mkomb
Member
- Aug 31, 2023
- 21
- 31
Habari zene Wana jukwaa. Ninaombeni ufafanuzii katika maada tajwa hapo juu nikiwa namaana kwamba, mfano umegraduate ngazi ya degree katika course tajwa hapo juu ukakosa shavu la ajira ngazi ya degree je unaweza apply kazi ngazi ya diploma kama kukiwa na nafasi za diploma zimetangazwa mfano park rengers ilhali yakuwa unacheti cha degree pekee?
Ninatumaini maada imeeleweka ninaomba kuwasilisha.
Ninatumaini maada imeeleweka ninaomba kuwasilisha.