Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

Habari wakuu.

Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4. Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.

Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri

Naombeni msaada wenu
Muache kama hapendi moto wako wachana nae atafute wanao mfikisha kunako
 
Mshukuru huyo kaamua kukueleza Ukweli kuliko anaekudanganya huku anakulia pesa zako bure. Tafuta unayemmudu! Alafu mbona wwnawake huwa hawaridhiki mkuu? Kwanini utake kuwaridhisha?
 
usijari blaza, we nani mpaka akwambie ameridhika??mana hata maumbile yao hawajawai kuridhika nayo. we endelea kula ugali wako..ukapata wengine peleka moto tu kama wataridhika sawa au hawajaridhika sawa...
 
Kinachoniuma Ni kwanini wengine nawaridhisha!
Kwahiyo ulitaka usiwaridhishe wote ili isikuume? Binafsi sipendi kumridhisha kila mwanamke, wengine wanichune tu waende zao , Lakini kama unataka uwe mwanaume wake wa kwanza kumridhisha fanya hivi,kunywa kokoa/kakao iliyokolea (nzito) utamsugua Kama hatakojoa msugue na dole gumba la mguu wa kulia
 
Habari wakuu.

Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4. Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.

Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri

Naombeni msaada wenu
Saa unaumia nini?,tatizo liko kwake siyo kwako..
 
Comments nyingi zinamnanga huyo mwanamke.
Jamani mna uhakika gani kama mtoa mada hana hatia katika hilo.?
Sasa kama mtu hajui kumkuna mwanamke mwanamke aridhike tu?
Kama mtu anatumia dakk mbili tu wazungu hao mwanamke aridhike tu?
Kama mtu hajui kumwandaa mwanamke mwanamke aridhike tu?

Mtoa mada kaa kwa kutulia kajifunze mapenzi umridhishe mpenzi wako. Paka hata vumbi la kongo.
mom ni wee umeandika au?
 
Back
Top Bottom