Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,335
- 23,951
morning mupenzi
Morning darlie, wish u a lovely day mwandani wangu!
Sasa unasubiri nini kumalizia
Hivi kumbe hajarudi nadhani ni siku ya tatu toka ametoa ahadi hiyo kwani anafanya kazi ofisi ganiAtaimaRIzia vipi , nae kadai mpaka atakapoLUdi kazini ?
TumsubiLIe akiLUdi atutamatishie stoLI au waonaje Bw. SunguLA ?
Kamtekenye basiKwahiyo stori vipi sasa hii? Malizia basi
Hivi kumbe hajarudi nadhani ni siku ya tatu toka ametoa ahadi hiyo kwani anafanya kazi ofisi gani
Oooops! kumbe alikuwa anamaana yake? maana siku hizi ukichange speling tu tayari na maana inabadilikaNoted me properly, huyu mtoa mada hajasema "atarudi" kama unavyosema wewe , yeye amesema "ataludi"