Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

This is the meaning of true love
Hi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!

Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano yao wanawasiliana tu vizuri na mara kwa mara..!!

Wakiwa wanaaminiana huku kila mmoja akiahidi ku keep promise as walikuwa committed to each other..

the bad day arrived as girl alikuwa ako na ex wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi huko, so ex akawa amerejea akamfuata binti mpaka kwao anaomba waonane japo waongee tu.!!

Hapo ndo pahala mrembo akabugi akaenda onana naye, wakazungumza vizuri huku wanakunywa wine na nafasi ya usaliti ikajitokeza hapo, Na imagine alikuwa amekaa muda mrefu bila kufanya kosa while akimsubiri mpenzi wake,

After that, akakosa gut ya kuongea vizuri na mpenzi wake maana akawa anafeel guilty, Mpenzi wake akagundua changes kwa communication yao, akawa ameforce kutaka kujua what's going down?

Binti uvumilivu ukamshinda akasema ukweli na kuomba radhi, the guy aliumia ila after a while akamuambia kuwa amemsamehe..!!

Sasa tatizo binti ana feel guilty sababu kavumilia muda mrefu kaja kuvunja jungu mlangoni, Pili haamini kama kweli the guy kamsamehe maana kamuambia amvumilie anarudi very soon waongee, ila mrembo anataka aachane naye tu kabla hata hajarudi sababu anasema kama ameweza kum cheat this time after all promises, obviously anahofia hili laweza kujirudia hata ikitokea kamsamehe anaweza muumiza tena..

Kajaribu kumuambia bora iishe ila the guy kagoma katu katu kumuacha, hivi wanaume unaweza salitiwa na mpenzi wako na ukafahamu, na ukamsamehe kwa moyo mmoja na ukawa tayari kuendelea naye bila kinyongo chochote??
 
Kosa alilofanya ni kukiri makosa.... Jamani ukichepuka na hujafumaniwa ni marufuku kukiri makosa, komaa hujafanya chochote mwanzo mwisho kitendo cha kukubali hilo ni kaburi lako umejichimbia mwenyewe...

Hapo kwa kweli aishi na huyo boyfriend wake kwa akili lolote laweza kutokea
 
Uyo mwanamke ana matatizo Kama sio mnafiki basi kaambukizwa maradhi katafuta gear sababu alikuwa anawapa sana wapolo.
 
Hapo ndo shetani alinipitia inatake place! Sasa anaumia nini wakat kyataka mwenyewe?
 
Kosa alilofanya ni kukiri makosa.... Jamani ukichepuka na hujafumaniwa ni marufuku kukiri makosa, komaa hujafanya chochote mwanzo mwisho kitendo cha kukubali hilo ni kaburi lako umejichimbia mwenyewe...

Hapo kwa kweli aishi na huyo boyfriend wake kwa akili lolote laweza kutokea
Tena hata ikifumaniwa, singizia pombe banaa, au hata bangi... Huku ukishikilia kuwa hujagegedana.... KUKIRI JAMBO HILO KUNAGHARIMU... kila kosa utakalofanya baada ya hapo LAZIMA UTAKUMBUSHWA ULICHOKIRI HADI MWISHO WA MAISHA YAKO
 
Mwanaume ni kama jaji au hakimu, ukikiri kosa mbele yake hakumfanyi akupende zaidi, anakuchoronga miaka gerezani mbaa!
Mwanamke kataa, hata akikwambia aliyemwambia kuwa unachepuka ni mamake, mwambie na mimi nikianza kukueleza ya mamako utaachana nae? Au kwakuwa ni mimi ndio unaninyanyasa( anza kulia).
Mwanamke, kataa kuwa mkaa.
 
Hi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!

Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano yao wanawasiliana tu vizuri na mara kwa mara..!!

Wakiwa wanaaminiana huku kila mmoja akiahidi ku keep promise as walikuwa committed to each other..

the bad day arrived as girl alikuwa ako na ex wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi huko, so ex akawa amerejea akamfuata binti mpaka kwao anaomba waonane japo waongee tu.!!

