NiambieWoyooo
Yaani nina bahati kaka, mie sina X kabisa ujue!!!!Niambie dada ina maana X wako sa hv sio mshkaj wako tena?
Hivi ulijua nitasema Ndio..? [emoji3][emoji3]Niambie
Eti waweza kuwa rafiki na yule mdigo???
HahahaHivi ulijua nitasema Ndio..? [emoji3][emoji3]
Jibu ni Hapana
Yani mi nilikuwa naogopa sana nikiambiwa tu tafuta thamani ya X na Y yani maswal yalikuwa magum sana
Lazma uliwe 2 mkuuNisawa na kugeuza muwa kuwa mkongojo wakati unasafiri kwa miguu....[emoji12] [emoji12]
Kuna mdigo na mzigua..Yule ni babu ujue... Hana madhara bwana... Ila mdigo mmmh!!!
MmmmhKuna mdigo na mzigua..
Pita huku @mzigua09