Inawezekana x kuwa marafiki tena?

Inawezekana x kuwa marafiki tena?

x+y=o
y+x=0
make y subject
x=y
subsitute y into x
2x=0
x=0
ok put x=0
Also y=0
x=0,y=0
oooh sorry! No such type of friend waitane tu kaka na dada au wapeane.
 
Et x wangu analitaka hili Kwa nguvu sana.
Me nimekataa na aende zake coz alininyanyasa sn na papuchi yake aisee.
 
Mhhh! Pagumu hapo siku sio nyingi hawachelewi kukumbushia good moment za kitambo
 
Kuna wakati Mungu humrudisha x wako ili akupima kama bado u mjinga [emoji16][emoji16][emoji16]. Akgongwa na kuachwa tena ndo atapata akili. Anchikifanya jamaa anataka amfanye huyo manzi kuwa official mchepuko
 
Back
Top Bottom