anaweza kukubadilisha jinsia. Kama uko tayari sema then utakuja kutupa mauzoefu hapa
   
 9. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ingekuwa kawaida tu km tulivo sisi,
  Sema kwa vile u mwanaume kwa sasa ndio maana,
  Otherwise we are happy na tunajivunia kwa namna mungu alivotuumba!
  Am happy to be a woman!!!!
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwani wanaume ndo wanaunafuu?
   
 11. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Sidhani kama ni mateso being a woman mamy but mi najiuliza tu ni namna gani ningeweza ku kop na hali halisi.......m very carelesss na women need to be extra careful
   
 12. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa hao wanaopigwa mtungi huwa wanajitakia na hao wanaowapiga nao akili zao haziwatoshi
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hapo bado hujazungumzia nanihii....
  ila ungezoea tu..
  Hivi mashoga wako kundi lipi la kijinsia?
   
 14. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  sijasema mateso kua mwanamke, nimesema kuna mateso tunapata, see the difference?
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sana tu..
   
 16. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #16
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mateso yepi Bibie?


  Hey!
  Stop reading my signature! :smash:
   
 17. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #17
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu wewe hujawahi kupigwa kibuti kwa sababu ya ukachala?
  Muda wote unawaza kumridhisha, ukishindwa tu, unasaidiwa?
  Unatafuta pesa kwa jasho na damu ili uweze ung'oe demu mkali?
  Unaingia kwenye ushindani yeye ndiye aamue amkubalie yupi?
  wanaume tuna changamoto kuliko wanawake Bhana..
   
 18. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #18
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa we umeona hapo tu kwenye kumuacha mwanamke aaqmue kama anakutaka wewe ama la eeh!
   
 19. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #19
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  1.Ungetongozwa mpaka uchukie mwenyewe, 2.ungeolewa na kuzaa(kuzaa ni process kumbuka)watoto,
  3. Ungekuwa na maringo ujanani mwako.
  Mengi tu mkuu ungekuwa nayo,
   
 20. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #20
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  ingekua kawaida tu, na hapo pengine ungejiuliza nngekua m'me ingekuaje kwa kuangalia disadvantages.
  Kila kitu kina ubora wake, kutokana na M/mungu mwenyewe alivokijaalia.
   
Loading...