Nishapenda, nikavumilia mengi lakini sio usaliti.Mkuu, una hakika ushawahi penda kiukweli?
Sio lazima ufanye hvyo na wala hakuna umuhim kama bado unahtaji kuendelea kuwa nae, haumhitaji tena ndio maana imekua rahisi kufanya hvyoUnajua kuna ile unafanya kosa na unaona kabisa nafsi inakuhukumu na unatamani kuutua ule mzigo..!!
Ashukuru amepata mwanaume ambaye anaweza kuzuia hasira zake ingekuwa wengine angepigwa mda huo anaongea ujinga huo yaani huyo bibie haugopi kifo.Ukiona mwanamke anakwambia kuwa kacheat na hujamuuliza wala kudoubt jua kuwa Kanogewa na aliemkulaaa... Yani haoni shida kukupoteza...!! Na huyo dada akikubali kudate na jamaa ake tena walahi atamfanyia kitu mbaya sanaa.. Wanaume visasi ndo zetu
watu wanalea watoto ambao sio wao mpaka wanakufa hawajuii... Wanawake shetani mwenyewe kuna maovu mengine inabdi ajifunze toka kwenu...


Inabidi kwa kweli gunia za mkaa tunazipinga safari hii 😀😀Nadhani hii iwe next agenda kwenye kikao chenu wanawake mjulishane mkitusaliti hampaswi kusema na dalili mnazficha
Mkuu hujawahi ku cheat maishani mwako??Mungu kasema... Isipokua kwa uasherati tu... Ila mengine waweza samehe,... Sasa kama Mungu kanisemea tayar, mimi ni nani nimpinge Mungu? Hakuna msamaha wa hilo,... Bali unafki wa kisasi upo,...
Jifunze kuwa mkimya na mambo yako, kuwa msiri au unadhani nayeye kila anachokifanya anakuambia?Haha.!!
Kuna wakati moyo unafukuta hasa.!!
Mpendwa kama moyo unafukuta unaenda kusemea msalani ukitoka tabasamu kwa baby wako serious vifo vingine vya kujitakia.Haha.!!
Kuna wakati moyo unafukuta hasa.!!
Inabidi kwa kweli gunia za mkaa tunazipinga safari hii![]()


jitahidin lasivyo gunia za mkaa zitaongezekaMfano mzuri ni mimi naweza mkosea Mama kitu, ila nitakosa amani mpaka nimuambie ukweli aniseeeme ndo hapo sasa naona nimekuwa responsible kwa nilichokosea.!!Sio lazima ufanye hvyo na wala hakuna umuhim kama bado unahtaji kuendelea kuwa nae, haumhitaji tena ndio maana imekua rahisi kufanya hvyo
Hahahaha.Naomba nambie hujawahi saliti..
Tatizo sio kwamba huyo uliye kuwa nae hajawahi Salita huyu kaka aliye mchoma mkewe watu wake wa karibu wameongea naye ni msaliti pia hakuwa muaminifu kwenye ndoa yake ila why kamuuwa mkewe tena hao wasaliti ni hatari kwa hasira.Naomba nambie hujawahi saliti..
Mfano wako hauendani na tunachojadili hapa, mama sio sawa na mpenz wako hawana hadhi sawa na treatment zao n tofauti kabisa. Iko hivi ukiona umeweza kumwambia ukweli ujue basi hauna nia na uwezi kuacha tabia uliyoianza ya usaliti, ingekua unaweza kuiacha usingemwambia kwa sababu unajua fika ukiacha hatokuja kujua na ndio maana moya wako unafukutaMfano mzuri ni mimi naweza mkosea Mama kitu, ila nitakosa amani mpaka nimuambie ukweli aniseeeme ndo hapo sasa naona nimekuwa responsible kwa nilichokosea.!!
Mbona unamtetea sana, au ni wewe nini?Mkuu wewe hujawahi kosea??