Ingawa ana mwanya, mbona anayo ndogo?

Ingawa ana mwanya, mbona anayo ndogo?

Heshima zenu wakuu!
Ingawa haijathibitishwa kisayansi lakini naheshimu sana mawazo ya wahenga wetu juu ya tafiti zao za jadi
.
Niliambiwa kuwa ukimwona binti mwenye mwanya mdomoni anakuwa amebarikiwa kuwa na papuchi kubwa,yenye ujazo na jotoridi murua kabisa lakini kwa bahati mbaya nimempata mtoto wa kanda ya ziwa mwenye sifa hiyo ya mwanya ila hana hizo sifa.
Wakuu wenzangu,mmewahi kukutana na hali hiyo?au mchina amesha fanya yake

Myth...!!!
 
Hizi ni imani tu, hazina uhalisia, vinginevyo mlete ushahidi wa kibaolojia kuonesha uhusiano uliopo. Hii ni sawa na wanaoamini kuwa mwanaume mwenye kiganja kidogo au miguu madogo na vidole vidogo ana kibamia kitu ambacho sio kweli.
Mkuu tunajaribu kujadili mambo ya mila zaidi na wewe upo kibiology zaid. Hata mimi siamin hayo lkn ndo inavyosemekana. Na kiuhalisia naona haipo sawa maana hata awe hana mwanya na watoto kadhaa wakapita kwenye hyo kei sijui kama itabaki vile vile
 
Nimekupa pole pale unapojaribu kuaminisha watu wazima vitu ambacho kwa hali ya kawaida havipo. Labda ukawasimulie watoto wa kindergarten wanaweza wakakuelewa.
ACHA HASIRA KWA MAMBO YA KINDEGARTEN .... KWANZA UNABISHA NINI UNAELEWA NILICHOSEMA AU UNARUKA RUKA KAMA MAHARAGWE JIKONI........... MLETAUZI KAJARIBU KUSEMA KUWA WENYE MIANYA WANA PAPUCHE KUBWA NNIKAMPINGA KWENDA KINYUME CHAKE SASA WEWE UNAJIFANYA MWALIMU WA SAYANSI KILIMO UNABISHA NINI SASA UMEAMKIA WAPI? LEO
 
nina mwanya mkubwaaa na papuchi yangu ndoogo muache stori za vijiweni kila kiumbe ana maumbile yake ..............

Yuuup...baelezee. Hicho mleta mada anachoongelea ni moja ya uzushi (zushi) mbalimbali zilizoko kwenye jamii zetu.
 
ACHA HASIRA KWA MAMBO YA KINDEGARTEN .... KWANZA UNABISHA NINI UNAELEWA NILICHOSEMA AU UNARUKA RUKA KAMA MAHARAGWE JIKONI ........... MLETAUZI KAJARIBU KUSEMA KUWA WENYE MIANYA WANA PAPUCHE KUBWA NNIKAMPINGA KWENDA KINYUME CHAKE SASA WEWE UNAJIFANYA MWALIMU WA SAYANSI KILIMO UNABISHA NINI SASA UMEAMKIA WAPI? LEO
Hongera wewe kwa kuwa na uelewa mpana na ufasaha wa kuzungumza. Acha mimi mwalimu wa sayansi kilimo niende zangu shambani.
 
Hongera wewe kwa kuwa na uelewa mpana na ufasaha wa kuzungumza. Acha mimi mwalimu wa sayansi kilimo niende zangu shambani.
sawa................ bora yesheee

ila hujaniambia umeamkia wapi leo ndo panakupa jazba au ushakatwa miamala😀
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Inabidi kuwe na sehemu ya kuonesha umri humu jf inaeza kawa unatukanana hata na mama yako humu ndan bila kujua
 
Hapo ni promo, mwambie alipie tangazo
Nilitaka nimwambie tangazo lake kakosea kuliweka badae nikaona haina maana wenye akili watamuelewa. Mwanamke hawezi kusema uke wake ni mdogo au mkubwa maana hakuna namna anaweza kujipima akapata majibu sahihi zaidi ya kupimwa na uume wa binadam.

SI unit ya uke ni uume tu na hakuna namna.
 
sawa................ bora yesheee

ila hujaniambia umeamkia wapi leo ndo panakupa jazba au ushakatwa miamala😀
Mimi wala sina jazba, ni tafsiri yako tu imekuambia hivyo. Nimeamkia shamba darasa la kijiji.
 
Back
Top Bottom