Inaumaa

Inaumaa

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
544
Reaction score
219
Ilikuwa ni muda wa masaa 4 tangu askari wakike ajilaze kitandani toka saa mbili na nusu akiwa na mpenzi wake anakuja kutaharuki anakuta wamelala watu watatu katika kitanda chao cha sita kwa sita anageuka upande wa kushoto anakuta kuna mtu mara upande wa kulia kuna mtu pia huku yeye akiwa katikati kabla ajatamalaki nin kimetokea anajikuta yupo katikati ya dimbwi la damu na kugundua kuwa amelala na maiti wakati bado ajajua mpenzi wake ni yupi kati ya wale wawili ikabidi ahanze kupiga kelele hili kuomba msahada kuangalia chini ya mto anakuta bastora pamoja na kisu muda huo Police nao wanaingia na kumuweka chini ya ulinzi kwa kosa la mauaji ................ntaimalizia ngoja kwanza niludi kutoka kazini....!!!!!!
 
Nimerudi nataka nihimalizie sitory ngoja kwanza ninywe chai
 
jamani hizi stori zingine zinatisha haya malizia hiyo stor yako
 
Wala hata amna ndo nipo naihanda hili nihilushe hewan
 
Nisahidie jinsi ya kuweka picha kwenye profile Preety
 
Last edited by a moderator:
Ilikuwa ni muda wa masaa 4 tangu askari wakike ajilaze kitandani toka saa mbili na nusu akiwa na mpenzi wake anakuja kutaharuki anakuta wamelala watu watatu katika kitanda chao cha sita kwa sita anageuka upande wa kushoto anakuta kuna mtu mara upande wa kulia kuna mtu pia huku yeye akiwa katikati kabla ajatamalaki nin kimetokea anajikuta yupo katikati ya dimbwi la damu na kugundua kuwa amelala na maiti wakati bado ajajua mpenzi wake ni yupi kati ya wale wawili ikabidi ahanze kupiga kelele hili kuomba msahada kuangalia chini ya mto anakuta bastora pamoja na kisu muda huo Police nao wanaingia na kumuweka chini ya ulinzi kwa kosa la mauaji ................ntaimalizia ngoja kwanza niludi kutoka kazini....!!!!!!

wait: SIGNAL IS LOADING...............................................!!!
 
miss u tooo best
kumbe upo ndugu yangu nimefurahije kukuona?
ile issue hatukuifanya cause charminglady aliuguliwa,
na doctor alikuwa safarini hivyo ikawa ngumu kufanya hivyo
naona 25 jan ikimpendeza Mungu twaweza fanya kama hivyo

cousin mis u mingi!!
hapy nyu iya!!
 
Back
Top Bottom