Hapo ndo pahala mrembo akabugi akaenda onana naye, wakazungumza vizuri huku wanakunywa wine na nafasi ya usaliti ikajitokeza hapo, Na imagine alikuwa amekaa muda mrefu bila kufanya kosa while akimsubiri mpenzi wake,

After that, akakosa gut ya kuongea vizuri na mpenzi wake maana akawa anafeel guilty, Mpenzi wake akagundua changes kwa communication yao, akawa ameforce kutaka kujua what's going down?

Binti uvumilivu ukamshinda akasema ukweli na kuomba radhi, the guy aliumia ila after a while akamuambia kuwa amemsamehe..!!

Sasa tatizo binti ana feel guilty sababu kavumilia muda mrefu kaja kuvunja jungu mlangoni, Pili haamini kama kweli the guy kamsamehe maana kamuambia amvumilie anarudi very soon waongee, ila mrembo anataka aachane naye tu kabla hata hajarudi sababu anasema kama ameweza kum cheat this time after all promises, obviously anahofia hili laweza kujirudia hata ikitokea kamsamehe anaweza muumiza tena..

Kajaribu kumuambia bora iishe ila the guy kagoma katu katu kumuacha, hivi wanaume unaweza salitiwa na mpenzi wako na ukafahamu, na ukamsamehe kwa moyo mmoja na ukawa tayari kuendelea naye bila kinyongo chochote??
Waachane tu hamna msamaha wa dhati hapo,hata wasipoachana Sasa huko mbele wataachana tu.
Ni kosa kukubali usaliti pasipokuwa na kidhibiti
 
Kama umekiri kosa mwenyewe bila mimi kufanya jitihada za kutafuta ushahidi, na nikaona nafsi inavyokusuta kwa kufanya kosa hilo, ninaweza kukusamehe na tukaendelea na mipango yetu.

Ila kama ulifanya sex na mtu wetu wa karibu ambaye mimi na wewe tunafahamiana, hapo nitasamehe ila sitaendeleza mahusiano!
 
Huoni Kama kukwambia kitu ambacho wewe ulikuwa hukijui ni dharau kubwa Sana?
 
Hi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!

Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano yao wanawasiliana tu vizuri na mara kwa mara..!!

Wakiwa wanaaminiana huku kila mmoja akiahidi ku keep promise as walikuwa committed to each other..

the bad day arrived as girl alikuwa ako na ex wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi huko, so ex akawa amerejea akamfuata binti mpaka kwao anaomba waonane japo waongee tu.!!

Hapo ndo pahala mrembo akabugi akaenda onana naye, wakazungumza vizuri huku wanakunywa wine na nafasi ya usaliti ikajitokeza hapo, Na imagine alikuwa amekaa muda mrefu bila kufanya kosa while akimsubiri mpenzi wake,

After that, akakosa gut ya kuongea vizuri na mpenzi wake maana akawa anafeel guilty, Mpenzi wake akagundua changes kwa communication yao, akawa ameforce kutaka kujua what's going down?

Binti uvumilivu ukamshinda akasema ukweli na kuomba radhi, the guy aliumia ila after a while akamuambia kuwa amemsamehe..!!

Sasa tatizo binti ana feel guilty sababu kavumilia muda mrefu kaja kuvunja jungu mlangoni, Pili haamini kama kweli the guy kamsamehe maana kamuambia amvumilie anarudi very soon waongee, ila mrembo anataka aachane naye tu kabla hata hajarudi sababu anasema kama ameweza kum cheat this time after all promises, obviously anahofia hili laweza kujirudia hata ikitokea kamsamehe anaweza muumiza tena..

Kajaribu kumuambia bora iishe ila the guy kagoma katu katu kumuacha, hivi wanaume unaweza salitiwa na mpenzi wako na ukafahamu, na ukamsamehe kwa moyo mmoja na ukawa tayari kuendelea naye bila kinyongo chochote??
Anakuja na magunia ya Mkaa au mtungi mkubwa Sana wa gesi....
 
mwambie ampe tigo
 
Mwanaume ni kama jaji au hakimu, ukikiri kosa mbele yake hakumfanyi akupende zaidi, anakuchoronga miaka gerezani mbaa!
Mwanamke kataa, hata akikwambia aliyemwambia kuwa unachepuka ni mamake, mwambie na mimi nikianza kukueleza ya mamako utaachana nae? Au kwakuwa ni mimi ndio unaninyanyasa( anza kulia).
Mwanamke, kataa kuwa mkaa.
100% ✓
 
Back
Top Bottom