Inawezekana mwanafunzi wa Diploma kuhitimu mwaka huu nakujiunga na Degree mwaka huu?

Ndioo unaweza, fika chuoni kwako waombe wapeleke taarifa zako NACTE mapema kwa ajili ya kuombea AVN (kama sijakosea)

Hii utaipata baada ya kuomba kwenye mfumo wa NACTE
 
Habarini wataalam,

Hivi inawezekana mwanafunzi wa diploma kuhitimu diploma mwaka huu nakujiunga na degree mwaka huuhuu.
Inategemea chuo ulicho somea. Kuna vyuo ambavyo matokeo yao yanawahi kupelekwa NACTE kabla dirisha la TCU halijafungwa. Hivyo muombaji anaweza kufanikiwa.

Vyuo vingine ni shida kwa mfano field practical inapangwa baada ya mitihani na dirisha la tcu linafungwa wakati huo hapo hakuna namna. Vingine wanachelesha kupeleka matokeo nacte.

Nacte inatakiwa kuvibana vyuo viwasilishe matokeo ndani ya dirisha watakalo lipanga na watakao chelewesha waadhibiwe.
 
INAWEZEKANA but Si lelemama, Inahitaji ushapu, uweledi na moyo wa dhati wa kujipambania katika future yako.. Nasema hvyo from my experience kwani mwaka Jana nilihitimu Diploma yangu na kuunga moja kwa Moja elimu ya juu.

Nilifanikiwa kuomba chuo na mkopo japo haikuwa rahisi kama unakumbuka mwaka Jana mambo ya corona yalivuruga kila kitu na kufanya mambo yapelekwe harakaharaka ili kuendana na mda.. Wapo wenzetu wengi walikata tamaa na kusema watafanya mwakani Ila wenye roho ngumu tulipambana.

Pata picha hata semester ya mwisho hujamaliza na huna matokeo kamili alafu unahitajika uombe mkopo kwanza na bodi ya mikopo wanahitaji matokeo yako kutoka chuo wathibitishe kuwa kweli ww ni mwanafunzi unayesoma/uliyehitimu diploma.

Aseeeeh mungu alitupambania sana.

Ila mwaka huu nadhani MNA mduda mwingi sana kwani kalendar za mambo yote zimerudi kama ilivyokuwa miaka yote
 
inategemea na chuo ulicho soma na intect uliyo ingia diploma kuna diploma zingine zinaenda kama degree ki muhula bac ni rahisi sn kuchelewa kupeleka matokeo yenu nacte hy utachelewa kupata namba mfano ukisoma udom diploma nishida kweli kuwahi
 
INAWEZEKANA but Si lelemama, Inahitaji ushapu, uweledi na moyo wa dhati wa kujipambania katika future yako.. Nasema hvyo from my experience kwani mwaka Jana nilihitimu Diploma yangu na kuunga moja kwa Moja elimu ya juu....
Kwahiyo ulifanikiwa kuomba mkopo na ukapata et mkuu? Na vipi kuhusu chuo ulipata pia?
 
Back
Top Bottom