Inawezekana x kuwa marafiki tena?

Inawezekana x kuwa marafiki tena?

Umeonaee...
Pale ninapokukuta uko kuchepuka na babu Asprin

e3300c6b807b7981ea8d29cb415ba8b2.jpg
 
The title has change to X for a very valid reason. Unless you're both single OTHERWISE there is no need to be friends.

 
Wapo wenye details zinazoweza kutofautiana na zangu

Mdogo wangu acha kujilisha upepo huku ukijipa matumaini utashiba.
-Mpaka lini utaendelea kulia?
-mpaka lini utaendelea kuchezewa akili zako?
-Mpaka lini utaendelea kuwa na mtu asiyejua thamani yako?
-Mpaka lini utaendelea kukondeana kwa mawazo ya kumuwaza mtu asiyejua thamani yako?
Chukua kioo jiangalie ulivyo. Lile tabasamu lako angavu limepotea, uso umeanza kukakamaa kwa mawazo ya kumuwaza huyo mpendwa wako asiyejua thamani yako.
Ona ulivyo, hujipendi km zamani, nahisi umeanza kujichukia na kila siku unajiuliza kwann mm.
Nikuambie tu ww ni wa thamani sana kuliko unavyofikiria. Kuendelea kumg'ang'ania huyo jamaa ni kujipotezea muda na kujizibia baraka zako. Najua unampenda kwa dhati sana na haupo tayari kumuacha aende zake na yy analijua hilo kuwa unampenda ndiyo maana anakufanyia kila analoona lifaa. Hakupendi ila ni mazoea tu ndiyo yanamrudisha
Achilia moyo wako. Samehe na uanze maisha yako sasa. Kuendelea kuwa na huyo jamaa unajizibia baraka na pia anakuzeesha. Huu ni muda wako wa kuanza maisha mapya bila ya huyo mtu . Mungu atakupatia mume bora na mzuri mpaka ww utajiuliza nilikuwa wapi siku zote.
Moyo unauma lkn acha uume kwa maumivu ya mapenzi lkn ndiyo njia ya pekee na bora ya kuondokana na karaha na kupotezewa muda. Kumbuka muda unaenda. Ukitahamaki mwenzako atafikisha watoto 4 ww ushafikisha 35 sijui atakuwa amekupa mtoto na hapo jumlisha zile karaha zake utakuwa km mzee wa miaka 60. Na hakuna kitu kibaya km mawazo aisee ni sumu.
Utakuwa km bibi huku yy akichanua na km mkisimama wote utaonekana ww ni km dada yake.
Fanya maamuzi sasa, muda huponya. Futa kila kitu chake na mblock sehemu zote, na kuwa bize na pia usiache kwenda kwenye nyumba za ibada.
Ukumbuke kujitunza sbb ndiyo njia bora ya kupata mume bora.
Pole sana
 
Back
Top Bottom