Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
Y si wewe?
Mbona anasema huna madhara?Errr... anachepika kidogo tu...
Ewaaa... Tunachepuka kidogo tuu then tutaitana ☓, si eti eeehErrr... anachepika kidogo tu...
Umemsahau mzigua wa Bumbuli jamani?Mmmmh
Umeongeza mwingine tena??
Huo sasa uchochezi ujue!!! Ujue nitaanza kufunga mabegi yanguMbona anasema huna madhara?
Au ni dharau tuu?
Oooh! Ujue mdigo na mzigua wanapita kimya kimya..[emoji41]Huo sasa uchochezi ujue!!! Ujue nitaanza kufunga mabegi yangu
lazima ipo cku ataangalia mzigo upo au umeliwaHehehe lazima utaula tu huko mbeleni
Ko unataka kusema niniiiUmemsahau mzigua wa Bumbuli jamani?
HahaOooh! Ujue mdigo na mzigua wanapita kimya kimya..[emoji41]
EwaaaTuendelee kuchepuka..
Ila tuwe makini
Nami ntakuita Y. X na Y hazijawahi kuachanaEwaaa... Tunachepuka kidogo tuu then tutaitana ☓, si eti eeeh
HahahaNami ntakuita Y. X na Y hazijawahi kuachana
Njia kuu tumeiachia treni. sisi tuendelee kuchepuka kama bodabodaHahaha
Mchepuko wangu bhana.. Ongea taratibu njia kuu wasitusikie bhana
Aisee [emoji41][emoji41][emoji41]...! Sasa mambo ya kutokujulikana yametoka wapi hapa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Njia kuu tumeiachia treni. sisi tuendelee kuchepuka kama bodaboda
Woyooo
Kuna kitenge cha kongo nampitishia Shangazi...Haha
Wapite tuu ila jioni usisahau Kurudi nyumbani.... Uje na matunda