Inawezekana x kuwa marafiki tena?

The Donchop

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
294
376
Habari wanajamii? Kuna mtu aliniomba ushauri nikaona si vibaya kuja mbele yenu magwiji wa ushauri.

Ishu ipo hivi, x ambaye ni mkaka walikuwa wapenzi kwa takribani miaka mi3 na y ambaye ni mdada. X alimwacha y pasipo na sababu za msingi. Y alilia na kujaribu kuomba msamaha alipokosea. X alimjibu kuwa ye amemchoka tu Ila hajakosewa. Ndipo ikamlazimu y kuendelea na maisha yake baada ya x kumwambia kuwa hataki kumuona wala kumsikia.
Baada ya muda, kama miezi miwili, x alimpigia simu y. Hakua na la maana la kusema zaidi ya salamu. Ikawa ni tabia endelevu. Y akamuuliza x unakuaje? X akamjibu kuwa they can be good friends na akaahidi kutomkosea tena. Na cha ajabu x anadai amepata girl lakini y akimuita aje amsaidie ishu zake yupo radhi kushinda na y siku nzima na hata wikend aliahidi ataenda kwa y.
Y yupo confused kwamba haelewi lengo la x.
 
X kashajielezea anahitaji wawe good friends
Ni possible kweli watu waliokaa muda mrefu kimahusiano wakawa just friends!!! Hawa wanapokutana ni tofauti na wale marafiki wa kawaida. Wao wana historia ya pamoja. Story watakazopiga watakumbushana hata moments nzuri walizokuwa pamoja. Hiyo friends sio excuse tu ya kurudiana? Maana mwanzo pia walianza kama friends...
 
Inaweza kuwa excuse kweli ya kurudiana,ila kama Y hayupo tayari kurudiana nae basi asikubali hata urafiki
 
Yani mi nilikuwa naogopa sana nikiambiwa tu tafuta thamani ya X na Y yani maswal yalikuwa magum sana
 
Ki ukweli naona X na Y kurudiana, vinginevyo Kama Y alishakubaliana na hiyo hali ya kuachwa akae mbali na X agange yajayo vinginevyo ajiandae kuwa mpenzi mwenza
 
Back
Top Bottom