Inawezekana hasara ya mapato ya Serikali kwa D9 ni kubwa sana kuliko ile ya MO29

Inawezekana hasara ya mapato ya Serikali kwa D9 ni kubwa sana kuliko ile ya MO29

Agent-47

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
783
Reaction score
2,780
Majiji yote yalisimama. Hakukuwa na biashara yoyote ya maana, kuanzia maduka, usafiri na kumbi za starehe. Loss kubwa kwa MO29 ilitokana na kuzima internet, lakini D9 kila kitu kilikuwa paralyzed.

Upo uwezekano mkubwa sana ya kwamba serikali imepoteza mapato mengi sana jana kuliko kwenye MO29. Ikiendelea hivi, Wataweza kumudu na kupata pesa za mishahara ya wafanyakazi?

Na mechi bado haijaanza. Mpira ndo umeletwa kati, timu zimemaliza kuimba nyimbo za taifa, wachezaji wanajaribu kupeana mawaiza na kupiga picha za ukumbusho. Namuona kapteni wa hii timu ya mboga mboga, Bi Samuya amevua jezi na anarudi kwenye dressing room. Namna gani….
 
Mtaweweseka sana nyau nyie.
Serikali ya Tanzania iko imara haiwezi kutetereka kirahisi hivyo.
Tumewadhibiti mnaweweseka tu
 
Huu muda ungetumia kupiga mishe zako za hela ...usiangalie nani kapiga hasara...jiangalie wewe
 
Jana , tumethibitisha kuwa vijana wa Tanzania ni nguzo ya mshikamano, tumetii sheria, tumedumisha utulivu, na tumeonesha uzalendo wa kweli kwa taifa letu. Tuendelee kuwa mfano wa kuigwa, tukilinda amani yetu na kuimarisha umoja uliotuleta hapa. Kumbuka, vijana ndio mashine ya maendeleo ya nchi, tuzidi kusimama pamoja kwa upendo, hekima na ujenzi wa taifa letu. MUNGU IBARIKI TANZANIA , MUNGU IBARIKI AFRIKA. #TANZANIA #AFRIKA #AMANI
wavimba_20251210_062702_0000.png
 
Mtaweweseka sana nyau nyie.
Serikali ya Tanzania iko imara haiwezi kutetereka kirahisi hivyo.
Tumewadhibiti mnaweweseka tu
Sasa wakisema tena siku nyengine ya maandamano pia itafinyika kama jana? Hiyo haileti maana ya kuwadhibiti.
 
Na mechi bado haijaanza. Mpira ndo umeletwa kati, timu zimemaliza kuimba nyimbo za taifa, wachezaji wanajaribu kupeana mawaiza na kupiga picha za ukumbusho.
Tungoje hiyo mechi ianze huenda maswali yako yakapata jibu.
Namuona kapteni wa hii timu ya mboga mboga, Bi Samuya amevua jezi na anarudi kwenye dressing room.
Anangoja wakati wa kuanza arejee. Tujitayarishe ili tusichelewe. Jee nawe utakuwemo uwanjani au utatumia simu kutoa maelezo ukiwa nje ya uwanja? Muda utaongea.
 
Vijana Wapumbavu na wahuni wahuni ndio uishi kwa “mishe”.
Tuache na upumbavu wetu...wewe na wengine akina Larry madowo na mange na hilda nendeni mkalale pale nje ikulu
 
Kuna siku serikali ndio itaimiza watu waje barabarani.
Umesema jambo kubwa sana. Kuna post niliwahi kuituma zamani kidogo nimeitafuta bado sijaiona. Nilisema kuna siku watu wataombwa kwenda kupiga kura na watakataa.

Uko sahihi unaposema kuna siku serikali itataka watu waandamane na hawatapata hao waandamanaji.
 
Obviously wamepiga sawa vijana wa mama kumlinda malkia mama
 
Back
Top Bottom