Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
- Thread starter
- #81
Ni kweli kakosea ila hakuna maisha magumu kama kuishi kwa ku pretend hakyamama, kila neno unalotamka nafsi inakuambia 'you are liar'..,!!Kosa alilofanya ni kukiri makosa.... Jamani ukichepuka na hujafumaniwa ni marufuku kukiri makosa, komaa hujafanya chochote mwanzo mwisho kitendo cha kukubali hilo ni kaburi lako umejichimbia mwenyewe...
Hapo kwa kweli aishi na huyo boyfriend wake kwa akili lolote laweza kutokea
