Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

Toka Jana sijamtafuta
Naona anahangaika kutuma sms
Na kupiga simu
Hapo sawa. Mtu akijiona wa maana. Mpotezee , mwisho akili zinamrudia .

Wala we si wa kwanza kuambiwa hivyo. Hawa jamaa wanajua silaha yao ni huo uchi wao. Wakati wewe unazo silaha kibao
 
Mwanaume ukiambiwa hufanyi maajabu sijui kibamia hizi kauli zinawaumiza sana wanaume na upelekea wanaume wengi kutafuta booster mfano vumbi la mkongo, kwenda kwa waganga, dawa za kuongeza nguvu za kiume etc yani ndiyo biashara zilizojaa mitandaoni , mleta mada kama shemeji anasema moto hamkolei inawezekana kashazoea vya level zingine, usijitese na kuwaza sana huyo sio mke tafuta mwanamke mtakaeendana nae kwanini ujitese na kuwaza mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu ngoja kwanza...

Kwa hiyo unataka tukufunze namna ya kumridhisha manzi ako, sasa ikitokea tunataka kunya mafunzo kwa praktiko inakuaje hapo?
 
Mwanaume ukiambiwa hufanyi maajabu sijui kibamia hizi kauli zinawaumiza sana wanaume na upelekea wanaume wengi kutafuta booster mfano vumbi la mkongo, kwenda kwa waganga, dawa za kuongeza nguvu za kiume etc yani ndiyo biashara zilizojaa mitandaoni , mleta mada kama shemeji anasema moto hamkolei inawezekana kashazoea vya level zingine, usijitese na kuwaza sana huyo sio mke tafuta mwanamke mtakaeendana nae kwanini ujitese na kuwaza mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri Sana
Asante
 
Kuwa satisfied na tendo kunaanzia kwenye foreplay mpaka hitimisho la zile dk 90. Kama hamuandai vyema unadhani hizo in out zake zitamfikisha mdada on peak? Not sure
I stand with you on this...
Foreplay Ni Kila kituuu..
Tena Tena inayopelekea orgasm kw both Ina faida nyingi mno nje na ndani ya tendo...(kwenye maisha ya Kila siku)
If you know you know ♥️
 
Habari wakuu
Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi
Nimekutana na binti mmoja ambae tumekutana kimwili Mara 4
Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.
Nimebaki njia Panda sijui Cha kufanya
Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri
Naombeni msaada wenu
Pole mkuu embu ni connect nae mm ni mpe anacho mis kukipata. Then nitakwambia mbinu ninazo tumia kufikisha mdada kileleni
 
Comments nyingi zinamnanga huyo mwanamke.
Jamani mna uhakika gani kama mtoa mada hana hatia katika hilo.?
Sasa kama mtu hajui kumkuna mwanamke mwanamke aridhike tu?
Kama mtu anatumia dakk mbili tu wazungu hao mwanamke aridhike tu?
Kama mtu hajui kumwandaa mwanamke mwanamke aridhike tu?

Mtoa mada kaa kwa kutulia kajifunze mapenzi umridhishe mpenzi wako. Paka hata vumbi la kongo.
 
Mwezi uliopita kuna ke nilimpelekea Moto
Nakumbuka niliscore goli la Kwanza after 14 mins akiwa amechoka Sana
Nilirudia second round but alilalamika Sana shortly alichoka&sikumaliza
 
Comments nyingi zinamnanga huyo mwanamke.
Jamani mna uhakika gani kama mtoa mada hana hatia katika hilo.?
Sasa kama mtu hajui kumkuna mwanamke mwanamke aridhike tu?
Kama mtu anatumia dakk mbili tu wazungu hao mwanamke aridhike tu?
Kama mtu hajui kumwandaa mwanamke mwanamke aridhike tu?

Mtoa mada kaa kwa kutulia kajifunze mapenzi umridhishe mpenzi wako. Paka hata vumbi la kongo.
Soma vizuri, mwanamke anasema hakuna mwanaume aliyewah kumridhisha.
Sijui kakeketwa huyo
 
Comments nyingi zinamnanga huyo mwanamke.
Jamani mna uhakika gani kama mtoa mada hana hatia katika hilo.?
Sasa kama mtu hajui kumkuna mwanamke mwanamke aridhike tu?
Kama mtu anatumia dakk mbili tu wazungu hao mwanamke aridhike tu?
Kama mtu hajui kumwandaa mwanamke mwanamke aridhike tu?

Mtoa mada kaa kwa kutulia kajifunze mapenzi umridhishe mpenzi wako. Paka hata vumbi la kongo.
Ah weweeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani maisha ya kawaida hujui kuna watu hawaridhiki hata ufanye nini. Yeye ni mmoja wapo. Tupa kule. Akanunue mpini wa jembe atumie
 
Habari wakuu.

Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4. Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.

Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri

Naombeni msaada wenu
Achana na huyo malaya, arudi kwao lumumba
 
Habari wakuu.

Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4. Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.

Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri

Naombeni msaada wenu
Kama wewe unaridhika, basi inatosha.
 
Back
Top Bottom