Ingekua Wewe Ungefanyaje?

Mana mechi za nje siyo zote anazoweza kukumbuka ndomu....na uko anaweza kukutana na mwanamke ambaye ndo anaharibu kila kitu mpaka kumrudisha mmeo inakuwa shida.......binafsi aamue moja atumie sabuni au afanye mazoezi ya kuuchosha mwili wake mpaka pale tutakapokutana....
 
...ni kweli kabisa mkuu...kuna genetics involvement kwenye akili ya mtoto kutoka kwa wazazi...japokuwa watalamu wanasema asilia nyingi...inategemea na jinsi anavyo zaliwa(km hakupata shida wakati anazaliwa), physical inviroment wakati wa kukua ukiweka na vitu kama nutrition)....kwenye genetics kuna mpaka study ya Watson and crick...zinaonesha DNA ina influence hata kwenye race za watu(black vs white)...ni study zinazopigwa vita hata kuchapishwa
 
Eiyer hiyo miezi 5 wala hata isingefika. Nitampelekea naniluu yake kila nipatapo fursa lolz.
 
Last edited by a moderator:
huyo nae atakuwa anajiendekeza tu...unajua kitu km unajua huwezi kupata hata hamu nacho haiwi juu sn. alikuwaga na mahamu anayoshindwa kuvumilia coz wife alikuwa pembeni, sa kwavile yupo mbali ajityuni tu kukubaliana na halihalisi... au la ajipige mkono mie (if ndo wife wake) namsaidia ajisikie as if em there...miguno sauti za mahaba, nampa mainstructions mwenyewe atascore tuuu na hamu itashuka lol
 
Tatizo huwezi kwenda huko!

kama siwezi kwenda bas anatakiwa awe mpole tu ajaribu kila njia kushnda mihemko ya mwl wake akifanya hvyo itamsaidia kuondokana nj adha anayoipata

tena anatakiwa auelewe ushaur ntaompa maana akijifanya mbishi hapo atakuwa anataka makubwa
 
Kama ni krb naenda na kama ni mbali namshawishi tufanye phone sex itamsaidia kdg na cku zitasogea
 

ahsante sana doctor kwa ufafanuzi... unajua mchana nimegombana na huyu paroko Eiyer kwa sababu hii.. mpaka amefikia kuniambia kwamba mi nina elimu ya aina gani?

sasa nadhani Eiyer apite hapa kwa specialist, akuone kabisa...!
 
Last edited by a moderator:

Sema tukushauri..najua tangia baba nani ahamishiwe ule mkoa imekuwa tabu sana, ni pm nikupe ushauri.
 
hawa hapa wengine...!

ongea nao kabisaaaa!!

 
Kiislaam tuna solution kwa hilo, anatakiwa afunge (swaum). Hiyo ni hali inayomtokea si mwanamme tu hata wanawake, nayo solution yake ni hiyo hiyo. Kujiingiza kwenye funga ya dhati.

Ikiwa wale mapadre na masista wa kanisa katoliki wanaweza kuishi bila tendo la kujamiiana, au ni geresha tu? vipi uje na swali kama hili?
 
Haiwezekani ikashindikana kuwa mie siwezi au yeye hawezi.
lazma iwepo namna...........unless pawe pana vpingamizi

kwa wewe paroko......unaweza ukaomba niwe nakuweka kwenye mkoba wangu!
baki hukohuko mbali............

Hapo ndipo penyewe
Kuna pingamizi

Utafanyaje?

Sasa unataka nibaki huku huku ili niku cheat?
 
Kiislaam tuna solution kwa hilo, anatakiwa afunge (swaum). Hiyo ni hali inayomtokea si mwanamme tu hata wanawake, nayo solution yake ni hiyo hiyo. Kujiingiza kwenye funga ya dhati.
Nimependa sana hii
Ikiwa wale mapadre na masista wa kanisa katoliki wanaweza kuishi bila tendo la kujamiiana, au ni geresha tu? vipi uje na swali kama hili?
Sasa hawa wanaingia kwenye mahusiano?

Hata hivyo umesoma hapo ni mtu wa namna gani namzungumzia?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…